Susu,
Hawa PR si wngi wao ndio walioko NY, ndiyo maana mama anajitapa. Ikiwa obama atapata japo popular votes kama 150000+ North Carolina, basi mchezo umekwisha maana mama atachechemea kwenye anga zote.
Obama atamwambia mama alete kura zake za FL na MI ajumuishe na atakufa kifo cha Mende!
...jamani nomination imekwisha na mama anajua ila media inataka news tuu maana bila kumtaja Obama kila dakika hawana raha kabisa na ratings zitashuka,sasa ngoja tumshushie babu tsunami maana ndicho anachosubiri,sasa utaona real democrats,independent wanao make sense,ant war & ant Bush nyuma ya Obama kumaliza GOP for good!