Mkuu samahani mimi huwa sijiiingizi kwenye yanga na simba, mwanzoni nilikuwa ninamuamini Jaluo, lakini juzi amenihakikishia kuwa ni another politician kama kina Clinton, alipojaribu kumkana mtu aliyemfikisha alipo, yaani mkulu wright na the fact kwamba amekuwa akimkana, wakati Wright anasema walikuwa wote ile siku alipotangaza kugombea lakini alimficha basement, that is pathetic!
My conclusion ni kwamba Democratic party, haina tofauti yoyote na chama cha Mtikila, either chama ni kibovu au kionaongozwa na viongozi wabovu au hakina viongozi period, kama kipo kweli, halafu for some very unknown reasons, waa-Afrika tunaonekana kuwakumbatia sana hawa wapuuzi Democrats, ambao hawana muelekeo wala fresh ideas, wamepitwa sana na wakati na belive me kama sio huu uchaguzi nisingewaelewa kabisa kama ninavyowaelewa sasa, Republicans would never let chama chao kikajivuruga namna hii,
Hao superdelegates wa Congress wanashawishiwa na Pelosi, another joke, spika wa bunge lenye 28% approval against 31% approval kwa Joji Kichaka, yaani hata Kichaka anawazidi akili, wakati wao walichaguliwa ili kumnyooosha Kichaka, miaka miwili ya uongozi wao Democrats, kila kitu kimepanda bei mara mbili, Mkuu hizo hela Jaluo anapewa na wanaomchukia Hillary kina Moore, another joke, so far wanachoweza ni kumpitisha Jaluo tu kwenye nomination, lakini hawawezi kumpa urais maana walishindwa kumpa Gore, ni hao hao pia walishindwa kumpa urais Kerry,
Viongozi wa chama chochote cha siasa wenye akili za kuona mbele, by now wasingeruhusu huu mpasuko kufikia ulipo sasa, walitakiwa kuwaunganisha mapema, ili angalau wawe na strong tiketi, matokeo sasa ni Republicans doing enything they could kumsaidia Hillary, na hasa hiii "Operation Chaos" inayoongozwa na mazee Rush, watu laki moja na sitini wa Republican party wali-cross the line na kumpigia kura Hillary, kule Penn state, Hillary alishinda kwa kura laki mbili, kwa hiyo ina maana kati ya hizo kura laki moja na sitini ni za Republicans, sasa kwenye General election itakuwaje?
Makeni kutokuwa na hela sio tatizo, hajawahi kuwa na hela lakini mbona alimshinda bwana hela Romney? Wamarekani wanaenda na a winner, sasa hivi hela zitaanza kumwagika kwa Makeni, kwa sababu watu wengi wameshaanza kukata tamaa na Jaluo, mwanzoni nilikuwa ninazimia na Jaluo, lakini I am sorry next time agombee akiwa Republican sio Democrats, ni chama kibovu kazi kila wakati kuwa on defensive, na kuficha ficha uovu wa viongozi wao, halafu ukijulikana wanahangaika, tizama sasa wameficha uchafu wa Jaluo weee ambao kwanza sio a serious uchafu ambao ungetolewa mwanzoni wala isingefikia hivi, lakini ni kwa sababu ni incompetent kama mtandao, ndio maana hawafai,
Democrat ya kina JFK, sio hiii ya sasa, mkuu wangu unayesema kuwa Jaluo hajawa afected tafuta namba za kuanzia juzi zinasema nini kuhusu kushindana na Makeni, huu uchaguzi umenisaidia one thing ume-expose uozo wa Democrat kuwa ni chama kisichokuwa na muelekeo wala mpangilio!