US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Amekuja kuwachukua mabaguzi ambao walikuwa wakimsapoti yeye before na kuamua kusympathize na Mama mara baada ya yeye kujitoa!
Amekuja kuwaambia jaluo ni mtu cool tu! Na hivyo warudi nyumbani kwani sasa na yeye yuko pamoja naye!
Hiki ni kipimo tosha..Kama jaluo akiweza kuregain kutokana na hili..then usishangae vijana hawa wadogo wawili waka run together na Mama kudondoshwa kama kiazi cha moto!

Kama endorsement ikilipa kwa kupata kura zaidi ya Mama..Then usishangae Edwards akipata u VP!
 
.....hii nayo imekaje wasee? lakini mpaka ikifika Nov watakuwa wameelewa somo, hatoki mtu humu mwaka huu mpaka awe kahesabiwa!!

Controversy Created By Tavern Selling Obama 'Curious George' T-Shirts

The owner of Mulligan's Bar and Grill in Georgia has caused quite a stir, leading to protesters outside of his establishment because he has been selling T-shirts that depicts cartoon chimp Curious George peeling a banana, with "Obama in '08" underneath.
The owner of the Georgia Tavern insists that the shirts weren't meant to offend and has described them as "cute," but protesters disagreed, saying that it is a racist slam against Barack Obama.

Several people as well as community groups held protests outside of Mulligan's Bar and Grill on Tuesday. Those groups included, Southern Christian Leadership Conference, the Nation Of Islam, and the Cobb Immigrant Alliance.

Norman, who has been described as "ultra conservative" answers his critics with even more controversial statements, such as, "We're not living in the '40's. Look at him . . . the hairline, the ears — he looks just like Curious George."

Approximately a dozen protesters stood outside his tavern on Tuesday, one of which was Marietta native Pam Lindley, who joined the protest after reading about the controversy online and she says, "I don't want people to think this is what Marietta is all about. This is what some people think the South is still like. Marietta's come a long way but I guess it's still got a little ways to go."

Defenders of Norman assert Mulligan's is a refuge and Gene McKinley who is one of Mulligan's patrons says, "This place is a diamond in the rough. People here are genuine and honest. It's the one place I can go without having to worry if I'm offending someone."

Despite the protests, since this has now gotten national attention and media coverage, Norman says he has been fielding calls since the story broke with one man in New Jersey asking him to send him 100 T-shirts.


He said he noted physical similarities between the Democratic frontrunner and the cartoon monkey while watching a Curious George movie with his grandchildren.


He is now planning to use this as his marketing tool.

This has been picked up by CBS, United Press International, Boston Herald and a number of other media outlets.

..je ni ubaguzi, ignorance, janja ya RNC ku-stir trouble au ni vyote kwa pamoja!!?? Nyani, Marietta namna gani tena!!?

Cobb county noma....
Ila itabidi niende kwenye hiyo tavern nikale mbawa za kuku.....unadhani wataniwekea sumu?
 
It's over for Mama Clinton she should try again in 2016 after Obama's 2 terms.
 
"I'm going to work my heart out for whoever our nominee is. Obviously, I'm still hoping to be that nominee, but I'm going to do everything I can to make sure that anyone who supported me ... understands what a grave error it would be not to vote for Sen. Obama."-Hillary Clinton

*and she meant picking McCain over Obama. Ila washabiki wake aaah wanaona ni bora wampe McCain ili wote(Barack na Hillary) wakose.

t1home.edwards.obama.cnn.jpg

Hili Li Edwards linafiki tu...linazungumzia umaskini huku likienda kwa vinyozi wa dola 400....wjat a looser
 
......mie kwa leo!! goodnight and goodluck y'all.
 
Cobb county noma....
Ila itabidi niende kwenye hiyo tavern nikale mbawa za kuku.....unadhani wataniwekea sumu?

Si ndio mitaa yako ya Cobb County... angalia usije kuambiwa kumeja na ukichungulia ndani unaona kutupu.
 
.....eebana utabidi upunguze kuangalia fixnuz na ku-idolize majamaa, maana sasa ipo clear kwamba tunakupoteza!!!

