US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

NN naona ulikuwa MIA...

Edwards keshajongea kwenye train...sasa watu wanaanza kula kura za rural americans...

...sema wewe kaka!!! naona wengine wamekariri, wanadhani kwamba uchaguzi wa mwaka huu ni "routine" kwamba business as usual...kwamba raisi atakuwa white male( kwikwikwi kusema imeandikwa, yohana 7:1), na candidate wa Dems atakuwa swift boated halafu uchaguzi umekwisha!! wakati ni more complex than that!!.
 
pumba kama kawaida yako!!

Pumba ni hayo madai ya kusema Obama atashinda MS.....eti una inside info...inside info gani....wizi wa kura?
Tutaona kama atapiga kampeni huko MS....
Oh pia nasikia eti atakampeni Arizona....bwahahahahahahaahahaaaaaaaa
 
...tena AZ bahati yenu tu kwamba McCain ndio nominee, vinginevyo ilikuwa bonge ya swing state mwaka huu!! MS mambo mazuri, ushahidi ni jana Childers kashinda kwenye conservative district tena baada ya kuwa labelled Obamacratics.........change is in the Air!! Real Pundits, wanasema MS inaweza ku-swing!! kalaghabao.
 
ngabu the big loser naona bado unakufa na tai shingoni,sasa ngoja changa la macho likupige ili uanguke kabisa...MS jana ndugu yako kapewa kichapo ile mbaya,alienda Dick Cheney na GOP wakamwaga millions lakini change haikusikia kitu,MS AA population iko energized na ni kubwa sana na ndiyo itampa ushindi Obama in Nov, na jana wamempa ushindi White male maana waliibuka in record number haijawahi kutokea na ilikuwa ni revenge ya AD ya GOP linking Obama na Rev...mmekwisha nyie subirini Tsunami yenu November
 
....sema wewe kama, mie nikisema watasema nimetoka kupiga "mbuksa"!! jana kimsingi ni GOP machinery imekuwa defeated in northeastern MS!! sweeeeeeeeeeeeet.
 
...tena AZ bahati yenu tu kwamba McCain ndio nominee, vinginevyo ilikuwa bonge ya swing state mwaka huu!! MS mambo mazuri, ushahidi ni jana Childers kashinda kwenye conservative district tena baada ya kuwa labelled Obamacratics.........change is in the Air!! Real Pundits, wanasema MS inaweza ku-swing!! kalaghabao.

Hao hao ma pundits walishagamuua na kumzika McCain..
Hao hao ma pundits walisema Kerry kamshinda Bush..
Hao hao ma pundits walimweka Dukakis mbele kwa %17 dhidi ya Bush Sr. only to lose 40 states...bwahahahaha....(ukimwona msalimie)

Much to your chagrin, your "real pundits" don't vote in Mississippi....It is the Mississippians whose vote will count and not the fantasies of your "real pundits"....get it boy?
 
ngabu the big loser naona bado unakufa na tai shingoni,sasa ngoja changa la macho likupige ili uanguke kabisa...MS jana ndugu yako kapewa kichapo ile mbaya,alienda Dick Cheney na GOP wakamwaga millions lakini change haikusikia kitu,MS AA population iko energized na ni kubwa sana na ndiyo itampa ushindi Obama in Nov, na jana wamempa ushindi White male maana waliibuka in record number haijawahi kutokea na ilikuwa ni revenge ya AD ya GOP linking Obama na Rev...mmekwisha nyie subirini Tsunami yenu November

Kama unaangalia idadi ya nani wako wengi...basi Obama has a numerical disadvantage to McCain....and that is true in almost every state. African Americans are not the majority in Mississippi and no state has an African American majority. This is whishful thinking on you guys' part to say that MS is in play. Mark my words....MS will remain in the GOP column and The Mac will not even bother campaigning there.

And, is it fair to also say the white population will be energized, fired up and ready to go and vote for McCain....or that is racist?
 
Unajivunia loser ambaye alishindwa hata kushinda nyumbani kwao....

McCain naye si alikuwa looser kwenye primaries za GOP in 2000? leo kapewa ticket...mambo yanakwenda yanabadilika...hakuna kishowezekana chini ya jua.
 
Hao hao ma pundits walishagamuua na kumzika McCain..
Hao hao ma pundits walisema Kerry kamshinda Bush..
Hao hao ma pundits walimweka Dukakis mbele kwa %17 dhidi ya Bush Sr. only to lose 40 states...bwahahahaha....(ukimwona msalimie)

Much to your chagrin, your "real pundits" don't vote in Mississippi....It is the Mississippians whose vote will count and not the fantasies of your "real pundits"....get it boy?

woow woow, boy? me? angalia nisije kukupa right hook kama alopewa Suge juzi ooooohoo!!.

