Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 678
nyani mwaka huu uko hoi wazee wamekushika pabaya
....umebaki kituko tuu na huna lolote zaidi ya ubishi,mama kashindwa leo unajifanya uko camp ya Mccwar,wapi na wapi hapo maana hata hawafanani kwa chochote...au ndio ile mitoto ikishindwa inapasua mpira

Nyani,
Mcbush ndio anajifunza ugangwe kutoka kwa kaka yake? Anasema "am a thug, the thugnificent, gangsterlicious do a hommie"!
![]()
Halafu kwenye kanisa la Obama kuna laana gani? Mmeona huyu Father mwingine alivyokuwa akihubiri....
Marekani kuna separation of church and state. Trinity should tread very carefully right now as they are under the microscope. It's not appropriate for them to be pushing that kind of political rhetoric from the pulpit.
Democratic Party has taken a compromise decision on delegates from Florida and Michigan, two states barred from choosing a presidential candidate.
Both states' delegates will be allowed to attend August's convention, but will only have half a vote each.