Geeque
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 936
- 319
Ndi magazeti yenu nyie liberals....hayana hoja
Naona ume-tune kwa Rush Limbaugh saa hizi ha ha ha ha !!
Ndi magazeti yenu nyie liberals....hayana hoja
Naona ume-tune kwa Rush Limbaugh saa hizi ha ha ha ha !!
Kaka,
Mimi bwana ni centrist. Kuna mambo ninayokubaliana na liberals na kuna mambo ninayokubaliana na conservatives. Nikupe mfano mmoja au nikuulize swali. Wewe msimamo wako kwenye gay marriage ni nini? Hapa kwa Bush kuna baadhi ya watu eti wanataka ku-redifine marriage. Mimi na nasema marrage ni muungano kati ya mwanaume na mwanamke. Zaidi ya hapo sio ndoa tena. Sasa sisemi kwamba nina-mind mijitu/ midume mizima ikitaka kufanyana na kuishi pamoja kama mume na mke. Hiyo ni juu yao. Lakini yasitake kulazimisha kufungishwa ndoa kanisani ama msikitini kama ilivyo desturi na yasitake kubadili sheria za ndoa ambazo zinatambua ndoa kuwa ni kati ya mwanaume na mwanamke.
Kwenye hili jambo ninaungana na conservatives. Maliberali wao wanasema pouwa tu...na mimi nasema hapana. Huu ni mfano mmoja ila ipo mingi.
Tuje kwenye utoaji mimba. Mimi napinga utoaji mimba na hapa tena ninaungana na ma-conservatives kuwa utoaji mimba ni kitendo cha kikatili na si cha kibinadamu hata kidogo. Maliberali wao wanasema mwanamke ana haki ya kuchagua afanye nini na mwili wake. Mimi nasema sawa lakini uchaguzi huo usiwe wa kukatisha kiumbe/ binadamu aliye katika hatua za mwanzo za uhai wake.
Sasa kuna baadhi ya maconservatives wanaounga mkono capital punishment huku wakipinga utoaji mimba. Mimi napinga hukumu ya kifo na hapa ninajikuta nakubaliana na liberals wengi. Upo hapo kaka...
Pamoja na kwamba mimi pia napata kichefukichefu nikiona mtu anaamua kuwa gay, lakini sioni shida mtu anayeamua kuwa gay. kwa hiyo nikikuta mijamaa miwili imeamua kuoana mimi sina kinyongo nayo kabisa madamu hayaleti shida kwa wengine. Halafu mimi pia naunga mkono mwanamke kutoa mimba kwa mazingira husika. Do you think I sound more liberal than you?
How come there are no African Nobel prize winners in any scientific field? I think the total number of African Nobel laurettes is no more than 5 and they won Nobel prizes in peace, literature or some other non-scientific field. Can we infer from this fact that Africans are not good at science, math and other scientific fields? Maybe there are other explanations as to why Africans are underrepresented in scientific fields.
NN,
kaka hayo ma-politics ya gay marriage, abortion rignts, gun control na tobbacco yapo complicated sana na beyond hizo lipservices za kina Rush L na shoga zake!
Conservatives wapo against gun control na tough tobacco regulations..je hivi vitu viwili haviui watu?
abortion rights ni issue ya kikatiba kama ilivyo guns, sasa tatizo li wapi? sijui uli-major nini college, lakini kuna darasa moja la philosophy la juu sana linadili na hizo controverses..na recommend kitabu hiki ukisome, "Taking Sides: Clashing Views on Bioethics" 12th Edition by Carol Levine!
Jamaa katika issue za 'bortions na gay rights wanaingiza udini..yo' hii ni secular democracy, come on, man! Ukiingiza researches ambazo zishafanywa, nchi ambazo abortion ni legal zina rate ndogo zaidi ya nchi ambazo ni illegal..hamna mtu anayeshika mkono watu waende wakatoe mimba, bali ni haki ya kikatiba kwa haki hiyo kuwepo incase and when it is necessary! na wazembe hawa hawa wanaokwamisha stem cell research kwa argument hizo hizo za sanctite of life! jaribu kufuatilia wanazuoni mbalimbali hata wa dini zetu mbili kubwa, utaona jinsi wanavyotofautiana juu ya wakti gani ktk course ya pregnancy maisha yanakuwa yameanza rasmi! argument halali against abortion ni slippery slope, ambayo evidences zime-prove ni bunch of baloney, so jamaa zako sasa wamebakiwa na argument ya udini..ambayo ni cheap kushinda cheap yenyewe!
kuna wale ambao huwa wana-protest kwenye abortin clinics! kuna story ya mama mmoja huko FL alikuwa mmoja wao, siku isiyojua watu mwanae watu wakapiga ya nje ya kumi na nane, nyavu tinga, GOLI! bila aibu yule maza alienda kuinyofoa ile mimba na bado akawa ana protest! POLITICS!
