US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Sitashangaa kusikia McCain is "our" next President. Pamoja na kuwa general Public in US na current conditions zinamtaka Obama, there is always a plan of sidelining a nig out of the main stream. Dubya did just that to sideline Kerry, when US needed Kerry the most.

We nani kakwambia general public in US na current conditions zinamtaka Obama? Domocrats bado wako kwenye hatua za awali za kuchagua mgombea wao na hii isitafisiriwe kama ndio general oubluc ya US...
 
Nani mwenye majority kwenye senate?

...kitu gani usichoelewa hapo,nilifikiri ulikuwa unataka kuona matokeo kumbe unataka kuleta ubishi tuu...anyway bada ya huo uchaguzi majority ni Democrats lakini kabla ya uchaguzi walikuwa minority(55-44) lakini wali gain 6 senate sits,na kwenye congress dems gained 31 sits na kuwa majority!
 
Naona Mama Clinton alianza kuwapiga watu fix kuwa alikwepa sniper shots kule Bosnia na ameumbuliwa na video clips.
 
Wakati mwingine inakuwa vigumu sana ku-reason na wewe!! Mimi nimeomba namba (mgawanyo) za Democrats na Republicans, kwa mfano Democrats wako 49, Republican wako 48, na Independents wako 3. Huu ni mfano tu. Sasa nipe namba za kweli. If this is too complicated for you let me know and I will dumb it down further for you.
We nyani mbishi kweli!Halafu unaniletea madharau mepesi ya kusema eti"vigumu kureason na wewe"unalalamika nini kama mwanamke?Unaomba mgawanyo wa nini?Sasa Koba keshakusomesha ndo unaona noma na umenywea!Umeshaelezwa siasa za marekani zilivyo..licha ya wewe kuwa marekani lakini huzijiu siasa zake!Sasa umeshapewa definition ya majority,mimi nilikupa how that defintion(of majority) gives the democrats more power only to find out there is one more obstacle..and tha is G.W's veto!Vijihesabu vyako feki na vya hovyo vya eti Dems ni 49 na repubs whatever havina mantiki kwenye topic tuliyokuwa tukiijadili ya kwamba ni kwa jinsi gani uchaguzi wa 2006 uliwa favor democrats due to the war in iraq!Na kwamba kama issue ya iraq ikiendelea kupamba moto kama inavyoonekana kuanza mara baada ya 4000 troops death milestone..then kuna possibity Marepablikan wakabwagwa kama migunia ya miazi mibovu yenye wadudu!
 
“I remember landing under sniper fire. There was supposed to be some kind of a greeting ceremony at the airport, but instead we just ran with our heads down to get into the vehicles to get to our base.”

Kwenye postings za nyuma nimepiga kelele kuhusu Mrs. Clinton ku-pad resume yake kwa false claims mka-ignore now this is coming to bit her behind.
 
so today we've decided to expose another of Hillary’s “misrememberences of the truth”.

“I remember landing under sniper fire. There was supposed to be some kind of a greeting ceremony at the airport, but instead we just ran with our heads down to get into the vehicles to get to our base.”
–Hillary Clinton, speech at George Washington University, March 17, 2008.

My reactions....Just bull*$#t
 
Okay....so is that an overwhelming majority...?

Very simple math 2 na 3 ipi kubwa? Mimi sijasema Dems wana majority overwhelming majority...please don't put words in my mouth. And don't stick into this non issue wakati mna issue za "phony" experience na padding of resume to answer or atleast take responsibility for.
 
Tatizo lenu mnaangalia mno hiyo PMSNBC....

Nyani siku zote hoja hujibiwa kwa hoja. Issue ya Rev. wright ilivyotoka, I came out here and put my stand and said what Obama should do. Kwa sababu unlike you, I am not just a FAN..I see reality. Wewe umegeuka umekuwa like a pundit vile..kazi yako ni ku spin spin spin.
 
Sasa unataka mimi nifanye au niseme nini? Mimi niko hapa na-enjoy operation chaos ikiendelea...I'm not Hillary nor Barack O'Drama....bottom line: It is McCain's election to lose...
 
Sasa unataka mimi nifanye au niseme nini? Mimi niko hapa na-enjoy operation chaos ikiendelea...I'm not Hillary nor Barack O'Drama....bottom line: It is McCain's election to lose...

...earlier ulikuwa una support Hillary lakini after reality kick in mama is done sasa ni babu,lakini mbona mama na Obama advocate and believe in the same Democratic principles na 98% of the time walivote pamoja in the senate,sasa leo eti babu wapi na wapi hapo?seems ni chuki zako tuu juu ya obama na wala sio issue unazoamini...au ndio ile theory ya bora tukose wote!
Obama 08!
 
Sababu zangu za kumuunga mkono babu zilizitoa huko nyuma. Acha uvivu...rudi nyuma kurasa chache na utaziona...
 
Mama alijipa maujiko ya kukwepa marisasi huko bosnia..sasa mambo ya video yakamuumbua..then aka claim "Mistatement"!Navyozumgumza hivi sasa vichaa wanakomaa nae kwamba alisema uongo na asijidai ni mis-statement!Halafu mama anaspin na kuanza kudai mambo ya rev wright kwamba angekuwa yeye asingekuwa muumini wa kanisa lake!Hii ni spin ya ajabu coz anajaribu kudistract attention kwenye urongo wake anao uhubiri kila kukicha!Halafu ndugu yangu Nyani inaelekea wewe ni muumini wa Fox news..yani umekuwa kama mnazi!manipulated and unable to reason properly...and to consider the other side of the coin when weighing up issues!This will help you with coming out with fairly constructive ideas hence better understanding!Ni kama ushauri tu..pls dont take it personal!
 
Back
Top Bottom