Go Mama Go!
...hope leo wewe na wenzako kina kitumbo kitumbo na joka kuu mtapata akili na mtamsikiliza mama na tunaomba msisuse maana ndio demokrasi.
Go Mama Go!
Huyu mama bwana ni fighter. So far ameshafanikiwa kum-reduce Obama from a rare species of politicians to a normal one to the extent that Obama himself seems to have abandoned his message of hope. Kilichokuwa kinafanya watu wamchague Obama ni huo utofauti wake na wanasiasa wengine wa America, sasa in the advent that this brand has effectively been dismantled by the fighter Hillary, why should people elect him tomorrow and, more importantly, come November (if he still stand to win the nomination)? Hivi mnaweza kuelewa au kutueleza sisi lay pundits nini kimetokea kilichomfanya Obama ashuke kutoka 20+ lead to something 5+ kwenye poll za NC? Ngoja mimi nikapumzike nisubiri kushangilia ushindi wa fighter kesho!
Hillary Clinton can change her message, change her campaign manager, even change her hairstylebut she cant change the delegate math that makes it almost impossible for her to win the Democratic presidential nomination.
breaking nuz zinasema, HRC ka-cancel all appearances kwenye morning shows kesho asubuhi......why, why Nyani Ngabu why??.
leave me alone man....please
acha kulialia wewe kama shoga, gangamala kiume.........tunasubiri nambaz toka lake county home of Gary, Indiana kimsingi ni suburb ya Chicago, nadhani unajua maana yake ni nini!!?? halafu absentee ballots pia bado kuhesabiwa.........
nipe/tupe maelezo basi ya maendeleo ya 'operation chaos,' please! then I will leave you alone.