...sasa kama hivyo ni kweli kwanini BO ana lead na technically ndio nominee?? unadhani kura za weusi tu pekeyao zingetosha?? basi kama ni hivyo McCain angekuwa kakaa tu kampuzika bila kufanya kampeni!!! think!! haipo kama unavyotaka kulazimisha, unachosema wewe ni one possibilty na mtu yeyote hapa anaweza kusema hivyo........ndio maana nikakuuliza umejuaje?? jibu swali!!
usemi sana kwasababu hujui....unabahatisha au wasee wanasema unalengesha.
acha kubahatisha!!
You are reading what I did not write, perhaps you have some pre-conceived ideas of what I represent, hence the total butchering of my line of thought.Si represent a total and distinct divide between blacks and whites, kuna black women for hillary just as kulivyokuwa na white bikers/ for Obama.Ninachoongea hapa ni demographics, demographics zitakazo translate into votes zitakazo translate into electoral colleges ziatkazomchagua rais.
Usichanganye maoni ya Democrats, ambao ni liberals na chini ya nusu ya wapigakura na maoni ya Wamarekani wote.
Huwezi kujua kitu kinachokuja kwa sababu hakipo, huwezi kukijua.Mimi nakupa an informed projection kwa mujibu wa mambo yalivyo leo.
Katika ulimwengu wa possibility John McCain anaweza kujikojolea on stage na Obama kurudi Kenya halafu rais awe Kucinich baada ya Hillary Clinton kugundulika na scandal za u Lesbian.
Ninachokwambia ni kuwa, ukichukua hizi polls za ma Democrats ambao kwa kawaida ndio ma liberals/progressive/ wanaopenda weusi ukaangalia wanaosema "I am not ready to vote for a black man" ukajumlisha na fact kuwa hawa ndio progressive wenyewe, ukajumlisha na fact kuwa kwenye polls watu wengi racists huwa hawasemi ukweli na hivyo hizo figures zinaweza kuwa as low as half of what the real figures are, ukaangalia huko middle America kuna watu kibao ambao hawapendi "poor blacks" sembuse a perceived elitist Harvard graduate who prefer Orange juice to coffee and cannot even bowl, does not only read books but writes bestsellers too utapata jibu lako.
Utajua kwa nini Obama hakushinda Penn wala WV.Sasa hii trend ya Penn na WV ndiyo itaendelea Oklahoma huko, mpaka majimbo ya kati yote aliyoshinda Obama huko Kansas and what not, ma Utah huko Mormomns mpaka kesho hawataki mtu mweusi despite kanisa lao kuondoa hiyo stand officially.Kuna ma Hillbillies huko yako racist hata hayajui kwamba kuna racism, yenyewe yanaona sawasawa tu, kuna ma Doug The Bounty Hunter kibao huko middle Amerika ma Idaho na The Dakotas huko, wanavyohusudu mibunduki huko ma Missouri unafikiri wanaweza kumpigia Obama "wasiyemjua" wakati anapambanishwa na War Veteran aliyekataa kuachiwa huru kwa sababu tu alitaka asiachiwe peke yake bali waachiwe wote na wenzake?
Ujue watu wanavyokuwa optimistic hapa ni kama vile wanafikiri Wamarekani wa middle
America wanapiga kura kwa kuchambua issues na kuangalia nanai rais mzuri atakayeifaa nchi kiuchumi and all ("Whats The Matter With Kansas" ime document vizuri jinsi wanavyo vote against their own ecomic interest).Ukweli ni kuwa wanavote kwa mtu ambaye ni likeable, mtu ambaye wanaweza kula naye barbecue and that sort of stuff, a black man is a radically different type of fellow than good old McCain.Ulishajiuliza kwa nini Bush kachaguliwa mara mbili?
Sad as it sounds this is the situation, this is why McCain is just bidding his time til he rolls into Penn Ave