US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Hivi kwa nini kaka Barack anaonekana kukwepa debates na dada Hillary? Au ndio yaleyale ya JK wetu ya kukataa debates na akina Lipumba 2005?

Hii argument imesha-expire muda mrefu sana! Wamesha-debate mara 18 na Obama amekubali 2 more debates, bringing the total to 20! Sasa kibibi kilitaka debate 5 in 4 weeks! Obama kamwambia anakubali debate 2 na zaidi ya hapo NO kwa sababu yuko busy kujitambulisha kwa wananchi wake. Which is fair considering the fact that Clinton is a household name while Obama ndo ameanza kujulikana na wamarekani!
 
Debate anazotaka Mama ni zile za ana kwa ana ili kuonyesha tofauti zilizopo kati yake na Obama. Kati ya hizo 18 ulizozitaja, ni ngapi zilijumuisha watu zaidi ya wawili? Debate yoyote inayohusisha watu zaidi ya wawili sio nzuri ktk kung'amua wagombea wanasimamia nini na wanasimama wapi ktk mambo muhimu. Muda wa kujibu maswali na wenyewe unakuwa hautoshi kwa sababu inabidi wampe kila mtu nafasi sawa. Inapokuja kwenye debate ya watu wawili, hapo ndio mtu mnaweza ku-debate kwa maana. Maana inakuwa ni argument-counter argument na point-counterpoint. Sasa hapa Obama ndio anagwaya kwa sababu anajua hafui dafu mbele ya Mama. Hili lingekuwa eneo analoliweza wala usingemuona anakimbia na kutoa visingizio kama anavyofanya sasa. Kitu anachokiweza yeye ni kukopi spichi za watu kama zilivyo, neno kwa neno, na kuhutubia kama vile ni zake mwenyewe. Huyu ni JK mwingine....uswahili swahili na blah blah nyiiingi lakini hakuna substance
 
sasa JK unataka kutwambia anakopi speech za wengine?

ww unatafuta shari kwa makusudi halafu ukibanwa sehemu nyeti ueleze utufanye tukeshe hapa kuuliza nyani yuko wapi
 
JK hata kukopi hajui...anachojua yeye ni kutoa pumba tu. Hapa na pale huwa anabahatisha...kama ile juzi kwenye mkutano wake na Bush...yaani hayuko consistent kabisa....
 
Hivi bado kuna watu hamuamini kwamba Obama anaendelea kupiga bao??????? Mnaosema Obama ni speeches tu mmeingia kwenye website yake mkaona anasema nini kuhusu uchumi, healthcare, defence etc.????? Haya mama amekuwa akimzulia mengi tu na kumshutumu kwamba anaongea tuuuuuuuu lakini jana kwenye debate alishindwa kabisa kusubstantiate shutuma zake face to face na akishia pia kwa kukopi phrase ya John Edwards,

Go Obama 08!!!!!!!!!
 
Ngabu mama sasa kwisha habari yake yeye aunge hilo tela tuu ambalo linaenda kumsambaratisha babu hapo november,Clintons are smart na wala sio greedy kama watu wanavyotaka kuwaonyesha,na wanaopakaza hayo ni maadui zao Republican ambao walisambaratishwa vibaya sana in 90's,Clinton kama akishindwa one of the state TX or OH she is goin to concede the defeat and move on,coming 2 weeks mama anaweza kuwa nje ya hii kitu na kumwachia mpira Obama na kummwagia support tele,hapo sasa ndio utaona kivumbi cha kweli kutoka kwa hawa wachafu wa republican na sitashanga Obama camp nao wakianza kucheza foul maana republican sio mchezo kwa siasa chafu na nina uhakika mambo ya color yatakuwa waziwazi kabisa ila ita backfire this time...Obama ni very strong candidates na hata republican wanajua hilo,well tusubiri ila najua MCcain + republican watachapwa vibaya sana coming november.
 
Ngoja nikuambie...GOP wajanja sana. Wana-cross over ktk hizi caucus na primaries na kumpigia kura Obama sasa hivi. Wanajua fika kwamba itakuwa mbinde kwa wao kumshinda Mama november so wanaona ni bora wamfanyizie mapema kuliko kwenye kinyang'anyiro chenyewe. Republicans will walk all over him, if you don't believe me, wait and see!!! Halafu sijui mtasema nini wakimsambaratisha zaidi ya kulalama ubaguzi....
 
