Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 196
Mambo vipi wadau...? Duh poleni kwa mkasa ulioikumba forum..
NN nadhani juzi kwenye debate na kwenye mkutano wa Bill Clinton in Beaumont TX ni dalili za wao kukubali matokeo.
Issue ya emails, hazikuanza kutumwa leo wala jana its been going on for weeks if not months sasa iweje mama azione leo ebo?