US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

kusema kweli hii speech imetulia mno, katika speech za huyu jamaa, kuna ile speech baada ya ushindi wa iowa, ile nadhani ni namba one, halafu hii ya leo inakuwa namba mbili. nadhani hizi zitaingia katika rekodi ya speech kali katika historia ya marekani kama speech bora kuweza kutolewa na mwanasiasa wa US.

Hata kama hotuba imetulia je, ina maana hiyo itawashawishi wazungu (ambao ndio wengi na bila wao hawezi kushinda hata iweje) wampigie kura kama akipata uteuzi wa tiketi ya democratic? McCain yeye anaweza kushinda bila hata kura moja ya weusi au hata hispanics....Obama...sijui
 
Halafu kuna watu humu walii-dismiss hii ishu na kusema kuwa ni none issue. Ningependa angalau wakiri kuwa walikosea...
 
There we go now, for those who told us a month ago right in this forum that race was a non issue in the contemporary US, your own man, Obama, has proved you guys utterly wrong. Thanks Pastor Wright, awkward and odd as you sounded, for reminding us the truth of the matter, maana hawa vijana wakiona wanapanda basi moja na wazungu na kuchangia nanihii wanafikiri mambo yapo sawa!
 
I am back guys...what a nice speech from Sen. Obama. Naona sasa ile mambo ya tax returns yameanza kui kaba koo kambi ya Senator Clinton. I wish no ill to them but I know its going to be a disturbing issue kwao..from the perspective of transparency.
 
Maji yanazidi kupanda kuelekea shingoni sasa mnategemea sympathy aka huruma. Mnaweza kupata huruma kutoka kwa Democrats kwenye primaries na caucuses na kupata nomination. Ngoma iko kwenye uchaguzi mkuu.

Si niliwaambiaga hapa kuhusu stratergy ya divide and conquer ya GOP...hamkuniamini. Sasa ona babu anavyoji-present ki-presidential kwenda mashariki ya kati na ulaya na kukutana viongozi mbalimbali wa dunia huku Barack O'Drama akijitetea kuhusu race na Hillary akisuasua.

Come November McCain will cruise into the White House with ease. Anayebisha na abishe lakini huo ndo ukweli wenyewe. Dems never seem to get their act together. Now Florida won't have a revote...a bunch of peeps are gonna be disenfranchised...good luck in Nov. maana huu uchaguzi umeshageuka kuwa wa race na white America can win it all by themselves without the black or hispanic vote.

Kwa hiyo unakubali kuwa ameshalock nomination?

Kitila hii issue ya Rev Wright mimi sijacomment lol...lakini kama umefuatilia issue ya huyo Francis Schaefer na kitabu chake cha Christian Manifesto utagundua kuwa race ni issue kubwa sana..

Nimechukua likizo kwenye politics kidogo, nataka nianze kuwasalandia hao ndugu au marafiki zake brazameni.
 
Admin/Mods

naomba huihamishe hii thread ipelekeni kwenye OBAMA thread

niliweka hapa kwa sababu nilitaka watu waone live speech na speech imekwisha hivyo lengo lishafika kwa walengwa

shukran
 
Halafu kuna watu humu walii-dismiss hii ishu na kusema kuwa ni none issue. Ningependa angalau wakiri kuwa walikosea...


Mimi hii ndiyo nimeomba saa zote, hawataki. Lakini hii inatuonyesha tu ni nani katika hii debate wapo naive; ngoja mimi nikanywe ma-foster yangu japokuwa leo ni Jumanne, utafanyeje sasa kama una-debate na watu ambao wanabishana na ukweli. Hii sasa imeshakuwa sawa na ku-debate na Chinga na Kada, si utapasuka nyongo!
 
Kwa hiyo unakubali kuwa ameshalock nomination?

Kitila hii issue ya Rev Wright mimi sijacomment lol...lakini kama umefuatilia issue ya huyo Francis Schaefer na kitabu chake cha Christian Manifesto utagundua kuwa race ni issue kubwa sana..

Nimechukua likizo kwenye politics kidogo, nataka nianze kuwasalandia hao ndugu au marafiki zake brazameni.

I am not completely saying he has locked it but he is damn near it than Mama is though anything can happen for never count out the Clintons.
 
Mimi hii ndiyo nimeomba saa zote, hawataki. Lakini hii inatuonyesha tu ni nani katika hii debate wapo naive; ngoja mimi nikanywe ma-foster yangu japokuwa leo ni Jumanne, utafanyeje sasa kama una-debate na watu ambao wanabishana na ukweli. Hii sasa imeshakuwa sawa na ku-debate na Chinga na Kada, si utapasuka nyongo!

