US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Mama na McCain voted for the authorization of the IRAQ war and they are going to keep us there. Haya here is the kicker: Watu wa kwenye campaign zao wana financial interest kwenye hii vita and here are some facts:

Hillary Clinton's Chief Strategist is Mark Penn. He is the CEO of Burson-Marsteller, a Public Relations and Public Affairs firm.

Burson-Marsteller is owned by BKSH, whose Chairman is Charles Black. Black is Senior Advisor to John McCain!

While he is on the BKSH payroll, Black lobbies in his spare time as well; His clients include General Motors, JPMorgan, AT&T and none other than United Technologies.

United Technologies is the parent company of Sikorsky....

Sikorsky, sells Black Hawk and Comanche helicopters and various missile systems, including helicopters presently in use in the Iraq war.

May be ndio maana Mrs. Clinton alisema "McCain had certainly crossed the commander-in-chief threshold. I myself (Mrs. Clinton) had crossed it, too."

Good job Capitol Hill!!! sasa kama na hapo, atakuwa bado anashindwa kuelewa itabidi tumwache tu. Technically, HRCs pple are the same as McCains pple ndio maana wana gang up na kufagiliana.....bila shaka hata votes zao za ku-authorize Iraq invasion zipo tainted na hizi connections za kina Mark Penn. ni dhahiri kwamba defense lobby walikuwa at work!

wanaomjua McCain vizuri wanasema ana temper mbaya sana kiasi kwamba si mtu wa kumwamini kumshikisha "button" au kumwachia aweke kidole chake kwenye "trigger." McCain equals to HRC and the reverse is true...!!
 
15duur7.jpg
 
NN,
paragraph ya pili tu inaanza na quote ya Shaheen, "........i made personal decision............" Ni tofauti na mtu kuwa fired, jamaa ali-resign voluntarily. Analogy yake ni kama ile ya Lowassa kule Bongo, JK hakusema, "bwana mamvi, you are fired." kuna tofauti kubwa sana hapo, legeza misuli na jaribu kuelewa na kutofautisha kati ya vitu hivyo viwili!!!!! I quit ni tofauti na you are fired, ambiguity ipo wapi hapo?? mbona unanitia aibu sasa na wewe! mwe!!

YNIM, Nyani ametuonyesha kuwa Shaheen aliachia ngazi, we must conceed to his point, lakini mi naomba ni fast forward, Kabla Samantha Power, Howard Wolfson spokesman wa HIllary alimfananisha Obama to Ken Starr, alipoulizwa je atajiuzulu akajikosha eti hakusema! Tunaomba Wolfson ajiuzulu, vinginevyo Clinton camp haina points za kuongea about a decent campaign! Discussion naona hapa imefika tamati.
Nyani bado hujanijibu kuhusu hiyo Kosovo peace deal na akina Sinbad!😀
 
Soma this

Michael Duffy and Nancy Gibbs report on a meeting that took place in Chicago last Labor Day. All of Obama’s experienced advisers told him: “You gotta get down, get dirty, get tough.”

Obama refused. He argued that if he did that, the entire basis for his campaign would evaporate. “If I gotta kneecap her,” he said, “I’m not gonna go there.”

Lakini siumemsikia baada ya kipigo cha Ohio amekubali kubadilisha strategy. Ndio maana na yeye amejiingiza kwenye mkumbo wa kudai tax returns. Anajua kete yake pekee ni hiyo ku-avoid conventional American politics, akijiingiza kwenye ku-attack personality za akina Clintons ndio hivyo tena atakuwa hana tena ticket ya kujiuza. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?
 
. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?

Kitila ,

Tafadhali naomba unielimishe kwa sababu nashindwa kuelewa ni kitu gani haswa unamaanisha . Jee unataka kutuambia ya kuwa kwa kuwa simply dunia nzima inafanya kitu fulani kwa style fulani kwa hiyo ni lazima kila mtu afuate hiyo njia ? Ni mawazo kama haya ndiyo yanafanya watu kuwa dormant katika kufikiri ! Kwa nini tunakuwa waoga wa kuja na idea mpya, kwa nini tunakuwa hatujiamini ...Hivi unajua ya kuwa mabadiliko yote makubwa hapa duniani wether kwenye siasa au sayansi yalitokana na mtu au kikundi cha watu kufikiria tofauti .