Dukakis, anafundisha pale Northeast University (roxbury-huntington st) jamaa poa sana hana makuu!!!.
 
McCain naye si alikuwa looser kwenye primaries za GOP in 2000? leo kapewa ticket...mambo yanakwenda yanabadilika...hakuna kishowezekana chini ya jua.

....mupe huyo!! anakariri sana.
 
Kama unaangalia idadi ya nani wako wengi...basi Obama has a numerical disadvantage to McCain....and that is true in almost every state. African Americans are not the majority in Mississippi and no state has an African American majority. This is whishful thinking on you guys' part to say that MS is in play. Mark my words....MS will remain in the GOP column and The Mac will not even bother campaigning there.

And, is it fair to also say the white population will be energized, fired up and ready to go and vote for McCain....or that is racist?

Mabaguzi mengi yalikuwa yakimsubiria Edwards na sasa ameyapa green light kuwa Jaluo ni mtu ni safi!
 
.....hii nayo imekaje wasee? lakini mpaka ikifika Nov watakuwa wameelewa somo, hatoki mtu humu mwaka huu mpaka awe kahesabiwa!!

Controversy Created By Tavern Selling Obama 'Curious George' T-Shirts

The owner of Mulligan's Bar and Grill in Georgia has caused quite a stir, leading to protesters outside of his establishment because he has been selling T-shirts that depicts cartoon chimp Curious George peeling a banana, with "Obama in '08" underneath.
The owner of the Georgia Tavern insists that the shirts weren't meant to offend and has described them as "cute," but protesters disagreed, saying that it is a racist slam against Barack Obama.

Several people as well as community groups held protests outside of Mulligan's Bar and Grill on Tuesday. Those groups included, Southern Christian Leadership Conference, the Nation Of Islam, and the Cobb Immigrant Alliance.

Norman, who has been described as "ultra conservative" answers his critics with even more controversial statements, such as, "We're not living in the '40's. Look at him . . . the hairline, the ears - he looks just like Curious George."

Approximately a dozen protesters stood outside his tavern on Tuesday, one of which was Marietta native Pam Lindley, who joined the protest after reading about the controversy online and she says, "I don't want people to think this is what Marietta is all about. This is what some people think the South is still like. Marietta's come a long way but I guess it's still got a little ways to go."

Defenders of Norman assert Mulligan's is a refuge and Gene McKinley who is one of Mulligan's patrons says, "This place is a diamond in the rough. People here are genuine and honest. It's the one place I can go without having to worry if I'm offending someone."

Despite the protests, since this has now gotten national attention and media coverage, Norman says he has been fielding calls since the story broke with one man in New Jersey asking him to send him 100 T-shirts.

He said he noted physical similarities between the Democratic frontrunner and the cartoon monkey while watching a Curious George movie with his grandchildren.

He is now planning to use this as his marketing tool.

This has been picked up by CBS, United Press International, Boston Herald and a number of other media outlets.

..je ni ubaguzi, ignorance, janja ya RNC ku-stir trouble au ni vyote kwa pamoja!!?? Nyani, Marietta namna gani tena!!?
 
MSNBC Article

http://www.msnbc.msn.com/id/24628804
r-OBAMAEDWARDS-huge.jpg

CNN Article

http://www.cnn.com/2008/POLITICS/05/...ama/index.html
 
"I'm going to work my heart out for whoever our nominee is. Obviously, I'm still hoping to be that nominee, but I'm going to do everything I can to make sure that anyone who supported me ... understands what a grave error it would be not to vote for Sen. Obama."-Hillary Clinton

*and she meant picking McCain over Obama. Ila washabiki wake aaah wanaona ni bora wampe McCain ili wote(Barack na Hillary) wakose.

t1home.edwards.obama.cnn.jpg
 
McCain naye si alikuwa looser kwenye primaries za GOP in 2000? leo kapewa ticket...mambo yanakwenda yanabadilika...hakuna kishowezekana chini ya jua.

Kushindwa kwenye primary sio hoja...
Hata Ronald Wilson Reagan alishindwa kwenye primary za mwaka 76...
na the rest is history...(waulize Jimmy Carter na Walter Mondale)...
 
woow woow, boy? me? angalia nisije kukupa right hook kama alopewa Suge juzi ooooohoo!!.

Dukakis, anafundisha pale Northeast University (roxbury-huntington st) jamaa poa sana hana makuu!!!.

Hahahahaaaa...mshikaji wa Suge hoi bin taaban....chali akilamba mchuzi...bwahahahaaaa......hiyo ni preview ya yatakayomkuta Obama....

Naona Dukakis baada ya kupata kisago toka kwa Bush senior akawa hana hamu tena....ikabidi arudi kufundisha......
 
Back
Top Bottom