Haya kaka wee kayabugie hayo mafosters...lakini angalia usjie ukawa kama YourName...
 
I came across this piece on Washington Post today and I thought it was just remarkable. Nafikiri wote tumewahi kuwa associated na watu ambao waliwahi kusema ama kufanya vitu ambavyo hatukubaliani navyo. Napenda kutumia maneno ya kutoka kwenye kitabu cha agano la kale kueleza kwamba hakuna aliye perfect.."Unawezaje kukiona kibanzi kilicho katika jicho la mwenzio, usione boriti iliyo katika jicho lako mwenyewe?".



Our Pastor's Keeper
By Sally Quinn

Much has been made in the past week about the words of the Rev. Jeremiah A.Wright, Jr., Barack Obama’s former pastor at Chicago’s Trinity United Church of Christ.

Over the years the now retired Wright has made a number of incendiary comments. People have reacted most strongly to one he made five years ago. “The government, “said Wright”,” gives them the drugs, builds bigger prisons, passes a three-strike law and then wants us to sing ‘God Bless America. No, No, no. God damn America! That’s in the Bible for killing innocent people.”

Obama repudiated the remarks, calling them “inflammatory and appalling”, and “vehemently” condemned them. “They in no way reflect and directly contradict my profound love for this country.” He also added that he did not “repudiate the man” who had married him and his wife and baptized his two daughters and “brought me to Christ.”

Both Obama detractors and supporters have been asking how he could not repudiate someone who could talk that way. Do we believe in guilt by association? Do we believe, as the bible says, to blame the sin but not the sinner.

These are all important and relevant questions, questions that have cropped up much too often in this increasingly bitter campaign. This is not a new phenomenon however.

People turn to counselors, ministers, psychiatrists and spiritual advisers in times of despair, often not thinking or realizing that these people have complicated lives as well.

The very same issue came up with Bill and Hillary Clinton after the Monica Lewinsky scandal. Chelsea Clinton called Jesse Jackson and asked him to come give spiritual guidance to the family. He ultimately became the Clinton family’s spiritual adviser, ministering to Hillary, Bill and Chelsea, and at Hillary’s urging developed a special counseling relationship with their daughter. Shortly after the Lewinsky story broke Jackson met with the three Clintons at the White House. They reportedly prayed and hugged one another under Jackson’s spiritual guidance.

The night before Bill Clinton was to testify before the grand jury about Monica Lewinsky, the president called Jackson and asked him to come watch the Super Bowl with him. At first Jackson begged off, citing a previous engagement, then heeded his wife’s advice. According to Jackson “My wife said, ‘your first obligation is ministerial. It is morally right.'” And he was later quoted as saying that “The relationship between a prophet and a president, the priest and the president is a sacred one.” Jackson gave Hillary Clinton a framed photograph of himself with Chelsea, which Hillary Clinton hung in her bedroom.

The Clintons did not repudiate Jackson for his earlier comments about Jews, calling them “Hymie’s” and referring to New York as “Hymietown.” Nor did they repudiate him for recognizing the PLO or Yasser Arafat, or for embracing Arafat and Syrian Preisdent Hafez Assad, or for accepting Arab money for two of his organizations. (In fact, Hillary Clinton was roundly criticized by her New York constituents for embracing Arafat’s wife at a meeting.)

Later it was revealed that while Jesse Jackson was acting as the Clinton’s spiritual adviser during this troubled time, he was having an affair with a California State University professor Karin Stanford, a former staffer, and fathered her child. According to Stanford, Jackson tried to keep it quiet by asking her to sign a confidentiality agreement and by paying money to her from his charity organizations, hardly visiting the child at all. “An angry Stanford remarked later that “black religious leaders and congregations prayed for him (Jackson) and his ‘family’ but not for our daughter (Ashley) and me.” She then said, “Coming at a time when (former) President Bill Clinton was being crucified for lying about his affair with a White House intern, my partner was praised by the media for his honesty.”

I’m sure Hillary Clinton does not support Jackson’s remarks about Jews, his relationship with the PLO or his having a child by a woman other than his wife. But clearly he was able to help her at a time, as she has admitted, of the greatest crisis of her life.
This is all by way of saying that one can get solace and support from others who are mortal and human and who make mistakes like everyone else. One can repudiate their behavior but not the people themselves.

My father, an Army general, was a conservative Republican and the closest friend of Sen. Barry Goldwater. Goldwater was like a surrogate father to me. I called him ”Uncle Barry.” I adored and admired them both. Both were great sources of wisdom and support for me throughout my life. Both were great Americans and great patriots. My father was a genuine war hero. But politically correct they were not. (Both would be over 100 years old now.) Many were the evenings when I would suffer through conversations that I found appalling. Sometimes I would roll my eyes, other times I would remonstrate them. Never, though would I have repudiated them.

