US Election Coverage 2008

MD judge extend voting in the state to 9:30P EST due to bad weather............wasee kuna baridi, kwenye north eastern corridor utafikiri tupo jehanamu!!!. Now by 10 EST, the good people of chesapeake collectively and officially will say, "yes we can."
 
one down two to go! this will look eazy, by 9 EST, all of the three potomac states will be on Obamas column......sweeeeeety!!! Ngabu kama umenuna basi pasuka, watu wanadundika kwa swing flani hivi la bega moja chini!! twi twi twi twi...bwaaaaaahahahaha, kama ile ya Tony Sinclair.

Loh! Kwa kweli Obama sasa ni unstoppable! After tonight atakuwa ameshinda contests 8 to zip. At some point reality has to set in and for me this is it. I still have lots of admiration for Hillary, my girl. I blame it all on the media who haven't been nice to her. Oh well...such is life. Like I said before if she doesn't get the nomination I'm rooting for McCain.
 
Unajua kosa la mama Clinton, hakuwa ameplan kwenda beyond super tuesday alijua kuwa anawrap it up on the 5th.
Naona NBC wanasema Obama anachukua DC
 
Unajua kosa la mama Clinton, hakuwa ameplan kwenda beyond super tuesday alijua kuwa anawrap it up on the 5th.
Naona NBC wanasema Obama anachukua DC

Pamoja na hilo lakini media, hasa liberal media na yenyewe imechangia kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi namchukia sana Chris Matthews na MSNBC yote.
 
Loh! Kwa kweli Obama sasa ni unstoppable! After tonight atakuwa ameshinda contests 8 to zip. At some point reality has to set in and for me this is it. I still have lots of admiration for Hillary, my girl. I blame it all on the media who haven't been nice to her. Oh well...such is life. Like I said before if she doesn't get the nomination I'm rooting for McCain.
hahahahahahaha Mazee vipi Mazeee ya gal Hillary inaelekea ndio bye bye tena, umesikia mtu wake mwingine ame-resign leo hii mchana.
 
Mkuu,
Hivi hii super delegetes inakujaje ama ni nini hasa na ina athari gani kwenye matokeo ya hawa waungwana

superdelegates ni party officials kama vile senators, representatives, governors, former presidents na kadhalika. Democrats wanao takribani 400.......hawa nao wana-vote on top ya delegates ambao candidates wana-win ktk hizi primaries!!! HRC anao wengi kushinda Obama so far, lakini hawa pia hawaja pledge, which means wanaweza ku-change votes zao siku hiyo huko Denver!! Pia wanatabia ya ku-reflects the say of their constituents, maana yake ni kwamba aliyeshinda wengi wa kura na delegates toka primaries, atashinda anyway!!.......kwahiyo booooooo HRC.
 
Siasa ni biashara ngumu, naona mambo yamekuwa si mambo another senior staffer wa mama ameachia ngazi baada ya kufanya kazi kwa kujitolea kwa muda. Mark Penn naye hajaachia ngazi tuu..?
 
Loh! Kwa kweli Obama sasa ni unstoppable! After tonight atakuwa ameshinda contests 8 to zip. At some point reality has to set in and for me this is it. I still have lots of admiration for Hillary, my girl. I blame it all on the media who haven't been nice to her. Oh well...such is life. Like I said before if she doesn't get the nomination I'm rooting for McCain.

hey champ,
bana mapu&@u, labda mama atashinda MD.....jaribu inaweza ika-work this time!!! bwaaahahahaha.

alright now, usi-quit tu kuja kwenye hii kona kwani tunazimia analysis zako!.
 
Obama Wins Virginia... Maryland, Dc Results Next

n7711050_36214505_5736.jpg

n7711050_36214507_6599.jpg

n7711050_36214504_5456.jpg

n7711050_36214503_5148.jpg

YES WE CAN
 
hey champ,
bana mapu&@u, labda mama atashinda MD.....jaribu inaweza ika-work this time!!! bwaaahahahaha.

alright now, usi-quit tu kuja kwenye hii kona kwani tunazimia analysis zako!.

Imenisikitisha kwa kweli. Pamoja na kuya-master mambo ya policy na kushinda debates...yote hayo hayakutosha. Hii inanikumbusha 2000 na 2004...Gore na Kerry walishinda karibu debates zote lakini Bush akawashinda kwenye uchaguzi.

