US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

mpaka hapo Obama kashinda tayari,kwa sababu kaifanya dunia nzima kutafakari juu yake,na pengine kama si Obama mimi na wewe tusingejadili habari ya uchaguzi wa Usa kwa kiwango hiki.

Kama vijiwe kadhaa huko USA vinamjadili in the positive way inakuwaje sisi wenzake tunamjadili in the negative way? Obama kafikisha ujumbe na ndio maana hata mzee Mcain (spelling) kwa sasa sio the talk of the world licha kuwa ni mgombea toka chama tawala.

Hata kama atashindwa,lakini jamaa ni potential kikwelikweli.
 
Clinton won at least 28 delegates, according to an Associated Press analysis of early returns. Obama won at least 14, with 13 still to be allocated.

Obama has a total of 2,068 delegates, leaving him 50 shy of the number needed to clinch the nomination, with two primaries remaining. Clinton has 1905.5, according to the latest tally by the AP.
 
Clinton won at least 28 delegates, according to an Associated Press analysis of early returns. Obama won at least 14, with 13 still to be allocated.

Obama has a total of 2,068 delegates, leaving him 50 shy of the number needed to clinch the nomination, with two primaries remaining. Clinton has 1905.5, according to the latest tally by the AP.

This is a very complicated nomination process. if there are democrats who still are overwhelmingly voting for Hillary, despite all the odds, the future of dems in this election sounds gloomy and smells fishy!
 
...denies reality tuu hakuna kitu na baada ya j'nne itabidi abwage nyanga la sivyo ataanza kuwekwa panapostahili ,ngabu na kitumbo loser la chadema naona bado mko deluded
 
Nipo East Africa, Nomba nikiri kuwa Obama nampenda sana kwa Speech zilizo jaa mvuto toka kichwani sio Speech za kuandikwa na Ma P/s halafu ndo una waeleza watu, i love the guy, ana ushawishi mkubwa mbele ya umma kikingine ni mkakati wake wa kumaliza vita vya Iraki, pesa inayotumiwa na Marekani kwenye vita hivyo yaweza kuja kwetu kama tulivyojiandalia mazingira ya kusaidiwa kila siku. najitahidi sana kupata speech zake hata kama ni saa nane za usiku, mtu ane mchukia Obama atoe sababu za msingi nimweleweshe kwa nini mi mnyawezi wa Tutuo ni mpende obama ninayo mengi katika speech zake, policy yake kwa Afrika,Amerika na Dunia nzima. Keep it Obama
 
This is a very complicated nomination process. if there are democrats who still are overwhelmingly voting for Hillary, despite all the odds, the future of dems in this election sounds gloomy and smells fishy!

Mkuu Kitila the issue ni kwamba Clinton alikuwa na nguvu kubwa sana Puerto Rico despite all the odds. Hii pia ingetokea hata kama say Hawaii au IL wangevote mwishoni with Obama trailing in whateva aspect. Mama ni chali she's just ths busy looking for an exit strategy or contesting for VP nomination. Sasa subiri mwisho wa wiki usikie anadaiwa how much............. It is over and is over.
 
mtu ane mchukia Obama atoe sababu za msingi nimweleweshe kwa nini mi mnyawezi wa Tutuo ni mpende obama ninayo mengi katika speech zake, policy yake kwa Afrika,Amerika na Dunia nzima. Keep it Obama


Hakuna anayemchukia Obama. Isipokuwa kuna wengine tumeshawishika kumuunga mkono Hillary kama vile ambavyo wewe umeshawishiwa na Obama. Kwa hiyo hatuhitaji elimu yoyote kuhusu Obama, wewe endelea kukesha tu ukisubiri hotuba zake na utakesha sana maana nyingi zinakuja tunapoelekea Novemba.
 
Mama anaweza asijitoe kesho, ila akasubiria mpaka August na vile vile asikubali vp spot...she might decide to hold on to her delegates and hoping Dems watamgeukia in moments of need...nadhani atapima upepo unaendaje mpaka August.
 
Mbongo said:
Nipo East Africa, Nomba nikiri kuwa Obama nampenda sana kwa Speech zilizo jaa mvuto toka kichwani

Mbongo,

..zile hotuba hazitoi kichwani. ni hotuba za kuandikwa,na anasoma kwa kutumia chombo kinaitwa tele-promter. angalia vizuri anapohutubia utaona kuna vioo viwili viko mbele yake.

..tv station wanaweza wasikupe picha inayoonyesha kuwa anasoma kwenye tele-promter. lakini ukiona haondoki pale kwenye podium, kitu ambacho si kawaida yake, ujue ni hotuba ya kusoma.