Gay maariage, mie naishi Boston, MA, hapa ni legal wao kuoana.sipendi! lakini ni issues ya haki za kikatiba kama couples! mambo ya ma-consent incase mmoja yupo mahututi, mirathi, hospital visitations etc. Ndio maana, Uncle Teddy alikuja na compromise ya gay unions, haki hizo zitambulike kisheria na ku-avoid language ya gay marriage. lakini nyie conservatives mkakataa,POLITICS!!
Bwahahahahahaaaaa....hizo ndoa za mashoga huko huko Massachusets ambako 3/4 ya watu wote ni mashoga...na wewe sasa nitaanza kukuweka ktk kundi la suspects...kwikwikwiiii
......tafadhali sheikh!! mie sipendi sana tabia za machoko, maana naona vituko vyao kwenye ma-train and other public areas!! lakini ukweli unabaki kuwa kuna haki, kama nilotaja hapo juu kuwa zitambulike kisheria!! again wasee pale beacon hill walikuja na compromises kadha wa kadha including hiyo ya unions na kuwapa haki zote, ili ku-avoid language ya marriage!! lakini ni ninyi, mliona opportunity ya ku-politicize hii issue ili ku-polarize watu, kwajili ya cheap political gains!!!.
hata hapa kuna wale waliosema kwamba ndoa/unions hizo zikiruhusiwa itakuwa hivi sijui vile, hakuna lolote na mbingu bado zipo mbinguni!!! si kweli kwamba 3/4 ya midume huku ni majunya!! wengi wa majunya ni 'implants' toka states na miji ambayo sio friendly kwao............ni sawa na issue ya mateja Portland, OR au ma-gay wa west coast in San Fransisco!!!.
Kuna wale wanaoamini kwamba, watu hawa hawachagui kuwa vile bali ni maumbile yao toka huko kwenye genotype!! hapo sasa ndio wanahitaji kupatiwa haki sawa kama binadamu yeyote.
kuna argument ya kwamba its a disease, na zipo rehab zenye fruition nzuri tu, watu wanarudi mtaani hawapumuliwi tena kichogoni!!!
bottomline, issue haipo black and white, kuna a lot of grey areas ambazo zinahitaji kufanyia kazi kujua hasa kulikoni!!?? 'till then, si vyema kufikia conclusions na kuwanyima jamaa haki au kulifanya "tatizo" hili political..
Ni haki gani hiyo wanayonyimwa? Kazi wanafanya...tena nzuri tu. Tatizo la wao wanataka zitungwe sheria zinazowapendelea wao...ebo!! Hamna mtu anayepinga wao kushikishana ukuta...tunachopinga ni wao kutulazimisha sisi tuzitambue ndoa zao wakati tunajua ndoa ni kati ya mwanamme na mwanamke
Hizi issue za magay na abortion ni ngumu sana na ziko complicated maana zinaingiza hadi maswala ya imani.
Naona issue za Road to White House 2008 zimefunika hadi uchaguzi wa Russia(wanachagua rais kesho/jumapili).
afadhali mheshimiwa sana umekuja, tusaidiane kumrejesha kundini huyu bwana!! maana naona lile tongwa analopewa na Rush Limbaugh limefanya kazi yake kweli kweli!! kaaaazi ipo!!
huo uchaguzi wa Russia si ni sawa tu na ule wa Cuba juzi!!? jamaa anakuwa hand picked kumrithi Putin.......Bongo tuna demokrasia kushinda Russia!!.
Alafu Putin anaweza kuwa waziri mkuu he he ukisikia kutawala kwa remote ndio huko.
Hivi huu uvumi wa Hotlanta kuwa gay capital ni vipi? nasikia hadi Elton John ana nyumba mjini hapo.
Alafu Putin anaweza kuwa waziri mkuu he he ukisikia kutawala kwa remote ndio huko.
Hivi huu uvumi wa Hotlanta kuwa gay capital ni vipi? nasikia hadi Elton John ana nyumba mjini hapo.
Hizi issue za magay na abortion ni ngumu sana na ziko complicated maana zinaingiza hadi maswala ya imani.
Naona issue za Road to White House 2008 zimefunika hadi uchaguzi wa Russia(wanachagua rais kesho/jumapili).
Hizi ishu wala sio ngumu kama nyie liberals mnavyotaka tuamini. Nini kigumu ktk utoaji mimba? Kukatisha uhai wa kiumbe kilicho hai ni dhambi na unyama wa hali ya juu. Ugumu uko wapi hapo? Na hakuna swala la imani wala nini ishu hapa ni right and wrong na common sense.