Kivipi swali langu linahusiana na SUPER FOX NEWS? BTW, usisahau kuangalia Haanity and Comes....najua huwa unaangalia...Lol
 
Amekuja kuwachukua mabaguzi ambao walikuwa wakimsapoti yeye before na kuamua kusympathize na Mama mara baada ya yeye kujitoa!
Amekuja kuwaambia jaluo ni mtu cool tu! Na hivyo warudi nyumbani kwani sasa na yeye yuko pamoja naye!
Hiki ni kipimo tosha..Kama jaluo akiweza kuregain kutokana na hili..then usishangae vijana hawa wadogo wawili waka run together na Mama kudondoshwa kama kiazi cha moto!

Kama endorsement ikilipa kwa kupata kura zaidi ya Mama..Then usishangae Edwards akipata u VP!

Itakuwa repeat ya '04....
 
Nyani,

Mama alidai win at any cost or means. Akaenda USA Today, akatoa shombo kuwa Obama hana uwezo na Wazungu hawamtaki, yale ma redneck ya West Virginia wakaona heri tumuunge mkono Mama "mwenzetu" na si Darky ambaye sijui ni Muislamu au ndugu yake Sadam au Usama!

Talk about dirty, kitchen sink stuff. Tani kashinda kwa kuwaambia redneck yeye ni bora na angalieni "kunta" anarudi atakuwa Masah!

Lakini leo kapata kipigo, with Edwards endorsment ya nyuka mabhere!
 
Na hii mwenyewe umeiona hoja ya maana? Eti wazungu hawatupendi...well, inawezekana kuna baadhi ambao hawatupendi lakini kusema eti wazungu (ukimaanisha wote) hawatupendi si sawa. Hivi kwa hiyo akili yako unadhani bila wazungu Obama angefika hapo alipo ktk huu mchakato? Wazungu wako wengi mno Marekani kiasi kwamba kama wote wangekuwa wanamchukia Obama na badala yake kumpigia kura Mama, Obama angekuwa kesha achia ngazi muda mrefu. Hakuna jimbo hata moja hapa Marekani ambalo weusi ndio wengi kuliko wazungu. Hata the Deep South wazungu ni wengi sana kuliko weusi. Sasa ndugu yangu fanya utafiti kwanza, halafu ufikirie unachotaka kusema, ukichambue halafu ndio ubandike. Sio kuropoka ropoka kama umekunywa huku hujui unaongelea nini.

i dont mean all of them, what i meant is that there are some who like us and we should not be carried away with that ( mtu akupendee tu and you jump into his wagon). and remember my friend that BO is half white, what makes him more black is the fact he has a black wife and pretty daughters with a dark complexion. Nenda wewe mweusi tititit ukagombee kama utachaguliwa. when the race issue ( rev Wright issue) began BO had to tell them kuwa he was born by a white mum, his grand parents are white and they also fear blacks, and that they should be rest assured he doesnt hate whites. Picture this kama BO angekuwa mweusi tititi what concrete reason would he have given them?

I must admit i cant change ur mentality, this racially equity thing is in you, ukikuwa utajuwa then utaelewa. please dont argue. Chao.
 
Treni la Obama linawasomba tuu, alafu NN kama kungekuwa hakuna umuhimu wa hizi endorsements basi inakuwaje akina Billary walikuwa wanampigia misele John Edwards?

Clinton superdelegate Brad Ellsworth said Wednesday that he cast his vote in the May 6 Indiana Democratic presidential primary for Illinois Sen. Barack Obama, adding yet another intriguing twist to the mystery of just who the conservative freshman lawmaker supports
 
Pundit ulikuwa wapi bwana na wewe, haya ma-analyses yako tumeyakosa sana huku!

Hivi kweli hii ya Edwards nayo mnaifanya deal. Edwards mwenyewe inaonekana hana ubavu wa kufanya maamuzi magumu. Anasubiri hadi jamaa ameshamla karibu ng'ombe mzima ndio anajifanya kumpa support, huu ni uhuni au anatafuta ugombea mwenza? Kwa nini hakuwa as courageous and daring as Bill Richardson?
 
Pundit ulikuwa wapi bwana na wewe, haya ma-analyses yako tumeyakosa sana huku!

Hivi kweli hii ya Edwards nayo mnaifanya deal. Edwards mwenyewe inaonekana hana ubavu wa kufanya maamuzi magumu. Anasubiri hadi jamaa ameshamla karibu ng'ombe mzima ndio anajifanya kumpa support, huu ni uhuni au anatafuta ugombea mwenza? Kwa nini hakuwa as courageous and daring as Bill Richardson?

..edwards si deal kwa obama[at least kwasasa],ila ni pigo jingine kwa mama!
 
Back
Top Bottom