US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Well siku zote media italalamikiwa..lakini kumbuka media outlets nyingi zinaangalia wapi kuna faida na viewers wengi watapatikana vipi.
HRC nadhani kushindwa kwake kunachangiwa na yeye mwenyewe kujiamini kupita kiasi, mwaka jana time kama hizi kila mtu alijua mama anasuburi wakati ufike apitishwe kama mgombea wa Dems,nadhani sins za mumewe na madudu yake mwenyewe nayo yamechangia kunyimwa kura vile vile.

Nikuulize swali nini kinakufanya uamini Obama hatochaguliwa come November? weka maswala ya rangi pembeni.

Kinachonifanya niamini Obama atashindwa Novemba ni mambo yafuatayo: Kwanza, Senator McCain ni formidable candidate. He is a true American patriot, and hero and in post 911 you best believe that will be a major issue. You can't question it and neither can Obama. End of story. Republicans will make that an issue and already your camp has started gaffing about it. Pili, hivi ni change gani ambayo Obama ameshaleta wakati akiwa Senator? Niambie mbili tu. He talks about being able to bring both Republicans and Democrats together...well, what can he say about McCain when it comes to that..? Ngoja nikupe na wewe homework...tafuta accomplishments za McCain halafu tafuta za Obama halafu linganisha uniambie nani zaidi.

Na wewe ni nini kinachokufanya uamini Obama atashinda November kama akipata uteuzi wa chama chake?
 
Haya na mbaguzi Farakkhan amem-endorse Obama....kazi ipo Novemba

Lakini Farakkhan si amesema amebadilika siku hizi kuhusiana na misimamo yake against Jews and Whites. Hapa ndio inaonekana ni jinsi gani Obama anaweza kukusanya watu wenye misimambo mbalimbali kwa ajili ya Common Purpose. Usije kushangaa hata kiongozi wa Ku-Klux-Klan akamu-endorse Obama na kuamua kuachana na dhana ya White Supremacy.
 
1. maadili na lobbying
2. responsible spending

Angalia hii picha ambayo akina mama wanaisambaza kwenye net
obama_narrowweb__300x512,4.jpg
 
Hahahaha mazee kumbe wewe hujasikia bado...? Kuna jamaa wa KKK wame-donate kwenye kampeni Obama kwa sababu hawataki Mama awe raisi. Kuhusu Farakkhan...yeah right...labda wewe mwenzangu unamwamini kuwa siku hizi kabadilika. Mwenzako mara chachechache huwa nasoma gazeti lake la Final Call na sioni mabadiliko yeyote yale ya kimtazamo.

Hii endorsement haijawafurahisha kambi ya Obama hata kidogo maana hata hawakukawia kutoa tamko kwamba Obama anatofautiana na mitazamo mingi ya Farrakhan. Yaani huyu Farakkhan angekaa kimya tu au angemsapoti kimya kimya na sio hadharani namna hii kwani kwa kufanya hivyo wanazidi kuwapa GOP ammunition.
 
1. maadili na lobbying
2. responsible spending

Angalia hii picha ambayo akina mama wanaisambaza kwenye net
obama_narrowweb__300x512,4.jpg

Enheee sasa hapa ndo utaona kuwa hawa GOP si watu wa lelemama. Huyo Drudge ni right winger na ameiweka hiyo picha kwenye site yake halafu anadai imetoka kwa Mama. Kwa jinsi temperature ilivyo sasa hivi ktk kinyang'anyiro cha Democrats, wenyewe (GOP) wamesha figure kwamba chochote watakachosema kuhusu Mama wakisema wapenzi wa Obama watakiamini tu. So kwangu mimi huu ndio uchonganishi unaofanywa na Republicans na kwa bahati mbaya Democrats wengi na wenyewe wanaingia mkenge. I told you guys, they dividing right now and will conquer in November.....mtakuja kuniambia

Ila uongo mbaya hiyo picha inachekesha....
 
Kuhusu McCain hakuna mjadala kwenye utumishi wake kwa taifa lakini anasimamia siasa zilizopitwa, plus position zake kwenye certain issues zinabadilika badilika sitegemei kuona mabadiliko yoyote kutoka kwa McCain. Kazungukwa na mafisadi ambao wako kutetea maslahi yao mfano ni Renzi na fuatilia ile scandal yake na Keating Jr.
 