I can remember one excruciating dinner at a Jewish friend’s house years ago where her parents were going on and on about the “schwartzes” (“blacks” in Yiddish). I thought she was going to crawl under the table.

And who can forget the Rev. Billy Graham’s unfortunate conversations with Richard Nixon and H.R. Haldeman about the Jews? They made anti-Semitic jokes, talked about which reporters were Jewish and how reporting had deteriorated since more Jews had become journalists. Nixon complained (on tape) that the Jews had a “stranglehold on the country” and Billy Graham responded: “If you get elected a second time then we might be able to do something.”

Billly Graham has been a spiritual adviser to our presidents for years, including Bill Clinton and our current President Bush but none of them has repudiated him.

The point is, we’ve all been there, with family, friends, or spiritual advisers.

That’s what makes Jackie Jackson’s (Jesse’s wife) remark to her husband so conflicting and so poignant. “Your first obligation is ministerial. It is morally right.”

God bless America.
source: http://newsweek.washingtonpost.com/onfaith/sally_quinn/2008/03/our_friends_and_their_views.html
 
Mwisho wa yote mie sina hakika kama anaweza kuukwaa urais ama hata nomination .Lakini katika siasa yote yako mezani kama Bush kulala macho wazi akiangalia Iran wachipuke apige mabomu .
Alimsikia pastor wake akisema maneno controversial lakini sio to that extent!Comparison ya bibi yake na pastor wright ni sahihi kwani hapa issue ni race..na Obama amesikia pande zote..za weupe na weusi, kwamba ni rahisi kuwa na rafiki,ndugu,ama relative wa aina yeyote yule ambaye anaweza kuwa ana harbor hard feelings agaist other race!Kwamba nchi a marekani ni muungano wa states tu lakini sio watu wake..anataka kuwa mtu ambaye atawaunganisha..kumbuka ana bibi mzungu na bibi mwafrika,ana experience na maisha ya pande zote,anawatu,ama ndugu pande zote ambao wana mwelekeo usio mzuri ama mawazo yenye uhasama na race ningine!na ameamua kutake a step further na kumention "jim crow" ammendment ambayo effects zake zimekuwa swept under the rugs until now when there is a viable black candidate ready to talk about those issues openly and who's experince and background is unique and complicated..he acknowledge how unthinkable his situation is.Ni wazi amewaweka Hillary,Mc cain na wamarekani wote kwenye wakakti mgumu sana!Itakuwa vigumu sana kuileta issue ya Wright again..atthe same time hawatapenda kumpa free ride,on the other hand issue ya race ni so sensitive..ila haiwezi kuepukwa kwani wamarekani hawaoni ulinzi anaopewa simply because ni mweusi?
 
Here's a sample of their reviews and/or smart takes...

The Atlantic's Marc Ambinder: "I do think that Obama's speech was a marvel of contemporary political rhetoric. Politically, analytically and emotively, it hit many high notes. His acknowledgment of white working class resentments (busing) and about the perception that there's been no racial progress, his willingness to stick by his friends, his grasp of history, his sense that our views of race are cramped and caricatured... all of that is something that even those who disagree with the substance of his speech, can, I think, appreciate."

The Politico's Ben Smith: A smart colleague notes that this speech is the polar opposite of this year's other big speech on faith, in which Mitt Romney went to Texas to talk about Mormonism, but made just one reference to his Mormon faith. Obama mentions Wright by name 14 times.

TPM's David Kurtz: "It is remarkable for its nuance, for its long view of history, and for its decency. I am not sure, on first take, how effective it is politically. Your thoughts? Late Update: The text is one thing. Delivery is another. And Obama doesn't seem to have his A game today."

TPM's Josh Marshall:
"I think I have to dissent from David's view that Obama didn't bring his A-game to the speech this morning. I was only able to listen/watch out of the corner of my eye because I was on deadline for something else. But my sense was that the tempo and tenor was suited to the occasion. The kind of stirring delivery he's made a trademark of in his victory celebrations would not have been appropriate for the moment."

The pro-Obama Andrew Sullivan: "Alas, I cannot give a more considered response right now as I have to get on the road. But I do want to say that this searing, nuanced, gut-wrenching, loyal, and deeply, deeply Christian speech is the most honest speech on race in America in my adult lifetime. It is a speech we have all been waiting for for a generation. Its ability to embrace both the legitimate fears and resentments of whites and the understandable anger and dashed hopes of many blacks was, in my view, unique in recent American history... I have never felt more convinced that this man's candidacy - not this man, his candidacy - and what he can bring us to achieve - is an historic opportunity."

