Ralph Nader for President!!! Taping ya meet the press imekwisha.....na habari mvujo ni kwamba, Yes, Ralph Nader will run again!!!.
It is already a law my friend. Check out the new I9 forms and you will know. Each employer is now (since December 07) is required to use a new form I9 which does force an applicant to show prrof of being US citizen, PR or work permit. Gone are state ID, and SSN!
Yes we can...ahahahahahaaa...hii inanikumbusha nguvu mpya, ari mpya, na kasi mpya....
Yaani nyie watu mnaomdharau McCain you have something coming your way. They will paint Obama an unpatriotic and believe me with John McCain the war hero...that is going to resonate. Tayari kina Obama wameshaanza ku-gaffe....sikiliza comment za Michelle...
Hahaha naona na wewe kaka sasa umeshaanza kuchotwa na Obama-mania...hawa wawili ktk sera hawana tofauti..kumbuka wote ni Democrats..kwa hiyo huwezi kuona tofauti kubwa sana. Tofauti kubwa iliyopo ni ya personality na style.
Mimi kinachoniudhi ni hawa washabiki wa Obama na wao kushambulia na kumtukana Mama hadi kufikia kusema kama akipata nomination hawatampigia kura. Come on, that's low down for them to be that way...they are both Democrats and whoever gets the nomination then all should rally behing him or her in November. Lakini hata iweje Republicans will win in November because they always resonate with the majority of the people in the US
Ebo!!! Mtakeni mwenzenu radhi mtamfananishaje na JK...Hivi kipimo cha kuwa Mzalendo ni nini hasa kuweka lapel pin/kuimba wimbo wa taifa/kuweka mkono kifuani wakati wa wimbo wa taifa?
All Hat No Cattle-rubbish hivi kuna ugumu gani wa kwenda kuwauliza wananchi wa Chicago alikokuwa Organizer... Was Obama wrong aliposema ataibomb Pakistan kama kuna intel ya kuaminika kuhusu magaidi? maana kuna wengi walimshambulia na kumuita naive, lakini kwa jinsi mambo yanavyokwenda Musharraf hana siku nyingi ofisini kazi kwenu.
Hapana kabisa kaka. Ila nilitaka kuweka sawa hili maana kuna wengine wanarahisha mno kusema jamaa mweupe kabisa, hapana ana vitu japokuwa havimfikii mama. Unajua baada ya jamaa kuwa front runner tumeanza kuwajua zaidi akina Obama. Baadhi ya media zimeshaanza kuwatafuna. Inaonekana mke wake huko mbele atakuwa ni liability kubwa badala ya asset. Katika wiki moja mambo kibao yameshaibuka kuanzia kutokuwa proud na America hadi mumewe alipokuwa anagombea urais na alipoona anataka kushinda hadi kushindwa kuji-integrate pale chuoni kama alivyojifunua kwenye thesis yake mwenyewe. Na hili jipya la kugunduka kwamba kumbe huyu mdada hatoki kwenye working class kama alivyosema na kwamba hajawahi kuwa na interest ya maisha ya watu zaidi ya kuhangaika na utajiri kama ilivyoripotiwa leo kwa kina kwenye Mail on Sunday. Eee bwana kazi ipo huko mbele. Ngoja tusubiri mpambano utakavyokuwa.
Lakini mkuu baada ya kusema yote hayo pamoja na mapenzi yangu kwa dada Hillary, lazima nikiri kwamba mshikaji ni kiboko, maana ame-defy conventional wisdom katika siasa duniani kote. Jinsi alivyojenga hoja na kubadilisha kabisa kwamba swala la experience sio asset, bali linaweza kuwa liability kubwa katika siasa na hili wazo lake likakubalika nimechoka. Kwa hoja hiihii atawatesa sana Republicans kama atapata nomination, kazi bado ipo!

Salaam Kitila!
Hayo uliyoyasema kuhusu Michelle Obama naona umeya mislead deliberately. she didn't say she's not proud of her country alisema "Fr the first time in my adult life, I am REALLY proud of my country"na iligundulika ya kuwaFox news waliedit na kutoa neno ''Really'. Naomba hilo lieleweka, maana hata issue hii imekufa kimyakimya baada ya watu kuona kwamba haina kichwa wala miguu.
Hiyo issue ya kwamba hakutoka kutoka familia ya middle class kama alivyodai naomba link ili niisome kwanza kabla sijacomment.
Asante

Tatizo hawa Ma-Obama-maniacs wameamini yale ambayo yamekuwa yakisemwa na Republicans kuhusu Mama hadi na wao wamefikia hatua ya kusema ABC...Anybody But Clinton...Ma-Republicans ni majanja sana. Yameshawagawa Democrats na kilichobaki ni ushindi tu Novemba.
Yes we can...ahahahahahaaa...hii inanikumbusha nguvu mpya, ari mpya, na kasi mpya....
