Lakini hii ni society ambayo inaamini mwanamke na mwanaume wote ni sawa hakuna double standards when it comes to sex, i got the feeling Bill kumpigia debe Hillary basi tena ni kwa nia ya kumharibia tu, maybe ana some insecurities, labda mkewe akiwa raisi atakuwa better kuliko yeye alivyokuwa?
Hakutakiwa kulia kwa sababu yeye ni mwanamke wa kwanza kugombea nafasi kama hii, alitakiwa kuonyesha huu umma wa US kwamba wanawake sio watu wa emotions all the time kama inavyosemwa saa zote, kwa ku-prove them wrong.
Anyway just a thought
Inategemea ni kulia kupi unakokuzungumzia. Kama ni kule kwa 'empathy' aliyoionyesha katika kujibu lile swali la yule mama wa NH, huko kulimpandishia chati na kushinda.
Pamoja na ukweli kuwa Obama ni smart na kuwa na uwezo mkubwa kabisa kuwa rais wa nchi hiyo ya Marekani; nasikitika MwanaMama, hilo halitawezekana safari hii. Nasikitika, kwani hata mimi ningependa awe, lakini hilo ni jambo lisilowezekana bado katika nchi hiyo. Inawezekana kabisa akashinda katika mchepuko huu wa 'nomination' kwani humo humo wamo wengi wanaomchafua Hillary; lakini utakapofika uchaguzi, McCain atachukua kiurahisi kama mpinzani wake atakuwa ni Obama. Too bad, but that is how it works in this democrasy.