US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kumbe unakubali majamaa yako effective eeehhh...lol!!
"
Na hii issue ya Fox news ambayo jamaa yangu yourname ameibatiza "Fix" unajaribu kuwa somewhat illucinating...at least sort... of coz the s**t you've been talking about ain't even existing bro!Lazima ukumbuke kuangalia station flani sio lazima kukubaliana ama kukipenda kinachosemwa!Niwazi kuwa watu wanaflip to different stations depends on who's the favorite or what favorite program is on..the likes of Wolf Blitzer etc!others just wanna see how naive other people are when discussing politics!Pundits watch each other so as to find the basis for their counter argument when contributing to the issues that ofcourse they have different ideas on!KUNA WAKINA OLBERMAN WENGI TU WANAOTIZAMA FOX NEWS!
 
Hawa wajamaa sio wanywa gongo wala nini..Ni kweli uchaguzi wa 2006 Democrats waliwabwaga Marepablikan kinoma na hivyo kuwashtusha na wengine kuanza kupinga vita vya iraq ili walau wapate tukura twa kuweza kuwarudisha madarakani!Umeona mifano ya kina Ron Paul ambao walikuwa na support ya young/educated and economy conservatives ambao walimpa kiburi kwa mamilioni ya pesa waliokuwa wakimchangia na ambayo bado wananendelea kumchangia kupitia mitandao!Kwa kumalizia nyani..angalia mifano mingi tu ambapo Bush hivi sasa amekuwa branded "lame duck" and the only thing he upholds and depends on as his last defense is the "veto"Mfano mkubwa ni issue ya makampuni ya simu ambayo inaelekea kuwa atai veto!Na kikubwa zaidi pia kilichowafanya washindwe uchaguzi wa 2006 was iraqi war!Na hivi sasa inaelekea tunarudi 2006 na media imeamua kurudi na kuanza kubroadcast war na kuilink na economy ambayo ni miserable na jaluo anasema its in "shambles"Na sasa jana likuwa ndio milestones a 4000 troops dead huko iraqi!economy ndio issue namba one hivi sasa lakini ujumuishwaji wa uchumi na vita huku habari za vita zikiendelea kuletwa ni wazi jaluo atakuwa favored!

Wakati mwingine inakuwa vigumu sana ku-reason na wewe!! Mimi nimeomba namba (mgawanyo) za Democrats na Republicans, kwa mfano Democrats wako 49, Republican wako 48, na Independents wako 3. Huu ni mfano tu. Sasa nipe namba za kweli. If this is too complicated for you let me know and I will dumb it down further for you.
 
"
Na hii issue ya Fox news ambayo jamaa yangu yourname ameibatiza "Fix" unajaribu kuwa somewhat illucinating...at least sort... of coz the s**t you've been talking about ain't even existing bro!Lazima ukumbuke kuangalia station flani sio lazima kukubaliana ama kukipenda kinachosemwa!Niwazi kuwa watu wanaflip to different stations depends on who's the favorite or what favorite program is on..the likes of Wolf Blitzer etc!others just wanna see how naive other people are when discussing politics!Pundits watch each other so as to find the basis for their counter argument when contributing to the issues that ofcourse they have different ideas on!KUNA WAKINA OLBERMAN WENGI TU WANAOTIZAMA FOX NEWS!

Pure tripe!!!
 
...no one listening to Clinton campaign anymore,waseme wanachotaka lakini nomination hawapati,time to face mpenda vita Mccain,Ngabu subiri babu yako aanze kupewa thrash & cut,hiyo imaginary GOP machine mnayoisubiri wawaulize clinton machine watapata jibu.
Obama08.
 
Sasa hii ndio tunaita gross exaggeration of titanic proportions!!! Hebu angalia senate halafu uniambie Democrats ni wangapi na Repulicans ni wangapi na Independents ni wangapi halafu ulinganishe na statement yako ya "2006 wakati waliposhindwa vibaya na democrats" halafu niambie kama kuna vinalingana. Karibu na wewe nitakuweka kwenye kundi moja na rafiki yangu Yourname katika kundi la wanywa gongo!!!

...sasa hutaki au? kubali 06 ilikuwa landslide labda kama unaishi Mars!
 
ukiwa unakubaliana nao yes wapo effective, vinginevyo ni mijitu ya hovyo tu!!

unajua hata nchi nyingi za afrika ambazo upinzani umefanya vizuri, ni kwamba wana vyombo vya habari hasa redio ambazo ni za nchi nzima!! nakumbuka 1998, nilienda Zambia nikakuta kituo flani cha redio pale downtown Lusaka kimepigwa kiberiti na Chiluba...kisa, jamaa walikuwa wanamfanyizia kama hawa akili nzuri. hata hivyo nadhani hatima yake unaijua!! kwikwikwikwi.
mie, nadhani tu-push hii idea ya kuanzisha redio nchi nzima.....tu brainstorm hapa tuone feasibility yake, ama sivyo sisiemu watakuwa madarakani mpaka siku ya kiama.
tatizo wajua, magazeti hayafiki vijijini na ni rahisi kuyafanyia ufisadi, lakini redio mmmmh... hiyo ni another monster!! wakati nikiwa bongo, kuna karedio flani hivi ka kanisa katoliki(kama sikosei) nilikuwa nakazimia sana, kalikuwa na father mmoja mzungu kama mtangazaji mara moja moja..je bado kapo??

kenya asilimia zaidi ya 80 ya raia wanasoma na kufikiwa na magazeti, je tanzania ni ngapi??