..pamoja na kwamba anatumia tele-promter inasemekana kwamba Barack Obama ni muandishi mzuri wa hotuba. pia Barack Obama ameandika vitabu 2. kwa msingi huo UWEZO anao.

NB:

..hii kitu mbona inaweka watu roho juu namna hii??

..mimi nimechoka kabisa. nataka wagombea waende phase nyingine ya kuchagua VPs.

..na lile Kanisa la Obama kwa kweli NUKSI kabisa. hivi waumini wanawezaje kushambia UCHAFU aliokuwa akizungumza yule Pastor mzungu?

..kilichonishangaza ni wale waumini wanaopandwa mzuka, au sijui roho mtakatifu, wakati Mchungaji anazungumza kwa lugha kibaguzi kiasi kile.

..halafu utaona ma-pundit weusi kwenye TV hawaoni kasoro wala tatizo lolote ktk kanisa lile.
 
Kuna watu humu walipuuzia hiyo ishu ya Trinity....
Itam haunt Obama mpaka Novemba halafu atalipa kwenye sanduku la kura...

McCain easily wins this contest....
 
Kuna watu humu walipuuzia hiyo ishu ya Trinity....
Itam haunt Obama mpaka Novemba halafu atalipa kwenye sanduku la kura...

McCain easily wins this contest....

....huyu kalala bado naona na usingizi wake mzito wa pono kama babu yake,kina Susuviri na Icadon wako wapi wamwamshe huyu maana akija kuamka Nov uchaguzi
 
Wakuu,

Analists mbalimbali wanatabiri kwamba huyu mama atatumia mbinu ya kujitoa na kukaa pembeni kwa muda kidogo akijikuna majeraha ya kukubali kushindwa iwe Alhamisi au Ijumaa wiki hii.

Lakini baada ya hapo endapo Obama atatetereka dhidi ya McCain, itabidi Democrats washauriane na wamrudishe Mrs Clinton ili aje tena kwa mbwembwe na hatimae ashindane na McCain.

Je ninyi hamuoni kwamba Obama anaweza akaenda na kasi hii na itapoanza mchuano na McCain ikawa tatizo kwa ile popular vote?

Pamoja na hali hio mimi naona kwamba kuna kila dalili za desperation na kama mjuavo desperate times need desperate measures.

Lakini Obama safari hii ikifika Jumatano na akafikisha angalau kura 1250 basi ni budi apewe nafasi.
 
.....mie nimesha achana na hii mambo na wala siangalii news on TV au kusoma online!! upuuzi mtupu...yeyote akiwa rais, pouwa tu alimradi life goes on.
 
Members of Hillary Clinton's advance staff received calls and emails this evening from headquarters summoning them to New York City Tuesday night, and telling them their roles on the campaign are ending, two Clinton staffers tell my colleague Amie Parnes.

The advance staffers - most of them now in Puerto Rico, South Dakota, and Montana - are being given the options of going to New York for a final day Tuesday, or going home, the aides said. The move is a sign that the campaign is beginning to shed - at least - some of its staff. The advance staff is responsible for arranging the candidate's events around the country.

With the future of her campaign in doubt, Clinton hasn't announced her plans for the final election night of the primary cycle or beyond, but the aides said she would stage her election night event in New York City. Her entourage is currently expected to wake up Tuesday in New York and to arrive in Washington, D.C. Tuesday night.

Clinton's senior aides didn't respond to requests for comment on her Tuesday night plans.

UPDATE: Clinton spokesman Mo Elleithee says the advance staffers haven't been let go or told to find other jobs, just sent home. They aren't typically paid for off days. "We just haven't figured out our schedule past Tuesday," he said.

Source
 
kama ccm na hawa wazungu ulaghai mwiingi na longo longo za kumwaga
 
Wakuu,

Analists mbalimbali wanatabiri kwamba huyu mama atatumia mbinu ya kujitoa na kukaa pembeni kwa muda kidogo akijikuna majeraha ya kukubali kushindwa iwe Alhamisi au Ijumaa wiki hii.

Lakini baada ya hapo endapo Obama atatetereka dhidi ya McCain, itabidi Democrats washauriane na wamrudishe Mrs Clinton ili aje tena kwa mbwembwe na hatimae ashindane na McCain.
Je ninyi hamuoni kwamba Obama anaweza akaenda na kasi hii na itapoanza mchuano na McCain ikawa tatizo kwa ile popular vote?

.

...wewe naona unaongelea uchaguzi wa Zimbabwe!
 
President Barack Obama - That is coming very soon Wajumbe! American voters have awaken up their democratic spirit

I will like to revisit this line in January 2009!
 
Back
Top Bottom