Usiwe na wasiwasi kaka, hapa mi sitoki. Ila hizi primary zimeshanichosha sasa. Nasubiri kampeni za uchaguzi mkuu sasa
 
hahahahahahaha Mazee vipi Mazeee ya gal Hillary inaelekea ndio bye bye tena, umesikia mtu wake mwingine ame-resign leo hii mchana.

Poa tu mazee...naona watu wana chuki binafsi tu na Mama...lakini ndio maisha hayo...you win some...you lose some
 
Pamoja na hilo lakini media, hasa liberal media na yenyewe imechangia kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi namchukia sana Chris Matthews na MSNBC yote.

Nyani,
usimchukie Chris Mathews wala MSNBC yote,
Kwani mzee Clinton alianzisha uhuni wa RACE, and undermining Barack Obama's winnings in SC and such,Unapokua desperate namna hii kutumia Race katika uchaguzi, ina maana wewe una hidden agenda zako basi, wewe utakuwa ni raisi gani wewe, kama publicly unatumia code words for racism?Clinton is very smart and he knows well what he was doing. Race is a very sensitive issue in US, yeye anapotumia Race kama kigezo cha Obama ku-win, akizipata hizo kura anazozitaka,anajua ni kwa kiasi gani ameiumiza society kwa kuchezea issue sensitive kama race? Maanake unapoondoka na ushindi wako kwa kutumia Race, unaacha a very big wound in the society, which is very frustrating to folks all over the place. I understand politics has a dirty side to it, but for a smart person like Bill, he should have known better. na ni kwa nini yeye kama mume ana ulazima gani wa kumuingilia mkewe katika kampeni na kumsaidia? Ina maana anatuambia mke wake hawezi ku-campaign peke yake? Ni lazima awe na mumewe kwa pembeni akitukana watu? Huyu ni mwanamke wa aina gani basi asiyeweza kusimama imara peke yake? Hii society ya US ina amini kuwa wanawake na wanaume ni sawa kwa hiyo it is her time to roll the ball by herself and prove it to the americans kwamba anaweza kufanya hivyo bila ya support ya mumewe.
On top of that huyu mama mwenye kulia mbele za watu huyu akikutana na Mugabe kwenye UN meetings si atatukanwa mpaka apige ukunga basi? All in all Obama is the best candidate for the race against JM. Na republicans wanajua sana hili na ni tishio kubwa kwao.
 
Obama Wins Virginia... Maryland, Dc Results Next

n7711050_36214505_5736.jpg

n7711050_36214507_6599.jpg

n7711050_36214504_5456.jpg

n7711050_36214503_5148.jpg

YES WE CAN

There has to be a need for Black people in America to resist the urge to turn Obama into a Black Presidential Candidate, this will hurt him so badly. He is a presidential candidate for the US only.
 
Nyani,
usimchukie Chris Mathews wala MSNBC yote,
Kwani mzee Clinton alianzisha uhuni wa RACE, and undermining Barack Obama's winnings in SC and such,Unapokua desperate namna hii kutumia Race katika uchaguzi, ina maana wewe una hidden agenda zako basi, wewe utakuwa ni raisi gani wewe, kama publicly unatumia code words for racism?Clinton is very smart and he knows well what he was doing. Race is a very sensitive issue in US, yeye anapotumia Race kama kigezo cha Obama ku-win, akizipata hizo kura anazozitaka,anajua ni kwa kiasi gani ameiumiza society kwa kuchezea issue sensitive kama race? Maanake unapoondoka na ushindi wako kwa kutumia Race, unaacha a very big wound in the society, which is very frustrating to folks all over the place. I understand politics has a dirty side to it, but for a smart person like Bill, he should have known better. na ni kwa nini yeye kama mume ana ulazima gani wa kumuingilia mkewe katika kampeni na kumsaidia? Ina maana anatuambia mke wake hawezi ku-campaign peke yake? Ni lazima awe na mumewe kwa pembeni akitukana watu? Huyu ni mwanamke wa aina gani basi asiyeweza kusimama imara peke yake? Hii society ya US ina amini kuwa wanawake na wanaume ni sawa kwa hiyo it is her time to roll the ball by herself and prove it to the americans kwamba anaweza kufanya hivyo bila ya support ya mumewe.
On top of that huyu mama mwenye kulia mbele za watu huyu akikutana na Mugabe kwenye UN meetings si atatukanwa mpaka apige ukunga basi? All in all Obama is the best candidate for the race against JM. Na republicans wanajua sana hili na ni tishio kubwa kwao.

mwanamama,
Ameeen and YES WE CAN!!.
 