Mabadiliko siku zote yanatokea kutoka kwa watu wenye idea tofauti na wako tayari kuchallenge convectional wisdom. Kwa hiyo mimi nadhani ni lazima tu-change jinsi tunavyofikiri ...tuwe independent tusikubali kuwa swayed na maoni ya wengi kama pendullum bob zaidi tusiamini ya kuwa simply kwa sababu dunia nzima inafanya hivi basi hiyo ndiyo alternative pekee.
 
The fact is mimi nikiwa nashindana na wewe lazima katika mazungumzo yako ya kujinadi nita-point out strengths zangu na weakness zako ili kuwashawishi wapiga kura. na hili sio kwenye siasa tu, hata kwenye biashara. Cocacola siku zote watajiona wao ni bora kuliko Pepsi, this is so natural in a competitive world. Msingi wa ushindani katika siasa umejengwa katika kushawishi wapiga kura: kwa nini tukuchague wewe, kwa nini tusimchague yule; Hillary ameseme nichagueni mimi kwa kuwa nina uzoefu katika mambo haya na yale, msimchague Barack kwa sababu hana uzoefu huu na huu na ni kijana mdogo katika mambo makubwa ya White House. Sasa mimi sioni tatizo hapa. Ni kazi ya Obama na surrogates wake kama wewe kuwaambia wapiga kura kwamba hapana Hillary hana chochote, Barack ana hiki na hiki, mchagueni yeye. What is the problem here. Sasa kama haya ni mawazo ya kizamani sawa, lakini ndio dunia ya siasa ya ushindani ilivyo, otherwise labda mnataka Barack awe an untouchable boy, unfortunately hili halitawezekani madamu anatafuta urais wa nchi kama America, hiyo ingewezekana huko Russia na Cuba na maybe TZ ndani ya CCM!
 
Kitila nilichopinga kwenye statement yako ya kwanza ni corner stone ya argument yako kuwa kwa sababu majority wanafanya hivi basi ni lazima kila mtu afanye hivyo. Mimi nadhani hiyo ni fallacy ! Ok kuhusu ishu inayoendelea Obama ajakataa kuonyesha tofauti kati yake na Hilary bali amekataa kuwa involved na dirty politics . Ngoja nikuulize swali Obama anapozungumzia masuala ya Iraq na Judgement , au anaposema katika health care plan yake hakuna mandate anafanya nini ? Nadhani anafanya kitu ambacho umekizungumzia hapo juu.

Pili lazima ujue ya kuwa Wamarekani wengi wamechoshwa na hizi dirty politics na ndio maana wanamuona Obama more appealing than Hillary. Halafu kitu kingine ni kuwa kama Obama akiwainvolved katika hizo siasa hatajimaliza mwenyewe kwani itakuwa tofauti na message yake kubwa which is CHANGE.
 
NN,
paragraph ya pili tu inaanza na quote ya Shaheen, "........i made personal decision............" Ni tofauti na mtu kuwa fired, jamaa ali-resign voluntarily. Analogy yake ni kama ile ya Lowassa kule Bongo, JK hakusema, "bwana mamvi, you are fired." kuna tofauti kubwa sana hapo, legeza misuli na jaribu kuelewa na kutofautisha kati ya vitu hivyo viwili!!!!! I quit ni tofauti na you are fired, ambiguity ipo wapi hapo?? mbona unanitia aibu sasa na wewe! mwe!!

Wewe inaonekana ni rookie ktk haya mambo ya siasa na lugha ya kidiplomasia. Mtu anapoachia ngazi baada kusababisha utata mara nyingi kunakuwaga na majadiliano na ili kulinda heshima ya huyo mtu basi inatangazwa kajiuzulu badala ya kafukuzwa. You have a long ways to go son....but slowly you are making progress.
 
YNIM, Nyani ametuonyesha kuwa Shaheen aliachia ngazi, we must conceed to his point, lakini mi naomba ni fast forward, Kabla Samantha Power, Howard Wolfson spokesman wa HIllary alimfananisha Obama to Ken Starr, alipoulizwa je atajiuzulu akajikosha eti hakusema! Tunaomba Wolfson ajiuzulu, vinginevyo Clinton camp haina points za kuongea about a decent campaign! Discussion naona hapa imefika tamati.
Nyani bado hujanijibu kuhusu hiyo Kosovo peace deal na akina Sinbad!😀

Nikujibu nini kuhusu huyo Has been Sinbad....yeye kazi yake kuchekesha watu...basi. Sasa anajiingiza kwenye siasa....he better just stay in his place. I can't comment on him.
 
