US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

great ! lakini what i dont like about the guy is NOT HIS IDEAS, but his personality, anaona foreigners ni kama sijui watu gani, waliotoka sijui wapi ! sasa angalia, muulize lou dobbs babu yake mtu wa wapi ??

wengi wao utasikia ireland, canada, na nchi za europe huko ! sasa iweje nae ajikanyagekanyage ? KUMBUKA: YEYE ANACHUKIA FOREIGNERS hata kama una papers, uraia or whatever lakini he just cant put it out there, anajua its going to cost his job !

Aaah okay...kumbe wewe unaichukia personality yake...you're not gonna get an argument from me on that one.

Hata hivyo huwezi kusema yeye anachukia immigrants wote kwani hilo hajasema wazi. Anachopinga yeye ni wahamiaji waliopo hapa kinyume na sheria kitu ambacho hata mimi nakubaliana naye. Sasa wewe unaweza ukawa na makisio yako juu ya feelings zake towards makundi yote ya wahamiaji lakini huwezi kumhukumu mtu kulingana na makisio na hisia zako.
 
aseme halafu kibarua kiote nyasi ! but i bet you, the guy doesnt like any type of foreigners ! AND HE WONT SAY THAT PUBLICLY !
 
But you can't prove it, can you?

unakumbuka fulani alipoulizwa "if you look at putin's eyes, what can you see"?

to be honest, i cant prove it ! but guess what ? since am anxious kuprove kwamba alifanya, nitafanya research then nitakurudia but for now I ADMIT I CANT PROVE IT !
 
Bwahahahahahahahaaaaaa....coming up on Hannity and Colmes...Barack Obama caught on tape using his middle name....bwahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaa
 
Widely expected...

NN umeshakuwa mwanasiasa wewe(kama hukuwa mwanasiasa before)...widely expected kama ushindi wa mama OH, TX na RI, lakini mkaamua kuspin?

Nimekuta hiyo segment ya Obama and his last name inaishia, nimemkuta Romney ngoja nimsikilize anasema nini.
 
Mmempiga Obama madongo weeee!! haya Mama katoa tamko

HARRISBURG, Pa. - Hillary Rodham Clinton said Tuesday she disagrees with Geraldine Ferraro, one of her fundraisers and the 1984 Democratic vice presidential candidate, for saying that Barack Obama "would not be in this position" if he were white instead of black.

In a brief interview with The Associated Press, Clinton said she regretted Ferraro's remarks. The Obama campaign has called on the New York senator to denounce the comments and remove Ferraro from her unpaid position with the campaign.
 
NN umeshakuwa mwanasiasa wewe(kama hukuwa mwanasiasa before)...widely expected kama ushindi wa mama OH, TX na RI, lakini mkaamua kuspin?

Nimekuta hiyo segment ya Obama and his last name inaishia, nimemkuta Romney ngoja nimsikilize anasema nini.

Baada ya kushindwa 12-0 na kila poll kuonyesha kwamba kapitwa na momentum imeshift na kuja kuibuka kidedea mwishoni unaiita hiyo comeback widely expected? Sasa hapa mwanasiasa sijui ni nani?
 
NN hakuna polls zozote zilizoonyesha Obama anaongoza OH, TX walikuwa tied. Comeback, lakini angalia mgawanyo na tofauti ya delegates.

Off subject, nimeipenda comment ya Jay Leno kuhusu kuwa Spitzer ni number 9 who are the other 8 guys on top of him?.
 
Mvutano unaendelea kuwa mkali lakini dakika za mwisho mwisho inaonekana kuwa Bibi anakuja juu na anaweza kufagia. Lakini ajabu sana Texas naona ni Obama ameshinda na sio Hilary kama wengine wanavyodhani. Ukichukua idadi ya delegates waliopatikana kwenye Primary na Caucus, Osama ana 99 na clit na 94, sasa sijui nani amepata super delegates wangapi. Kwa hiyo Clinton huko hana la kujidai.
Hope kubwa asubirie kutoka Pennyslavania na Frolida, otherwise ameumia! April 22 sio mbali na mpaka sasa polls ni 52 Clit na 37 Osama, mwezi mmoja unaweza ukabadilisha mengi!
 
kupata nomination, obama itabidi ashinde 46% katika every caucus/primary zijazo. zimebakia 9 hadi sasa. na itahitaji clinton kushinda 64% katika michuano yote ijayo kupata nomination !

46% to 64%, yaani chini juu hiyo mwanangu aka geuza nkugeuze !
 
NN,
kumbe kiboko yako ni Kadampinzani! kabla hajaja hapa ulikuwa juu kama moshi wa kifuu...lakini sasa hivi umefyata kama jibwa koko, mkia ktkt ya miguu! asante kada.
 
Mvutano unaendelea kuwa mkali lakini dakika za mwisho mwisho inaonekana kuwa Bibi anakuja juu na anaweza kufagia. Lakini ajabu sana Texas naona ni Obama ameshinda na sio Hilary kama wengine wanavyodhani. Ukichukua idadi ya delegates waliopatikana kwenye Primary na Caucus, Osama ana 99 na clit na 94, sasa sijui nani amepata super delegates wangapi. Kwa hiyo Clinton huko hana la kujidai.
Hope kubwa asubirie kutoka Pennyslavania na Frolida, otherwise ameumia! April 22 sio mbali na mpaka sasa polls ni 52 Clit na 37 Osama, mwezi mmoja unaweza ukabadilisha mengi!

hii ulikosea au makusudi?
 
Vile vile kumuita mama hivyo ni kumkosea adabu, hii haijakaa sawa.
 
Mtu wa Pwani...hiyo haijakosewa ni intentional. Waache wafa maji wa Senator kutoka NY watape tape
Capitol Hill hukuona Bongolander alivyomwita senator kutoka NY umeona alivyoitwa senator kutoka Illinois tu! Ama kweli ushabiki wakati mwingine ukizidi...
 
Back
Top Bottom