Ngabu hiyo theory yako is not valid maana kwanza sio states zote alizoshinda obama zinaruhusu crossover na hata zinazoruhusu crossover percentage ya republican iliyofanya hivyo is not even 1%...hii analysis niliiona kweye realclear politics,kijana tunajua umewahi kuja hapa na theory like a million lakini kila mkisimama ni kipigo tuu,si mkubali tuu Obama is a winner,subiri uone MCcain atakavyosambaratishwa.
 
mambo gani tena hayo jamani....ugomvi wa nini

wewe mamam siku zote si huwa unamwandama Obama wewe....sasa umesemwa wewe kidogo unakuja juu........sasa subiri hiyo next week uone....someone gonna cry
 
Ngabu hiyo theory yako is not valid maana kwanza sio states zote alizoshinda obama zinaruhusu crossover na hata zinazoruhusu crossover percentage ya republican iliyofanya hivyo is not even 1%...hii analysis niliiona kweye realclear politics,kijana tunajua umewahi kuja hapa na theory like a million lakini kila mkisimama ni kipigo tuu,si mkubali tuu Obama is a winner,subiri uone MCcain atakavyosambaratishwa.

Sometime I am forced to believe on evolution! Sidhani kama itakuwa "Breaking News" kwa Obama kuwa rais. Hata JK alipata 80%.
 
sam welcome back....good to see you man!!

......hivi huyu mama na mahasira yake ataweza kweli mikikimikiki ya ulimwengu kweli huyu....hasa kule middle east!!!

Just check hizi statements
.....Change you can Xerox!!
......Shame on You!!
 
sam welcome back....good to see you man!!

......hivi huyu mama na mahasira yake ataweza kweli mikikimikiki ya ulimwengu kweli huyu....hasa kule middle east!!!

Ogah,
Thank you,
Kuna kitu ambacho kimetokea kama kilichotukumba sisi tukaishia kumchagua JK. Sina uhakika kama huyu mama atauweza urais hata kuko nakopita simpigii kampeni. Kitu kinachoniuzi ni huyu Obama. Kwa kuwa yeye ni smart anatumia u-smart wake kuchezea vichwa vya watu. I hate that! He could be a better president kama angekuwa anaongelea facts. Najua hawezi kupata kura kama asipoziteka akili za watu. Sikiliza kwa makini hotuba zate halafu tafakari ni kitu gani anachongelea. He can make people shout.. we need change! we need change! we need change! we need change! we need change! for ten minutes na baadaye anamalizia kwa kusema kwa kusema we believe we can do it, we believe she can do it, we believe he can do it, Thank you california! Halafu watu wanaenda kupiga kura. That's damn stupid. We should stop politics of hope! Kwani CCM inashinda kwa mbinu gani? They make people hoping for better future without facing the real issues. Politics of hope non sense. Kwa sasa ukiwaweka wawili kati ya Obama na Clinton kama only option nitaenda na Hilary. No doubt! Thanks again.
 
Wasee,
naona demikrasia ilikuwa under assault, glad to be back!! I hope kila mtu yupo salama....nilikuwa nimewa-miss sana. LOL

mama vipi tena? naona ka-throw tantrums kichizi leo in cincinnati!! au ndio stunts hizo za kujaribu ku-salvage chochote kilichobaki kwenye kampeni yake?? ama kweli billary watafanya na kusema chochote ili kushinda!!

NN,
unasemaje juu ya attacks za Tavis Smiley kwa Obama, juu ya kukataa kwake kuuzurulia "state of black union" in NO?? nadhani ni unfair, kwani sababu alizotoa zinajitosheleza!!
mwaka huu tutaona mengi.....
 
Oh Super Sam...you killed it man...you killed it!! Huyu Obama maneno mengi mno halafu no substance. Mimi natabiri ataangamizwa vibaya sana come November. Halafu hawa Democrats walivyo wajinga...eti washabiki wa Obama wanasema Mama akipata nomination hawatampigia kura...what a shame...hata mke wa Obama naye anasema hivyohivyo....talk about divide and conquer by the GOP....
 
Wasee,
naona demikrasia ilikuwa under assault, glad to be back!! I hope kila mtu yupo salama....nilikuwa nimewa-miss sana. LOL

mama vipi tena? naona ka-throw tantrums kichizi leo in cincinnati!! au ndio stunts hizo za kujaribu ku-salvage chochote kilichobaki kwenye kampeni yake?? ama kweli billary watafanya na kusema chochote ili kushinda!!