Kitila ,

Tafadhali naomba unielimishe kwa sababu nashindwa kuelewa ni kitu gani haswa unamaanisha . Jee unataka kutuambia ya kuwa kwa kuwa simply dunia nzima inafanya kitu fulani kwa style fulani kwa hiyo ni lazima kila mtu afuate hiyo njia ? Ni mawazo kama haya ndiyo yanafanya watu kuwa dormant katika kufikiri ! Kwa nini tunakuwa waoga wa kuja na idea mpya, kwa nini tunakuwa hatujiamini ...Hivi unajua ya kuwa mabadiliko yote makubwa hapa duniani wether kwenye siasa au sayansi yalitokana na mtu au kikundi cha watu kufikiria tofauti .

Mabadiliko siku zote yanatokea kutoka kwa watu wenye idea tofauti na wako tayari kuchallenge convectional wisdom. Kwa hiyo mimi nadhani ni lazima tu-change jinsi tunavyofikiri ...tuwe independent tusikubali kuwa swayed na maoni ya wengi kama pendullum bob zaidi tusiamini ya kuwa simply kwa sababu dunia nzima inafanya hivi basi hiyo ndiyo alternative pekee.

Hivi usichokielewa ni nini? Obama watu wanamsifia kwamba spichi zake zinasisimua na kutia moyo. Hiyo ni personality trait ambayo Mama hana. Strength ya Mama iko kwenye dataz na uchamubzi wake. Mimi nimeshashuhudia watu wakilia na kutikisa vichwa kwa hisia kali kwenye rally za Obama. Wengine hata hawajui anasimamia wapi kwenye mambo muhimu lakini bado wanamuunga mkono.

Bill Clinton was able to connect with people due to his charm and comments like 'I feel your pain"...My friend that is a personality trait. Wanasiasa wengi waliofanikiwa ktk siasa wengi huwa na personality fulani inayowavutia watu. Mfano mzuri ni Nyerere. Kama unakataa kwamba charisma ina-play role kubwa ktk siasa basi wewe huishi sayari hii.
 
Lakini siumemsikia baada ya kipigo cha Ohio amekubali kubadilisha strategy. Ndio maana na yeye amejiingiza kwenye mkumbo wa kudai tax returns. Anajua kete yake pekee ni hiyo ku-avoid conventional American politics, akijiingiza kwenye ku-attack personality za akina Clintons ndio hivyo tena atakuwa hana tena ticket ya kujiuza. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?

MImi nadhani kuna haja ya kusoma Obama alivyosema tokea mwanzo. Yeye hajakataa kuonyesha difference kati yake na Hillary, dirty politics ni ile waliyofanya akina HIllary ay kusambaza picha zake amevaa nguo za kisomali na anapoulizwa Hillary if she believes that Obama is not a Muslim she saysNo he is not a Muslim "As far as I know..." insinuating that he might be, maybe! Also hii NAFTA gate kui-twist etc.
Mimi naamini Obama is playing at his own rules and people are just starting to understand him. Given the time, voters will get to appreciate his stand. In fact ukiangalia voters wa amam ni 'blue colar workers and those without college education'yaani wenye elimu ndogo! Lakini hata hii si kweli kwani katika states ambapo there's no historic racism kama Wisconsin, Obama does well with them too.
Ukweli ni kwamba Obama is changing the way politics is played and we are all waiting to see if it will work for him. Kuulizia taz returns is not dirty politics ni kutaka Clinton awe transparent maana anadai she has been vetted wakati bado mapemaaa.
 
Nikujibu nini kuhusu huyo Has been Sinbad....yeye kazi yake kuchekesha watu...basi. Sasa anajiingiza kwenye siasa....he better just stay in his place. I can't comment on him.

You are deliberately missing Sinbad's point, he did exactly what Clinton did in Kosovo, does this count as 'political experience'? Kama hivyo na yeye Sinbad anaomba afikiriwe kama presidential candidate as Hillary.
So, tell me what experience are we talking about when we talk about Hillary? Tena hizo 35 years...
 
MImi nadhani kuna haja ya kusoma Obama alivyosema tokea mwanzo. Yeye hajakataa kuonyesha difference kati yake na Hillary, dirty politics ni ile waliyofanya akina HIllary ay kusambaza picha zake amevaa nguo za kisomali na anapoulizwa Hillary if she believes that Obama is not a Muslim she saysNo he is not a Muslim "As far as I know..." insinuating that he might be, maybe! Also hii NAFTA gate kui-twist etc.
Mimi naamini Obama is playing at his own rules and people are just starting to understand him. Given the time, voters will get to appreciate his stand. In fact ukiangalia voters wa amam ni 'blue colar workers and those without college education'yaani wenye elimu ndogo! Lakini hata hii si kweli kwani katika states ambapo there's no historic racism kama Wisconsin, Obama does well with them too.
Ukweli ni kwamba Obama is changing the way politics is played and we are all waiting to see if it will work for him. Kuulizia taz returns is not dirty politics ni kutaka Clinton awe transparent maana anadai she has been vetted wakati bado mapemaaa.

