YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,254
- 133
Nafikiri Obama angekuwa anajua uchawi angeshawaroga hawa Fox News🙂 Eee bwana wanamuua, hadi nimechoka na wanajua spinning hawa jamaa. Nimewakubali kwa hilo.
Hivi Fox News inaangaliwa kwa kiasi gani, kama ina waangaliaji wengi ni mauaji kwa Obama, poleni sana jamaa maana huu ni msiba kwenu, inabidi niwahurumie japokuwa kimoyomoyo nachekelea!
inaangaliwa sana kwenye "red states" huko south, audiance yake ni almost sawa na ile ya limbaugh! kuna kipindi baada ya Bush ku-win his first term ilikuwa ni number one channel mbele ya CNN na MSNBC......inaonyesha kwamba watu wamechoka na tactics zao, wanapotosha sana ukweli!!.