NN,
unasemaje juu ya attacks za Tavis Smiley kwa Obama, juu ya kukataa kwake kuuzurulia "state of black union" in NO?? nadhani ni unfair, kwani sababu alizotoa zinajitosheleza!!
mwaka huu tutaona mengi....
.

Nyie ma-Obamaniacs criticism yoyote ile kwa Obama ni unfair na racist....Tavis angekuwa mzungu tayari mngeshasema amekuwa mbaguzi. Mbona Mama kahudhuria even though haikuwa friendly territory...Obama anaogopa nini? Unapogombea kuwa raisi wa wote ni muhimu kwenda ku-adress matatizo ya watu pale wanapokuomba ufanye hivyo....

Let's say Obama angekubali mwaliko na Mama kukataa sijui mngesema nini? So far Obama is getting too many passes but serious vetting is coming as he becomes the presumptive nominee. Tayari watu wameshaanza kuwa-question uzalendo wao...
 
Ngabu hiyo theory yako is not valid maana kwanza sio states zote alizoshinda obama zinaruhusu crossover na hata zinazoruhusu crossover percentage ya republican iliyofanya hivyo is not even 1%...hii analysis niliiona kweye realclear politics,kijana tunajua umewahi kuja hapa na theory like a million lakini kila mkisimama ni kipigo tuu,si mkubali tuu Obama is a winner,subiri uone MCcain atakavyosambaratishwa.

Divide and conquer at its best!!
 
Nyie ma-Obamaniacs criticism yoyote ile kwa Obama ni unfair na racist....Tavis angekuwa mzungu tayari mngeshasema amekuwa mbaguzi. Mbona Mama kahudhuria even though haikuwa friendly territory...Obama anaogopa nini? Unapogombea kuwa raisi wa wote ni muhimu kwenda ku-adress matatizo ya watu pale wanapokuomba ufanye hivyo....

Obama anagombea uraisi wa marekani na sio wa watu weusi!! alikuwa NO wakti wa katrina na alikuwa huko juzijuzi wakati wa kampeni!! sasa yupo bize OH na TX aende Louissina kufanya nini?? tena lau kama angeenda kuna wale wengine wangesema, "he is to black and bla blah bla." Kwanza Tavis toka mwanzo yupo critical na Obama na ndio maana wakina sisi tupo suspicious na motives zake. Hiyo "black union" lipservice ipo sasa kwa miaka mingapi na chepi ilicho accomplish??. kuwa mbaguzi sio lazima ati "uwe mzungu tu," kuna mijitu mieusi pia mibaguzi!!.
Tavis akiendelea na ujinga wake huu tuta-boycott ka-talk show kake kwenye PBS!!!. Ndio maana Robinson alimpa chubwiii kule BET, kajamaa kumbe ni kazembe sana.................sio kila kitu atachofanya Hillary basi na Obama lazima afanye, hizi ni kampeni mbili tofauti zenye staili tofauti. Mama kaona anaulazima wa kuwa NO, Obama hakuna umuhimu huo compared na prioritiez alizonazo. sasa tatizo liwapi??
kwanza leo HRC kachemsha sana in Cincinatti, tusubiri sunday talk shows zitakavyo msurubu.....muendelee kulilia tu kama kawaida yenu.
 
Obama anagombea uraisi wa marekani na sio wa watu weusi!! alikuwa NO wakti wa katrina na alikuwa huko juzijuzi wakati wa kampeni!! sasa yupo bize OH na TX aende Louissina kufanya nini?? tena lau kama angeenda kuna wale wengine wangesema, "he is to black and bla blah bla." Kwanza Tavis toka mwanzo yupo critical na Obama na ndio maana wakina sisi tupo suspicious na motives zake. Hiyo "black union" lipservice ipo sasa kwa miaka mingapi na chepi ilicho accomplish??. kuwa mbaguzi sio lazima ati "uwe mzungu tu," kuna mijitu mieusi pia mibaguzi!!.
Tavis akiendelea na ujinga wake huu tuta-boycott ka-talk show kake kwenye PBS!!!. Ndio maana Robinson alimpa chubwiii BET, kajamaa kubwe ni kazembe sana.................

Watu weusi ni Wamarekani pia. Tatizo lenu nyinyi mmeshalewa u-Obama na sasa hamtumii vichwa vyenu kuchanganua mambo badala yake mnatumia hisia...ndio maana hajibu hoja kwa hoja bali mnajibu hoja kwa shutuma....kwikwikwiiiiii
 
Back
Top Bottom