The pro-Clinton Taylor Marsh:
"Senator Obama gave a speech today that is larger than politics, but it in no way ends his political challenges. The national wound of race Barack didn't want to touch is now reopened nationally and in the spotlight again. While his campaign wants to move on, the country will not, because everyone will be talking about race, through the invitation of Obama's speech today."

Scout Finch from DailyKos (: "This speech is amazingly honest and will hopefully spark a long overdue discussion on race in America. We'll see if it is enough to blunt to criticism of his relationship with Reverend Wright. I think he's done a spectacular job thus far of denouncing specific remarks by Reverend Wright, while still standing steadfastly by him and his community."
 
Sasa democrats ndio wamekuwa karibu sana na watu weusi, na mara nyingi ni wao wamewanyoshea kidole republicans kuhusu mambo ya race, sasa imekuwaje suala la race linawagonga wao democrats?
 
Sasa democrats ndio wamekuwa karibu sana na watu weusi, na mara nyingi ni wao wamewanyoshea kidole republicans kuhusu mambo ya race, sasa imekuwaje suala la race linawagonga wao democrats?

Nakwambia hii siasa..wee acha tu!! Unafiki unafiki unafiki wa hali ya juu. Halafu kuna mtu aliniambiaga GOP ni majitu mabaya sana na mabaguzi sana...miye sijui...
 
Nakwambia hii siasa..wee acha tu!! Unafiki unafiki unafiki wa hali ya juu. Halafu kuna mtu aliniambiaga GOP ni majitu mabaya sana na mabaguzi sana...miye sijui...

ndio maana nimeshindwa kuwa democrat.. leo tuna meya Bomu hapa "the D" na anagoma kujiuzulu ila nakuhakikishia angekuwa ni republican mbingu na nchi zingefunguka na upanga kama waradi ungeshuka na kumkatakata! Na jinsi alivyotumia neno Nigger kwenye hotuba yake ingekuwa ni republican tena mweusi..
 
Barack's speech today ime expose Nyani Ngabu na Kitumbo Kitumbo jinsi walivyo shallow and ignorant,poleni sana and hope soon mtaanza kusafisha hizo negative junk huko vichwani mwenu na leo nimeongeza donation to obama campaign!
Obama 08!
 
Barack's speech today ime expose Nyani Ngabu na Kitumbo Kitumbo jinsi walivyo shallow and ignorant,poleni sana and hope soon mtaanza kusafisha hizo negative junk huko vichwani mwenu na leo nimeongeza donation to obama campaign!
Obama 08!

Details please...how did it expose our shallowness and ignorance?
 
Hii sasa imeshakuwa sawa na ku-debate na Chinga na Kada, si utapasuka nyongo!


Kitila ,

Statement yako hapo juu inaonyesha wazi jinsi unavyoona mawazo yako yalivyo bora kuliko ya wengine lakini zaidi inaonyesha ni jinsi gani unavyodharau wamachinga. Trust me kuna wamachinga wengi wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo kuliko unavyokiria. Ingawaje unadai ya kuwa watu wa upande wa pili ndio naive, mimi nafikiri naive ni wewe unayegeneralize watu ! Kitila, mimi kama mmoja kati ya wananchi wa jimbo la mchinga mkoani Lindi nimesikitishwa na your superiority mentality.
 
Kitila ,

Statement yako hapo juu inaonyesha wazi jinsi unavyoona mawazo yako yalivyo bora kuliko ya wengine lakini zaidi inaonyesha ni jinsi gani unavyodharau wamachinga. Trust me kuna wamachinga wengi wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo kuliko unavyokiria. Ingawaje unadai ya kuwa watu wa upande wa pili ndio naive, mimi nafikiri naive ni wewe unayegeneralize watu ! Kitila, mimi kama mmoja kati ya wananchi wa jimbo la mchinga mkoani Lindi nimesikitishwa na your superiority mentality.

Wewe ni mmoja wa watu walokuwa wakii-downplay hii ishu...unaona sasa...
 
Nyani ,

Siku zinavyozidi kwenda na makali ya uchumi yanavyozidi kuongezeka hii issue itapoteza ukali , ngoja gas ifike wastani dola 5 nchi nzima halafu watu uwaambie kuhusu Obama pastor kama watakuelewa... Tatizo ni kwamba kuna watu ambao wanatumia hii issue kusudi mambo mengine yasizungumzwe. Conservative talk radios zote zinazungumzia hii issue kwa siku ya nne mfulululizo . Trust me hizi standard wanazotaka kuziweka will come back to haunt them .


Jamani Politics ni dynamic , hakuna mtu anayejua for certain what will happen t'morow ...
 
Back
Top Bottom