Ushindi wa Mama kule Ohio na Rhode Island ulitegemewa tena kwa large margin. Kwa hiyo hii wala sio kitu cha ajabu. Unajua hata TX walipredict atashinda mama lakini inaonekana ku-loose.
Nyani na wenzako hongera naona mmepata cha kushangilia baada ya majonzi ya muda mrefu hahahahaha.
sasa na kujua kwako politics za hapa unafikiri babu anaweza kushinda New York or california,any nominee from dem lazima ashinde hizo states...kwa hiyo acha kutafuta umaarufu wa states ambazo hata Kucinich angeshinda kama ni Dem nominee!
Aliyemuongezea Obama walinzi anajua nini alikuwa anafanya lol...kumbuka hii ni thread ya Obama anything about him kinakuja hapa..
Anyways, looks like Hilly atachukua TX as well, so far idadi ya delegates ni,
Obama 1,419
Clinton 1,333
Ila tuwe wa kweli na nafsi zetu mwaka mmoja uliopita hakuna aliyekuwa anajua kuwa Obama atakuwa front runner, achilia mbali kushinda primaries na caucuses zote baada ya super tuesday mpaka leo, asiyekubali kushindwa si mshindani
You couldn't put it better. Maanake hapa ni kwamba whether Obama anashinda hii kitu au anashindwa, bado anabaki kuwa mshindi. It is the guy who, whether you like him or not, you can't do really politics in Democrats without him. He is such a huge inspiration to young people and unknowns trying to change the world through politics across the globe. He has managed to defy the wisdom convention in politics. Pamoja na ushabiki wangu to the other side of the game, nakubali kuwa this guy is so much and unexceptionally talented.
Naona CNN wanatangaza, primary ya Texas imeshaenda kwa Hillary by 52% to 48% ya Obama. Lakini wanasema Caucus bado!
Kaka Texas now is a wrap!! Naenda kulala nikiwa mwenye furaha isiyo na kifani. Kama ulivyosema hapa tunadili na mambo halisi na uhalisia tu.
Kaka Texas now is a wrap!! Naenda kulala nikiwa mwenye furaha isiyo na kifani. Kama ulivyosema hapa tunadili na mambo halisi na uhalisia tu.
....in your dream!
mama kweli amejiharibia sana na siasa zake chafu,kitu ambacho wenzake hawatamsamehe ni juzi aliposema..i have experience na Mccain has experience but Obama has a 2002 war speech,watu wakasema what? ina maana kwake mccain ni bora kuliko Dem mwenzako,ni ndoto kwake kushinda come november kama akiwa nominee lakini tunajua she doesnt care,ila sasa i can see 4 more yrs of Bush,kweli Dems wanajua kujiharibia!
Friends:
Siasa kitu ingine. Unaweza pata ugonjwa wa moyo bure!
True to my heart, nilijua BO ana wrap up hii kitu leo!
What a turn! Well these people all fought hard and whoever ends up as a nominee, kweli atakuwa ana deserve.
But you guys tell me...iweje kijana ameshinda 11 straight states..na bado haja pata nomination?
Eeehhh kweli siasa waachie wenyewe! I have proved today.
Unajua when Bill Clinton said if his wife wins TX and OH she will be the dem nominee, I thought the man was just joking! Fogetting kwamba politics is his trademark!
Salute Obama! I hope watever happens...you will be on the ticket!
Masanja, Obama ameshinda small states, ambazo nyingine always goes Red (Republican) hiyo ndio argument ya Mama Clinton. Obama is a strong candidate, sema mama amepush hard kuhusu scandal ya Obama's adviser kuongea na Canada government concern NAFTA, vile vile mama alipotoa ile Ad ya 3:00am ambayo imetumika 1960's and sometime 1970's, hii ni special kuonyesha kwamba McCain will always run kuhusu national security.
Kwa swala la National Security, Sen Obama hana strong argument, sababu speech is different na kuvote kama mama alivyokuwa akidai. Politics ni dirty game, na Clinton machine ni balaa, kingine ni STUPIDY ECONOMY, Sen.Obama hana experience ya kurun anything, hawa The Clinton wanakuja na idea ya buy one get one free kwenye swala la economy and national security.
Guys, leo ni bad night kwa sen.Obama, The Clinton wata rise more money, watakuja na strong power. I don't know what strategy Sen.Obama will come with kushinda Penny state.