Obama anacheza mchezo wa kisiasa kwa kuomba tax returns kwa sababu Clinton kama seneta anatakiwa kila mwaka atangaze mali zake. Hilo linajulikana wazi. Sasa Obama yeye anauliza ili iweje?
 
You are deliberately missing Sinbad's point, he did exactly what Clinton did in Kosovo, does this count as 'political experience'? Kama hivyo na yeye Sinbad anaomba afikiriwe kama presidential candidate as Hillary.
So, tell me what experience are we talking about when we talk about Hillary? Tena hizo 35 years...

Sasa kama mnadai Mama hana experience Obama anayo?
 
hivi wewe una mushkeli gani?? hilo swali capitol hill kakujibu ndani ya masaa 24 haya ambayo tumo.........sasa unauliza tena!!!! yaani umekuwa kama mtoto anayeomba pipi kila dakika bila kutosheka!! jibu alibadiliki, labda nikukumbushe alichosema CH, HRC hana kapiriensi, Obama hana na McCain hana pia, kwasababu hakuna kati yao ambae ameshaga wahi kuwa raisi!!! what more bwoy??
 
Obama anacheza mchezo wa kisiasa kwa kuomba tax returns kwa sababu Clinton kama seneta anatakiwa kila mwaka atangaze mali zake. Hilo linajulikana wazi. Sasa Obama yeye anauliza ili iweje?

Weee Nyani rafiki yangu! Unajua why clinton hajarelease tax retirns since 2000! Unafikiri yuko tayari kuonyesha nani alimsupport in her senate bid. Sasa analeta longolongo ya kusema April 15th atarelease but these are the 2007 tax returns, what about 2006 and 2005? Hapo ndipo Mama amechemsha, hajarelease hata ya miaka ya nyuma! What is she hiding?
 
Sasa kama mnadai Mama hana experience Obama anayo?

Hatusemi hana experience, anayo experience tosha ya kuishi Washington, I mean White House kwa miaka 8, Obama hana hiyo experience.
Kitu tunachotaka jibu ni kwa nini ana pad resume yake? Siwezi kuandika kwenye resume yangu kuwa nilikuwa Professor chuoni wakati my actual title ni Graduate Teaching Assistant. Hii ni kupotosha ukweli.
 
Kila wakati tough questions are raised against Hillary Clinton, her campaign and her goes for that victim card.
Watu wanataka kujua tax returns zake, kwa sababu wagombea wote walishatoa za kwao, yeye hataki kutoa za kwake. Anaficha nini? Sasa wameanza kumfananisha Barack na Ken Starr purposely ku divert issue.
Kwa hiyo, Hillary hawezi kuwa trusted if she can't disclose this tiny bit of information.
I'm getting bored with her political shenanigans.
 
Weee Nyani rafiki yangu! Unajua why clinton hajarelease tax retirns since 2000! Unafikiri yuko tayari kuonyesha nani alimsupport in her senate bid. Sasa analeta longolongo ya kusema April 15th atarelease but these are the 2007 tax returns, what about 2006 and 2005? Hapo ndipo Mama amechemsha, hajarelease hata ya miaka ya nyuma! What is she hiding?

Yakhe sikiliza. Yeye kama seneta anatakiwa na sheria kutaja mali zake. Mbona hulielewi hilo? Wewe umeanza lini kuwafuatilia Bill na Hillary?
 
Kila wakati tough questions are raised against Hillary Clinton, her campaign and her goes for that victim card.
Watu wanataka kujua tax returns zake, kwa sababu wagombea wote walishatoa za kwao, yeye hataki kutoa za kwake. Anaficha nini? Sasa wameanza kumfananisha Barack na Ken Starr purposely ku divert issue.
Kwa hiyo, Hillary hawezi kuwa trusted if she can't disclose this tiny bit of information.
I'm getting bored with her political shenanigans.

Ishu sio tax returns...ishu ni national security, health care, foreign relations, etc. etc.....
 
Back
Top Bottom