Hizo siasa zilizopitwa ni zipi? Nauliza kwa sababu sioni lolote jipya Obama ataloleta kwa sababu hakuna lolote alilokwishafanya? Kusema hope, yes we can, change we can believe in when you have no record to show for it will be rejected come November. People want to see tangible results of your work and not mere abstracts in the form of chants and slogans. What has he done ( of significance) on the national level for the 3 years he has been in the senate? Or let me put it this way, since becoming senator what change has he brought to Washington besides the obvious?
 
Hiyo picha wanajaribu kusema kitu gani haswa?...Wamarekani jamani hakuna wajinga kama wao!
Navyojua mimi hilo ni vazi la Wajaluo Orthodox Christians, na nafahamu kwa uhakika kwa sababu mkoani Mara wapo wengi tu pia hata Orthodox wa Ethiopia wanavaa hivyo..
Obama atakuja shindwa kwa sababu ni mweusi nje ya hapo ni hadithi za Ali Nacha. Tena basi naomba Michuzi asije zipeleka zile picha za utototni mwake US. Nina hakika atavuta mamillioni kwa magazeti ya Udaku lakini ndio Wamarekani husubiri udaku kama huo kuonyesha kuwa Obama ni Mwafrika zaidi ya kuwa Mmarekani.

Tuchukulie mifano wanayo raise hawa jamaa kuhusu exprerience.. Bush alikuwa na exprerience gani kumshinda John MacCain wakati ule wa Uchaguzi wa 2000. Navyokumbuka mimi Bush aliingia Ugavana 1994 wa Texas akiwa Kabuntas kabisa. Kisha mwaka 2000 akapigania Urais na kumshinda Mc Cain ambaye kwa kila hali alikuwa mbora kuliko Bush kwa kila ngazi. Na hata Al Gore alikuwa na exprerience kuliko Bush, yet mzee mzima alishinda.
Kwa hiyo hivi ni vizingizio tu vya kumtosa OBama maanake Clinton tayari kisha onekana she is the weakest link!.. Atashindwa Demokratic na sasa nguvu zote ni kumwangusha Obama ambaye nina hakika watafanikiwa kwa kuweka kisingizio fulani hali ukweli na reality ni kwamba he is Black!..
 
Sweet: The story behind the Obama photo on Drudgereport.com

WASHINGTON—Retired Air Force Gen. Scott Gration, who accompanied Sen. Barack Obama (D-Ill.) on his trip to Kenya in 2006, on Monday defended Obama’s trying on local garb over his clothes during a visit to the rural Wajir region in the country, a picture of which is at the top right now of the Drudge Report. LINK

Obama was merely being a “great guest,” Gration said.

The main story on the Drudge Report on Monday shows Obama fitted as a "Somali Elder” and Drudge’s story said “Clinton staffers” –who were not named--were circulating the picture.

The Obama campaign said release of this photo was “fear mongering” and “ divisive.” The Clinton campaign said the senator has been widely photographed wearing traditional dress, suggesting that there was nothing to raise a fuss about.

Gration was with Obama on every leg of the African visit, including Wajir, an area that often does not get the attention of foreign visitors. Obama, whose father was Kenyan, was treated as a head-of-state during the visit, part of a multi-nation trip of which Kenya was the highlight. Obama, his wife Michelle, their two daughters and friends accompanied them on the Kenya leg of the trip.

Gration is a Swahili-speaking retired Air Force major general, a native of St. Charles, Ill., who spent much of his youth in Africa. I asked him about the circumstances surrounding the photo during a conference call the Obama campaign organized as a prebuttal to a major foreign policy speech Sen. Hillary Rodham Clinton (D-N.Y.) will deliver today in Washington. The just completed call featured Obama foreign policy advisors Susan Rice, Gration and former Navy Secretary Richard Danzig.

“I was along on that picture,” Gration said. They were seeing a “community mobilization” in Wajir and witnessed the “live auction” of camels and other livestock..

During the course of this, Obama was given an outfit, and “as a great guest,” he tried it on, much in the way, Gration said, people “try on Christmas gifts” they may not want to keep.

Obama did “what any leader should do…accept the gift, accept the hospitality,” said Gration. Obama was “accepting a gift of friendship in a way we expect,” he said.