..unanikumbusha zile diploma zilizokuwa zinatolewa kule eastern europe enzi za cold war!
 
Sasa hii ndio tunaita gross exaggeration of titanic proportions!!! Hebu angalia senate halafu uniambie Democrats ni wangapi na Repulicans ni wangapi na Independents ni wangapi halafu ulinganishe na statement yako ya "2006 wakati waliposhindwa vibaya na democrats" halafu niambie kama kuna vinalingana. Karibu na wewe nitakuweka kwenye kundi moja na rafiki yangu Yourname katika kundi la wanywa gongo!!!

Nyani ,

Hoja yako aijitoshelezi , suala sio kuangalia katika Senate mgawanyo wa Democrats na Republican tuu . Hiyo aitatosha kutoa picha halisi ya huo ushindi , ni muhimu pia kuangalia kabla yao uchaguzi mgawanyo ulikuwa vipi !
 
..unanikumbusha zile diploma zilizokuwa zinatolewa kule eastern europe enzi za cold war!

sijakuelewa, ila na assume kwamba umenitukana..........naona wasee wengine, mnakuwa mmepaniaaaaaa!!! haya bwana unanikumbusha hadithi ya "sharifu" na mayai ya kuchemsha kwenye sinia la biriani!!.
 
Hebu nipeni shule kidogo hapa wakuu, hivi mwaka huu ushindi utaamuliwa kwa popular vote au kwa electoral college kama miaka ya nyuma? Nauliza hivi kwa sababu hili jambo hatujalijadili sana hapa, na ninaona maongezi yote yamekuwa kwenye popular vote as if hizi ndizo zitakazotoa mshindi. Hebu nipeni shule kidogo hapa.
 
Uchaguzi mkuu bado kaka ndio maana hatuzungumzii electoral college votes...kwa sasa ziko irrelevant mpaka hapo Dems watakapopata mgombea wao. Mwaka huu eti kuna mtu humu ndani amesema Dems wata-sweep the deep south including Georgia and Mississippi....Lol
 
Nyani ,

Hoja yako aijitoshelezi , suala sio kuangalia katika Senate mgawanyo wa Democrats na Republican tuu . Hiyo aitatosha kutoa picha halisi ya huo ushindi , ni muhimu pia kuangalia kabla yao uchaguzi mgawanyo ulikuwa vipi !

Haya...hii ndiyo unaiita landslide?

Democratic Party 17 22 27 44 49 +5 33,929,202 53.91%
Republican Party 15 9 40 55 49 −6 26,674,169 42.38

The new Senate will have 49 Democrats, 49 Republicans and two independents, Joseph I. Lieberman of Connecticut and Bernard Sanders of Vermont.

Hii ndio landslide victory kweli? Basi labda hii lugha mimi siielewi...
 
Haya...hii ndiyo unaiita landslide?

Democratic Party 17 22 27 44 49 +5 33,929,202 53.91%
Republican Party 15 9 40 55 49 ?6 26,674,169 42.38

The new Senate will have 49 Democrats, 49 Republicans and two independents, Joseph I. Lieberman of Connecticut and Bernard Sanders of Vermont.

Hii ndio landslide victory kweli? Basi labda hii lugha mimi siielewi...

hizo numbers umeziokota wapi? mbona hata hazieleweki bana?...ilikuwa landslide, inategemea unaangalia kwenye angle gani!? republicans walipoteza viti kwenye congress zaidi ya 25, prominent GOP senators kama George "makaka" Allen, R-Va na Rick Santorum, R-Pa walibwagwa......uchaguzi ule ndio ulimkimbiza Dennis Hastert, Bill Frist, wakina Duke Cunningham na wengineo!! sasa ukisema haikuwa landslide, sijui wewe unataka landslide iweje??
 
Nyani,
hivi umesoma leo postings za kwenye "the politico."??....kuna good stuffs huko, chungulia!!
 
Nyani,
hivi umesoma leo postings za kwenye "the politico."??....kuna good stuffs huko, chungulia!!

Huko politico kuna nini kizuri?

Halafu hawa wachungaji wa Trinity wakoje...mbona wanapenda sana kupiga mayowe? Huyu mchungaji bwa mdogo Otis Moss naye inaelekea yuke kama Wright....umeona alivyokuwa anapayuka jana?
 
Sitashangaa kusikia McCain is "our" next President. Pamoja na kuwa general Public in US na current conditions zinamtaka Obama, there is always a plan of sidelining a nig out of the main stream. Dubya did just that to sideline Kerry, when US needed Kerry the most.
 
Back
Top Bottom