Yaani nyie watu mnaomdharau McCain you have something coming your way. They will paint Obama an unpatriotic and believe me with John McCain the war hero...that is going to resonate. Tayari kina Obama wameshaanza ku-gaffe....sikiliza comment za Michelle...
Mzee naona unafuatilia kwa makini hii kitu bila ushabiki. Siasa za US is not about chama kama kwetu bongo. Humo humo ndani ya Republican kuna watu wengi tu wanampinga Bush tena wazi wazi na mtu anapogomania anabeba sera zake siyo za chama. Kwa hiyo utaon akabisa Bush hana madhara yoyote kwenye uchaguzi ujao. Hawa Republican waacha kama walivyo toka 2000 wamepunguza EV nyingi kwenye blue state na always vyombo kama Pentagon, CIA, FBI vinakuwa upande wao ukiongea na watu waliokula chumvi nyingi wanamsikitikia sana Obama kwani wanaamini anything linaweza kutokea sasa hivi kwenye maisha yake. Hivi Mkumbo nikikuuliza ni kivipi Bush ameshinda uchaguzi mara mbili unaweza kuniambia? Do not play with republican. Hivi unakumbuka ule uchaguzi wa kwanza Bush alikuwa hajui hata aongee nini dhidi ya kipanga Gore lakini alishinda. Kama alivyosema Nyani, Republican wameshashinda wanasubiri uchaguzi, labda mama ashinde kwani McCain na mama ni marafiki wakubwa na the Bush wako upande wa mama. Kitu ambacho Dems kingewafanya washinde kwa ulaini ni kama mama angegombea na obama angekuwa makamu lakini kwa sasa imeshaharibika. Mama angewagawa republic all time. Obama anaweza kushinda the nomination kwana Dems na GOP wote wanataka hivyo.Unajua kama Republicans watashinda this time pamoja na blunder zote alizofanya Bush basi nitajua hawa democrats ni vilaza hasa na nitaanza ku-question allegiance yangu kwao!
Mkuu ile statement yake kuhusu kuwa proud usifikiri imepita, subiri kampeni zianze baada ya nomination. Walichofanya sasa hao Republicans ni kuiweka pembeni ili wasionekane wana mtanagza Obama kama ndiye mgombea wa Democrats. Tupo hapa tutaelezana.
Haya hiyo link ya Mrs O hii hapa, soma halafu lete maneno: http://www.mailonsunday.co.uk/pages/live/femail/article.html?in_article_id=517824&in_page_id=1879
Michelle alizungumzia haya yote na hajawahi kukataa kuwa familia yake ilikuwa middle class!The Robinsons grew up on the upper floor of a house built in the Twenties. Number 7436 South Euclid Avenue - a classical reference to the Greek mathematician which found an appropriate echo in Michelle's subsequent respect for traditional learning - even has a small garden, shaded by a large elm tree, and an ornate stone bench.
The South Side of Chicago has long had its share of gang-infested housing 'projects' but with the University of Chicago hospital close by, there were plenty of white professionals in the area as well as hard-working families in the Robinsons' own image.
No one could pretend they were rich and it is true that her father, Frasier Robinson, spent some time as a maintenance worker for Chicago's Department of Water Management.
However, he was a good deal more than the labourer that many seem to imagine.
Indeed, according to family friends, Michelle's father was a volunteer organiser for the city's Democratic Party, a by-word for machine politics in America, and his loyalty was rewarded with a well-paid engineering job at Chicago's water plant. Even before overtime, he earned $42,686 - 25 per cent more than High School teachers at the time.
Michelle's mother stayed at home and devoted her energies to her and her older brother Craig. Marian Robinson nurtured great ambitions for both her children, along with the traditional values which are now serving Michelle so well.
Television was all but banned in favour of homework, debates about the issues of the day and improving games of chess.
Democratic presidential candidate Barack Obama defended himself and his wife Sunday against suggestions that they are insufficiently patriotic.
Asked during a town hall meeting in Lorain, Ohio, about "an attempt by conservatives and Republicans to paint you as unpatriotic," a questioner cited the fact that Obama once failed to put his hand over his heart while singing the national anthem.
The questioner also noted that the Illinois senator does not wear an American flag lapel pin, has met with former members of the radical anti-Vietnam War group, Weather Underground, and his wife was quoted recently as saying she never felt really proud of the United States until recently.
Asked how he would fight the image of being unpatriotic, Obama said, "There's always some nonsense going on in general elections. Right? If it wasn't this, it would be something else. If you recall, first it was my name. Right? That was a problem. And then there was the Muslim e-mail thing and that hasn't worked out so well, and now it's the patriotism thing.
"The way I will respond to it is with the truth: that I owe everything I am to this country," he said. Obama said it was a speech about his love for this country that put him in the national spotlight. He shot down the idea that failing to put his hand over his heart during the national anthem makes him unpatriotic.
"If that were the case, that would disqualify about three-quarters of the people who have ever gone to a football game or baseball game."
Obama said his wife, Michelle, had already explained her comments. "She simply misspoke," he said. "What she was referring to was this was the first time she has been proud of politics in America.