There has to be a need for Black people in America to resist the urge to turn Obama into a Black Presidential Candidate, this will hurt him so badly. He is a presidential candidate for the US only.

JIBU LAKO HILI HAPA:

NY Times: Racially divisive politics is a strategy Billary campaign

http://www.nytimes.com/2008/02/10/op...gg&exprod=digg
The untold story in the run-up to Super Tuesday was Hillary Clinton’s elaborate live prime-time special the night before the vote. Presiding from a studio in New York, the candidate took questions from audiences in 21 other cities. She had plugged the event four days earlier in the last gasp of her debate with Barack Obama and paid a small fortune for it: an hour of time on the Hallmark Channel plus satellite TV hookups for the assemblies of supporters stretching from coast to coast.

The same news media that constantly revisited the Oprah-Caroline-Maria rally in California ignored “Voices Across America: A National Town Hall.” The Clinton campaign would no doubt attribute this to press bias, but it scrupulously designed the event to avoid making news. Like the scripted “Ask President Bush” sessions during the 2004 campaign, this town hall seemed to unfold in Stepford. The anodyne questions (“What else would you do to help take care of our veterans?”) merely cued up laundry lists of talking points. Some in attendance appeared to trance out.

But I’m glad I watched every minute, right up until Mrs. Clinton was abruptly cut off in midsentence so Hallmark could resume its previously scheduled programming (a movie promising “A Season for Miracles,” aptly enough). However boring, this show was a dramatic encapsulation of how a once-invincible candidate ended up in a dead heat, crippled by poll-tested corporate packaging that markets her as a synthetic product leeched of most human qualities. What’s more, it offered a naked preview of how nastily the Clintons will fight, whatever the collateral damage to the Democratic Party, in the endgame to come.

For a campaign that began with tightly monitored Web “chats” and then planted questions at its earlier town-hall meetings, a Bush-style pseudo-event like the Hallmark special is nothing new, of course. What’s remarkable is that instead of learning from these mistakes, Mrs. Clinton’s handlers keep doubling down.

Less than two weeks ago she was airlifted into her own, less effective version of “Mission Accomplished.” Instead of declaring faux victory in Iraq, she starred in a made-for-television rally declaring faux victory in a Florida primary that was held in defiance of party rules, involved no campaigning and awarded no delegates. As Andrea Mitchell of NBC News said, it was “the Potemkin village of victory celebrations.”

The Hallmark show, enacted on an anachronistic studio set that looked like a deliberate throwback to the good old days of 1992, was equally desperate. If the point was to generate donations or excitement, the effect was the reverse. A campaign operative, speaking on MSNBC, claimed that 250,000 viewers had seen an online incarnation of the event in addition to “who knows how many” Hallmark channel viewers. Who knows, indeed? What we do know is that by then the “Yes We Can” Obama video fronted by the hip-hop vocalist will.i.am of the Black Eyed Peas had been averaging roughly a million YouTube views a day. (Cost to the Obama campaign: zero.)

Two days after her town-hall extravaganza, Mrs. Clinton revealed the $5 million loan she had made to her own campaign to survive a month in which the Obama operation had raised $32 million to her $13.5 million. That poignant confession led to a spike in contributions that Mr. Obama also topped. Though Tuesday was largely a draw in popular votes and delegates, every other indicator, from the candidates’ real and virtual crowds to hard cash, points to a steadily widening Obama-Clinton gap. The Clinton campaign might be an imploding Potemkin village itself were it not for the fungible profits from Bill Clinton’s murky post-presidency business deals. (The Clintons, unlike Mr. Obama, have not released their income-tax returns.)

The campaign’s other most potent form of currency remains its thick deck of race cards. This was all too apparent in the Hallmark show. In its carefully calibrated cross section of geographically and demographically diverse cast members — young, old, one gay man, one vet, two union members — African-Americans were reduced to also-rans. One black woman, the former TV correspondent Carole Simpson, was given the servile role of the meeting’s nominal moderator, Ed McMahon to Mrs. Clinton’s top banana. Scattered black faces could be seen in the audience. But in the entire televised hour, there was not a single African-American questioner, whether to toss a softball or ask about the Clintons’ own recent misadventures in racial politics.

