US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

.....it's as impossible to convince Pat Buchanan as it is to convince Nyani Ngabu!!
Jamaa kawa rigid na mwenye mawazo mgando(Nyani Ngabu), loosen up a lil' bit or take a chill pill...negativity itakusababishia peptic ulcers!! LOL.
 
Game Theory,

..Hotuba nzuri sana.You always expect that from Obama.

..Nimeona kuna matatizo mawili yanaweza kujitokeza hapa.

..Tatizo la kwanza, Barack anafikiri mahusiano yake na Pastor Wright, ni sawa na mahusiano yake na Bibi Mzaa Mama yake.

..Tatizo la pili, Barack amegeuka na kudai alimsikia Pastor Wright akitamka maneno machafu ya kibaguzi. Mwanzo alidai kwamba hakuwahi kumsikia!!

..Hii hotuba itakuwa imewapoza Democrats na watampa nomination. Lakini sijui kama Republicans hawatakuja kumuandama wakati wa General Elections.
 
ame admit nini?? hajasema kwamba alikuwepo wakati Wright anafanya zile comments kwasababu hakuwepo!! ila ameshawahi kumsikia Wright akifanya comments ambazo yeye hakubaliani nazo.
hata mimi growing up back in TZ, nimeshasikia sheikh wangu msikitini akitoa maneno ambayo sikubaliani nayo!! nani hapa anakubaliana na Pastor wake au Sheikh wake kwa asilimia 100!!????
inashangaza kwamba NN una-distort facts kwa makusudi!! huu mjadala utakuwa kama ile ya kule kwa kina MKJJ, Kadampinzani, MWK na kina Kubwajinga!!!

Hamna haja ya kupotoshana, kwani ukisema jamaa exactly alichosema na kumaanisha, utapungukiwa na nini??....i mean c'mon, man.

“Did I ever hear him make remarks that could be considered controversial while I sat in church? Yes

Elezea hiyo maana iko wazi kabisa.
 
.....it's as impossible to convince Pat Buchanan as it is to convince Nyani Ngabu!!
Jamaa kawa rigid na mwenye mawazo mgando(Nyani Ngabu), loosen up a lil' bit or take a chill pill...negativity itakusababishia peptic ulcers!! LOL.

Oohh this is a non issue.....by Monday (17th) itakuwa ishakufa....kwikwikwiiiiiiii
 
Excellent Speech, yaani jamaa kaongelea reality ya America kabisa pamoja na kwamba kuna wengine wanajifanya hawayaoni matatizo hayo. Bravo Barack. YES WE CAN.
 
Game Theory,

..Hotuba nzuri sana.You always expect that from Obama.

..Nimeona kuna matatizo mawili yanaweza kujitokeza hapa.

..Tatizo la kwanza, Barack anafikiri mahusiano yake na Pastor Wright, ni sawa na mahusiano yake na Bibi Mzaa Mama yake.

..Tatizo la pili, Barack amegeuka na kudai alimsikia Pastor Wright akitamka maneno machafu ya kibaguzi. Mwanzo alidai kwamba hakuwahi kumsikia!!

..Hii hotuba itakuwa imewapoza Democrats na watampa nomination. Lakini sijui kama Republicans hawatakuja kumuandama wakati wa General Elections.

Mwisho wa yote mie sina hakika kama anaweza kuukwaa urais ama hata nomination .Lakini katika siasa yote yako mezani kama Bush kulala macho wazi akiangalia Iran wachipuke apige mabomu .
 
“Did I ever hear him make remarks that could be considered controversial while I sat in church? Yes

Elezea hiyo maana iko wazi kabisa.

....nimeshaelezea huko juu!! ameshawahi kusikia vitu ambavyo hakubaliani navyo toka kwa Pastor huyu ambavyo sivyo exactly vinavyooneshwa kwenye TV!! Hakuna mtu anayekubaliana na mtu mwingine kwa asilimia 100....simpo, sasa longolongo la nini hapa??

speech ipo kwenye league ya kina "i have a dream," and co!! give the poor guy some credit, amejitahidi na watu watakuwa sympathetic na views zake.
 
Speech ni za kusoma kwenye Teleprompter ingawa anasema mara nyingi anaziandika mwenyewe.
 
Speech ni za kusoma kwenye Teleprompter ingawa anasema mara nyingi anaziandika mwenyewe.

