US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nyani,
hivi ulijuaje kuwa aliyesema hivyo ni Jenna na sio Barbara? unaharibu mijadala kwa hii tabia yako ya kupotezeana muda!! ebo.
 
He he, Haya naona Rev Wright amezungumza na PBS interview itakuwa aired friday.
 
He he, Haya naona Rev Wright amezungumza na PBS interview itakuwa aired friday.

Icadon,
hayo mazungumzo na Bill Moyer, tayari segments zipo hewani......jamaa kasema kwamba Obama kajibu ile controverse kama mwanasiasa! hiyo tayari imeshawapa hayday pundits. lakini kijumla hakuna "awkward moments" ktk interview nzima!!

good job Rev. Wright, Go Obama.
 
Nyani,
hivi ulijuaje kuwa aliyesema hivyo ni Jenna na sio Barbara? unaharibu mijadala kwa hii tabia yako ya kupotezeana muda!! ebo.

Tatizo lako wewe uelewa wako ni mdogo sana. mwenzio haja-commit kwa mgombea yoyote....yuko tayari kuwasikiliza wanaleta nyimbo gani....lakini wewe tayari umeshahitimisha eti kasema atapigia mgombea wa democratic....Wakati mwingine nashindwa hata kuelewa ulifaulu vipi unesi....au wewe ni LPN na sio RN?
 
Icadon,
hayo mazungumzo na Bill Moyer, tayari segments zipo hewani......jamaa kasema kwamba Obama kajibu ile controverse kama mwanasiasa! hiyo tayari imeshawapa hayday pundits. lakini kijumla hakuna "awkward moments" ktk interview nzima!!

good job Rev. Wright, Go Obama.

Huyu jamaa anazidi kumharibia jaluo....sijui kwa nini hawezi kufunga hilo domo lake...he is a loose cannon for real...
 
Tatizo lako wewe uelewa wako ni mdogo sana. mwenzio haja-commit kwa mgombea yoyote....yuko tayari kuwasikiliza wanaleta nyimbo gani....lakini wewe tayari umeshahitimisha eti kasema atapigia mgombea wa democratic....Wakati mwingine nashindwa hata kuelewa ulifaulu vipi unesi....au wewe ni LPN na sio RN?

huwezi kunielewa hata siku moja, mie mwenyewe sijui akili yangu inafanyakazi vipi na kivipi nipo hapa nilipo.....its a mystery! find out and let me know, LPN sijui RN, RRT, PA au Doctor its none of your business!! mie nabeba boksi kama Koba ndio maana nipo kama nilivyo.
 
huwezi kunielewa hata siku moja, mie mwenyewe sijui akili yangu inafanyakazi vipi na kivipi nipo hapo nilipo.....its a mystery! find out and let me know, LPN sijui RN, RRT, PA au Doctor its none of your business!! mie nabeba boksi kama Koba ndio maana nipo kama nilivyo.

Haya basi lete exact quote ya Jenna....sitaki link
 
Huyu jamaa anazidi kumharibia jaluo....sijui kwa nini hawezi kufunga hilo domo lake...he is a loose cannon for real...

loose canine? no way! labda kama ni cannon kwikwikwikwi....jamaa yupo kwenye tight leash, ndio maana alikuwa kimya muda woooote huu na hii interview yake alikuwa yupo calculated kupita imaginations zako!! jaribu kujiandaa buraza, kabla ya kuja hapa na uninformed pumbaz kama kawaida yako.
 
Kaka punguza jazba basi...duh! Uko emotional sana wewe mshikaji wangu...
 
Kaka punguza jazba basi...duh! Uko emotional sana wewe mshikaji wangu...

aaaah bwana, jazba gani? labda kama siku hizi neno jazba lina maana nyingine na kwa kesi hii ni kuwa happy!!

mie clean ile mbaya yaani, ila sizimii none sense!!. Ukimuuliza braza wake wa "si-kisenge" wa OH (braza mtu ni graduate wa Kennensaw state mwaka '04, hapo ATL ambaye ni mshkaji wangu wa loooooongtime) labda utaelewa.
 
Nyani, acha uvivu wakutafuta story! Haya hiyo story ya Jenna Bush hii hapa alikuwa kwenye Larry king Live
KING: Do you have a favorite between the two, the two Democrats?

L. BUSH: My favorite is the Republican.

(LAUGHTER)

KING: Yours, too, I would imagine.

J. BUSH: I don't know.

KING: A-ha. J. BUSH: But, I mean, you know --

KING: Are you open to --

J. BUSH: Yes, of course. I mean, who isn't open to learning about the candidates? But, I mean, and I'm sure everybody is like that. But I really -- I honestly have been too busy with books to really pay that much attention.
Hapa ilibidi aji-save dada maana mamake alikuwa anamtupia jicho kali sana.
 
You really sound like Hillary now, an angry and bitter old white woman!

Wee acha huyu mama huwa halii ovyoovyo; she is a fighter. Hayo mambo ya kulialia ni ya akina Obama na surrogates wake kama Bill Richardson ambaye tangu atangaze kumuunga mkono Obama amebaki kuliakulia na akina Clinton. Shida kabisa hii kambi naona watalia na kusaha meno O'Really atakapoanza kuwashukia!
 
Nyani, acha uvivu wakutafuta story! Haya hiyo story ya Jenna Bush hii hapa alikuwa kwenye Larry king Live

Hapa ilibidi aji-save dada maana mamake alikuwa anamtupia jicho kali sana.

Sasa wapi hapo kasema atapigia kura democrats? Namtaka rafiki yako YNIM aombe radhi kwa kuongopa...
 
Sasa wapi hapo kasema atapigia kura democrats? Namtaka rafiki yako YNIM aombe radhi kwa kuongopa...

YNIM hakuongopa bana! He just 'misspoke' like HIllary because he was busy ducking sniper fire! Kwikwikwi!!
 
Sasa wapi hapo kasema atapigia kura democrats? Namtaka rafiki yako YNIM aombe radhi kwa kuongopa...

tatizo lako upo busy na kutafuta "dirty" badala ya facts! sija misspoke wala nini, Jenna kasema or @least ni assertions za watu juu ya nini alichosema!! nenda www.pensitoreview.com search jenna. au google basi, "jenna: I will vote democrats this november"!! lakini kwasababu ndivyo ulivyo, utaendelea kung'ang'ania upewe exact quote.
 
J. BUSH: Yes, of course. I mean, who isn’t open to learning about the candidates? But, I mean, and I’m sure everybody is like that. But I really — I honestly have been too busy with books to really pay that much attention.

If Jenna were to support a Democrat this year, she would be the second daughter of a Republican president to switch parties so far.

Ni wapi Jenna aliposema atavote Democratic? Wewe mgumu kweli kuelewa. Hivi darasani ulifauluje mitihani? My guess is you barely made it.

Hakuna cha assertions wala nini. Yeye yuko open kuwasikiliza wagombea wote. If anything she falls into that category of the undecideds. Sasa kwa vile yeye ni Jenna....chochote atakachosema bila commitment kwa mgombea wa GOP nyinyi left wing crazies mtakichukua na ku-run with it!
 
Back
Top Bottom