The Clinton camp does not leave such matters to chance. This decision was a cold, political cost-benefit calculus. In October, seven months after the two candidates’ dueling church perorations in Selma, USA Today found Hillary Clinton leading Mr. Obama among African-American Democrats by a margin of 62 percent to 34 percent. But once black voters met Mr. Obama and started to gravitate toward him, Bill Clinton and the campaign’s other surrogates stopped caring about what African-Americans thought. In an effort to scare off white voters, Mr. Obama was ghettoized as a cocaine user (by the chief Clinton strategist, Mark Penn, among others), “the black candidate” (as Clinton strategists told the Associated Press) and Jesse Jackson redux (by Mr. Clinton himself).

The result? Black America has largely deserted the Clintons. In her California primary victory, Mrs. Clinton drew only 19 percent of the black vote. The campaign saw this coming and so saw no percentage in bestowing precious minutes of prime-time television on African-American queries.

That time went instead to the Hispanic population that was still in play in Super Tuesday’s voting in the West. Mayor Antonio Villaraigosa of Los Angeles had a cameo, and one of the satellite meetings was held in the National Hispanic Cultural Center in Albuquerque. There’s nothing wrong with that. It’s smart politics, especially since Mr. Obama has been behind the curve in wooing this constituency.

But the wholesale substitution of Hispanics for blacks on the Hallmark show is tainted by a creepy racial back story. Last month a Hispanic pollster employed by the Clinton campaign pitted the two groups against each other by telling The New Yorker that Hispanic voters have “not shown a lot of willingness or affinity to support black candidates.” Mrs. Clinton then seconded the motion by telling Tim Russert in a debate that her pollster was “making a historical statement.”

It wasn’t an accurate statement, historical or otherwise. It was a lie, and a bigoted lie at that, given that it branded Hispanics, a group as heterogeneous as any other, as monolithic racists. As the columnist Gregory Rodriguez pointed out in The Los Angeles Times, all three black members of Congress in that city won in heavily Latino districts; black mayors as various as David Dinkins in New York in the 1980s and Ron Kirk in Dallas in the 1990s received more than 70 percent of the Hispanic vote. The real point of the Clinton campaign’s decision to sow misinformation and racial division, Mr. Rodriguez concluded, was to “undermine one of Obama’s central selling points, that he can build bridges and unite Americans of all types.”

If that was the intent, it didn’t work. Mrs. Clinton did pile up her expected large margin among Latino voters in California. But her tight grip on that electorate is loosening. Mr. Obama, who captured only 26 percent of Hispanic voters in Nevada last month, did better than that in every state on Tuesday, reaching 41 percent in Arizona and 53 percent in Connecticut. Meanwhile, the Clinton campaign’s attempt to drive white voters away from Mr. Obama by playing the race card has backfired. His white vote tally rises every week. Though Mrs. Clinton won California by almost 10 percentage points, among whites she beat Mr. Obama by only 3 points.

The question now is how much more racial friction the Clinton campaign will gin up if its Hispanic support starts to erode in Texas, whose March 4 vote it sees as its latest firewall. Clearly it will stop at little. That’s why you now hear Clinton operatives talk ever more brazenly about trying to reverse party rulings so that they can hijack 366 ghost delegates from Florida and the other rogue primary, Michigan, where Mr. Obama wasn’t even on the ballot. So much for Mrs. Clinton’s assurance on New Hampshire Public Radio last fall that it didn’t matter if she alone kept her name on the Michigan ballot because the vote “is not going to count for anything.”

Last month, two eminent African-American historians who have served in government, Mary Frances Berry (in the Carter and Clinton years) and Roger Wilkins (in the Johnson administration), wrote Howard Dean, the Democrats’ chairman, to warn him of the perils of that credentials fight. Last week, Mr. Dean became sufficiently alarmed to propose brokering an “arrangement” if a clear-cut victory by one candidate hasn’t rendered the issue moot by the spring. But does anyone seriously believe that Howard Dean can deter a Clinton combine so ruthless that it risked shredding three decades of mutual affection with black America to win a primary?