Mazee Geeque kumbe uko online?

Naomba sana uweke bolingo angalau kwa nusu sasa maana kuanzia asubuhi mimi nasikiliza bongoradio na nasikia hiphop tu! hili ni ombi tu mkuu!
 
Mazee Geeque kumbe uko online?

Naomba sana uweke bolingo angalau kwa nusu sasa maana kuanzia asubuhi mimi nasikiliza bongoradio na nasikia hiphop tu! hili ni ombi tu mkuu!

Hakuna noma kabisa Mwafrika wa kike nitaweka session ya Bolingo ili wapenzi wa Soukous mpate mambo matamu pia.
 
Gamba la Nyoka said:
ebwana hivi hizi speech jamaa anazitoa kichwani au kuna mechanism fulani fulani?.

Gamba,

..kuna kifaa kinaitwa teleprompter. ukiangalia wakati anahutubia utaona mbele kidogo ya podium kuna vioo viwili vyeusi kidogo. mtoa hotuba huwa anasoma kutoka ktk vioo hivyo, yaani teleprompter.

..ikiwa mtoa hotuba haondoki kwenye podium wakati wote akizungumza, uwezekano mkubwa ni kwamba anasoma toka kwenye teleprompter.

..kwenye hotuba muhimu na nzito kama hii, wanasiasa wengi hulazimika kutumia teleprompter.

..Maraisi ama wanasiasa hujiandaa vizuri sana kabla ya kutoa hotuba kama hizi. kuna uwezekano kabisa hotuba hii ilisomwa mbele ya washauri wake na kumsahihisha ktk mambo ya delivery.

..Mwandishi wa hotuba wa Obama ni kijana mdogo wa miaka 26 hivi. Obama pia hutoa mchango mkubwa ktk hotuba hizo.
 
Hakuna noma kabisa Mwafrika wa kike nitaweka session ya Bolingo ili wapenzi wa Soukous mpate mambo matamu pia.

Asante sana mkuu na samahani wachangiaji kwa kuwatoa kidogo kwenye mada ya Obama.

wana JF msikose kusikiliza the best african radio on the net right now ---- bongo radio ---- wakati mwingine frustration za talk radio shows za America zinaweza kuwafanya mchanganyikiwe.

Take break na bongo radio kisha endelea na thread ya Obama only at Jambo forums - the best African forum on the planet!
 
Si unajua tena kazi na burudani.
 
....nimeshaelezea huko juu!! ameshawahi kusikia vitu ambavyo hakubaliani navyo toka kwa Pastor huyu ambavyo sivyo exactly vinavyooneshwa kwenye TV!! Hakuna mtu anayekubaliana na mtu mwingine kwa asilimia 100....simpo, sasa longolongo la nini hapa??

speech ipo kwenye league ya kina "i have a dream," and co!! give the poor guy some credit, amejitahidi na watu watakuwa sympathetic na views zake.

Maji yanazidi kupanda kuelekea shingoni sasa mnategemea sympathy aka huruma. Mnaweza kupata huruma kutoka kwa Democrats kwenye primaries na caucuses na kupata nomination. Ngoma iko kwenye uchaguzi mkuu.

Si niliwaambiaga hapa kuhusu stratergy ya divide and conquer ya GOP...hamkuniamini. Sasa ona babu anavyoji-present ki-presidential kwenda mashariki ya kati na ulaya na kukutana viongozi mbalimbali wa dunia huku Barack O'Drama akijitetea kuhusu race na Hillary akisuasua.

Come November McCain will cruise into the White House with ease. Anayebisha na abishe lakini huo ndo ukweli wenyewe. Dems never seem to get their act together. Now Florida won't have a revote...a bunch of peeps are gonna be disenfranchised...good luck in Nov. maana huu uchaguzi umeshageuka kuwa wa race na white America can win it all by themselves without the black or hispanic vote.
 
kusema kweli hii speech imetulia mno, katika speech za huyu jamaa, kuna ile speech baada ya ushindi wa iowa, ile nadhani ni namba one, halafu hii ya leo inakuwa namba mbili. nadhani hizi zitaingia katika rekodi ya speech kali katika historia ya marekani kama speech bora kuweza kutolewa na mwanasiasa wa US.
 
Back
Top Bottom