Hata Bill Clinton kasema hivo hivo jana mchana, hizo statement za hata Jesse alishinda SC pia ni za KIBAGUZI!!!! Je huyo Jesse alishinda IOWA? alikuwa wa pili in NH? pia alipata majority ya delegates in NV? at anytime alionekana tishio la kuweza kushinda nomination? na mwisho alikuwa anapambana na mashine kama ya Clintons??? Acha bana........Obama sio Jesse!!!!.
Clintons wame-inject race ktk kinyang'anyiro hiki wakijua watashinda, instead strategy hiyo imefail in SC na pengine beyond!!! Clintons wanashindwa ndio maana wanatumia dirty tricks, FL ilikuwa haimo kutokana na kuvunja kwao rules za chama...........now "superwoman" wako anazungumzia florida, how come man!!? same juu ya michigan na caucuses kufanyika kwenye casinos, inashangaza kwamba rules ni pale wanaposhinda tu....kinyume chake watataka zivunjwe na kutungwa mpya!!.
Strategy yao ya ku-divide latino na blacks labda itafanikiwa kidogo in Cali na other western states, kwasababu latino wa huko ni mexicans and other mainland south americans(traditional wana issues na watu weusi)............lakini northeast latinos(puerto ricans na dominicans) in big cities/industrial states wata-vote Obama bila shaka kwasababu wao pia wanajihesababu kama blacks!!! ambayo ina maana sera za clintons za latino politics zinaweza kumtia matatani in NYC/ NY state, MA, NJ, IL, DE, PA, Wash DC, CT na RI................kama ulivyosema tusubiri tsunami tuesday, kwani maneno matupu hayapiki ubwabwa!!!! lakini Jesse sio Obama kaka, kwa hilo upo WRONG.