A race-tinged brawl at the convention, some nine weeks before Election Day, will not be a Hallmark moment. As Mr. Wilkins reiterated to me last week, it will be a flashback to the Democratic civil war of 1968, a suicide for the party no matter which victor ends up holding the rancid spoils.
Reply With Quote
 
Nyani,
usimchukie Chris Mathews wala MSNBC yote,
Kwani mzee Clinton alianzisha uhuni wa RACE, and undermining Barack Obama's winnings in SC and such,Unapokua desperate namna hii kutumia Race katika uchaguzi, ina maana wewe una hidden agenda zako basi, wewe utakuwa ni raisi gani wewe, kama publicly unatumia code words for racism?Clinton is very smart and he knows well what he was doing. Race is a very sensitive issue in US, yeye anapotumia Race kama kigezo cha Obama ku-win, akizipata hizo kura anazozitaka,anajua ni kwa kiasi gani ameiumiza society kwa kuchezea issue sensitive kama race? Maanake unapoondoka na ushindi wako kwa kutumia Race, unaacha a very big wound in the society, which is very frustrating to folks all over the place. I understand politics has a dirty side to it, but for a smart person like Bill, he should have known better. na ni kwa nini yeye kama mume ana ulazima gani wa kumuingilia mkewe katika kampeni na kumsaidia? Ina maana anatuambia mke wake hawezi ku-campaign peke yake? Ni lazima awe na mumewe kwa pembeni akitukana watu? Huyu ni mwanamke wa aina gani basi asiyeweza kusimama imara peke yake? Hii society ya US ina amini kuwa wanawake na wanaume ni sawa kwa hiyo it is her time to roll the ball by herself and prove it to the americans kwamba anaweza kufanya hivyo bila ya support ya mumewe.
On top of that huyu mama mwenye kulia mbele za watu huyu akikutana na Mugabe kwenye UN meetings si atatukanwa mpaka apige ukunga basi? All in all Obama is the best candidate for the race against JM. Na republicans wanajua sana hili na ni tishio kubwa kwao.

Nianze na la kulia. Mbona George Bush amewahi kulia kwenye kampeni? Sasa Mama Clinton akionyesha emotion inakuwa nongwa. That is absurd!

Tuje kwenye hilo la Bill Clinton na tuhuma za ubaguzi. Yaani kama umewahi kusikia neno spin na hukujua maana yake basi huna haja ya kuuliza nini maana yake tena. Clinton didn't mean any harm. Fortunately or unfortunately the Obama campaign spun the comments to their advantage. Hey...that's politics. Na kuhusu Bill kumkampenia mke wake hakuna ubaya wowote. Hata ingekuwa mimi mke wangu anagombea ningefanya hivyo hivyo anavyofanya Bill. Unajua binadamu ni watu ambao hata ufanyeje kuna watakaokukosoa na watakaokupongeza. Bill angeamua kukaa pembeni na kutomkampenia mke wake watu wangesema labda hataki mke wake naye awe raisi.
 
Lakini hii ni society ambayo inaamini mwanamke na mwanaume wote ni sawa hakuna double standards when it comes to sex, i got the feeling Bill kumpigia debe Hillary basi tena ni kwa nia ya kumharibia tu, maybe ana some insecurities, labda mkewe akiwa raisi atakuwa better kuliko yeye alivyokuwa?
Hakutakiwa kulia kwa sababu yeye ni mwanamke wa kwanza kugombea nafasi kama hii, alitakiwa kuonyesha huu umma wa US kwamba wanawake sio watu wa emotions all the time kama inavyosemwa saa zote, kwa ku-prove them wrong.
Anyway just a thought
 
Mke wa Obama anamkampenia mume wake na hakuna aliyesema kitu na wala hapati covergae. But then again she's no Bill Clinton so I can understand that.

Kuonyesha emotion ni sawa kabisa kwangu mimi. Yeye ni binadamu na si robot. Kuna ubaya gani binadamu kuonyesha ubinadamu wake? Mbona mi-linabacker micheza football (American) huwa inalia? Basi tu sa ingine watu wakiwa hawakupendi hata ufanyeje watatafuta tu kitu cha kukusemea vibaya.
 
she's got to go! hakuna cha sympathy hapa wala nini.......hatuwezi kutawaliwa na familia mbili kila siku kama vile tupo kwenye ufalme!! that's absurd!! why? hii nchi ina watu millioni 400, sasa unataka kusema ni Bush au Clinton families ndizo pekee zenye uwezo wa urais??...................

NBC, projects Obama in MD by a significant margin, "significant margin."!!!! tumechoka politics za dynasty.
 
Back
Top Bottom