Rice, who served as an African expert in President Clinton’s White House, said release of the photo was designed “to be divisive.’’ But she also noted that President Clinton had himself dressed in kinte cloth as part of respecting local customs and cultures.

The reporters covering Obama on the trip did not accompany Obama to Wajir, told that there were too many logistical challenges to getting many people to a remote site for a short visit.

Obama campaign manager David Plouffe said in a statement, release of the photo “On the very day that Senator Clinton is giving a speech about restoring respect for America in the world, her campaign has engaged in the most shameful, offensive fear-mongering we’ve seen from either party in this election. This is part of a disturbing pattern that led her county chairs to resign in Iowa, her campaign chairman to resign in New Hampshire, and it’s exactly the kind of divisive politics that turns away Americans of all parties and diminishes respect for America in the world.”

Clinton campaign manager Maggie Williams countered in a statement, “If Barack Obama's campaign wants to suggest that a photo of him wearing traditional Somali clothing is divisive, they should be ashamed. Hillary Clinton has worn the traditional clothing of countries she has visited and had those photos published widely.
 
Picha imetolewa na Drudge report ambaye anajulikana kuwa ni right wing lakini wa kulaumiwa ni Mama. I guess right now she's damned if she does and damned if she doesn't....

Nani kati yenu anayeweza ku-prove kuwa hiyo picha imetoka kwa Mama....
 
ni wao kina HRC, the GOP machine haiwezi kurusha big punches like that this early!! pia billary kampeni hawaja-deny kuhusuka kwao......soma maelezo ya kampeni meneja Maggie, btn the lines, she is like, " yeah, so what."!!!
 
...usijifanye hujui kinachoendelea hapo,na waliotoa hiyo photo ni clinton campaign according to drudge report,hii sasa ndio itammaliza kabisa mama..game over mama anaelekea senate sasa!
 
Yeah exactly...so what? Why is the Obama campaign getting all defensive about it then..?
Nimeshasema...divide and conquer is at work and none of you Obama-maniacs see that. Kwa jinsi Republicans wanavyomchukia Mama watafanya na wanafanya kila jitihada kumfanya Mama aonekane mbaya na kwa bahati mbaya watu wanawaamini. Mtakuja kujuta Novemba...nimewaonya!!
 
...usijifanye hujui kinachoendelea hapo,na waliotoa hiyo photo ni clinton campaign according to drudge report,hii sasa ndio itammaliza kabisa mama..game over mama anaelekea senate sasa!

Nini kinachokufanya uiamini hiyo Drudge report sasa hivi? Sasa kama Obama akipata nomination halafu hiyo hiyo Drudge report ije na bomu jingine utamlaumu Clinton au GOP? Kweli nimeamini sasa mapenzi ni kipofu...
 
cheki bingwa alivyo na stamina, kusema shock absorber.....anachukua heat toka left(clinton) na right(mccain), lakini yupo stable, haja panic wala nini, sana sana ana-hit back harder!!! kuna mtu anadai kwamba, attitude ya Obama ni kama ile ya protesters wanarushiwa tear gas canisters, na wao kuziokota na kuzivurumisha zinakotoka!!!

HRC, she is going nutts, sasa anaanza kuonekana ni kama psychiatry case!!! maana ile ni mania......what a terrible mood swings?? ana multiple personalities!! angalia HRC wa kwenye debate in Austin last week, compare huyo na wa jana na leo in DC, mwisho compare na yule wa Jumamosi in Cincinnati!!! she is crazy bit@ch, no wonder bill alikuwa anatafuta "mechi za mchangani."
 
Kuna mtu Fox alisema mama anasumbuliwa na Bipolar!!! Alafu wanadai alivyopewa zile leaflets hakushauriana na mtu akageuka kuwa mbogo.
 
Kuna mtu Fox alisema mama anasumbuliwa na Bipolar!!! Alafu wanadai alivyopewa zile leaflets hakushauriana na mtu akageuka kuwa mbogo.

yap, inaitwa "fractured personality" or personality fragmentation, anakuwa yupo dettached from the reality........kampeni za uraisi kiwanja hapa si mchezo!!

kibaya zaidi, zile flyers/leaflets zilikuwa zinapiga misele mitaa ya OH kwa takribani wk 3 sasa!! swali je inakuwaje, ghafla bin vuuu mama ana throw tantrums?? was it a calculated move au ndio mania yake @ work!!??.
 
Back
Top Bottom