Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Haya jana OCT 14 uncle Sam kashafanya yake huko Syria, sijui hzo s400 zilikua wap had mtu anaingia mpk ndani
Mkuu ebu nisaide kitu labda mimi sielewi...lengo la kuwekwa hizo S 400 Syria ilikua ni kulinda majeshi ya Assad ardhini pamoja na military equipment zake zisishambuliwe na ndege za US si ndio...?

Hio screen shot naona ni ndege zimeshambulia makazi ya watu na sio majeshi....nadhani tungekua perfect zaid kusema S 400 si kitu kama hizo ndege zingeshambulia majeshi ya Assad bila kua detected and defeated
Hiv zile S 400 ziko Hummeimim/tartus au Al raqqa..?...unaweza kunikosoa apo
Halafu taarifa inasema suspected US...!!

Nipe maoni yako mkuu
 
Haya jana OCT 14 uncle Sam kashafanya yake huko Syria, sijui hzo s400 zilikua wap had mtu anaingia mpk ndani
Raqqa is a rebels area its da free flying zones
Kuna certainly Area ambazo you cannot crossing the lines mkuu kabisa kabisa
 
Raqqa is a rebels area its da free flying zones
Kuna certainly Area ambazo you cannot crossing the lines mkuu kabisa kabisa
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Attachments

  • 1476568492580.jpg
    1476568492580.jpg
    35.2 KB · Views: 44
Mkuu ebu nisaide kitu labda mimi sielewi...lengo la kuwekwa hizo S 400 Syria ilikua ni kulinda majeshi ya Assad ardhini pamoja na military equipment zake zisishambuliwe na ndege za US si ndio...?

Hio screen shot naona ni ndege zimeshambulia makazi ya watu na sio majeshi....nadhani tungekua perfect zaid kusema S 400 si kitu kama hizo ndege zingeshambulia majeshi ya Assad bila kua detected and defeated
Hiv zile S 400 ziko Hummeimim/tartus au Al raqqa..?...unaweza kunikosoa apo
Halafu taarifa inasema suspected US...!!

Nipe maoni yako mkuu
Ramani hiyo (nfz)
 
Attachments

  • 1476568638719.png
    1476568638719.png
    264.4 KB · Views: 49
Foreign Secretary Boris Johnson has condemned Russia's bombing of Syria and called for demonstrations to be held in London
GETTY IMAGES
8
The Russian aircraft carrier Admiral Kuznetsov at a ship-repairing yar
Putin awarded peace prize after bombing Aleppo and shipping nukes to EU border
Mi6 head Sir John Sawers has warned the firebrand comments of the Foreign Secretary could lead to reprisals from Moscow.

Sir John urged caution on BBC Radio 4's Today programme.

He said: "We all have to be a little bit careful and mindful of the security of our embassy in Moscow when we think about calling for demonstrations here in London.

"We all recall what happened to our embassy in Tehran three or four years ago. I don't think that would happen in Moscow but we need to be careful about the consequences of things that we call for."

And he went on to describe the "dangerous" situation Britain finds itself in following Russia's increasingly-aggressive behaviour.

In September patrol ship HMS Tyne was called on twice in a month to escort Russian warships through the channel.

RUSSIAN FEDERATION MOD
8
Russia's Admiral Kuznetsov and up to seven other vessels could pass within a mile of the British coast
US NAVY
8
UK warships, possibly including HMS Richmond, are being scrambled to escort the Russian fleet
Russia's relations with the west are rapidly deteriorating and Putin sent a ship loaded with an Iskander-M missile system to Kaliningrad, a small Russian enclave located between Poland and Lithuania, in a bid to boost his sphere of military influence.

In July Putin's spy planes were flying strategic missions over the UK - but the Ministry of Defence did not object due to the "open skies" treaty.

In June Putin sent sent a 210ft attack sub into the English Channel just days before England were due to battle Russia during Euro 2016.

In its own display of strength The Sun sent an armada out to meet the vessel, complete with a lookalike of Three Lions striker Jamie Vardy dressed as Lord Nelson.

In 2014 two Russian warships entered the English Channel just a day after a UK destroyer acted to head off a Russian aircraft carrier.

We pay for your stories! Do you have a story for The Sun Online news team? Email us at tips@the-sun.co.uk or call 0207 782 4368
 
Attachments

  • 1476570294577.png
    1476570294577.png
    86.8 KB · Views: 49
Jamani mwambieni huyoo jaluo asituletee mambo ya odinga hapa oohh
 
Attachments

  • 1476570333052.png
    1476570333052.png
    449 KB · Views: 49
Atulize akili yake jaluo Obama
 
Attachments

  • 1476570433678.png
    1476570433678.png
    608.5 KB · Views: 44
Asilete mambo yake ya ushoga hapa
Sisi tunataka amani huku oohh
 
Attachments

  • 1476570606563.png
    1476570606563.png
    379.4 KB · Views: 47
Haya jana OCT 14 uncle Sam kashafanya yake huko Syria, sijui hzo s400 zilikua wap had mtu anaingia mpk ndani

Hahaha.

Mzee unaishi kwa tittles. Isome habari vyema alafu tazama sources nyingine kisha compare na angalia feedbacks za russia then ndio utoe majibu.

Pia umeambiwa "suspected", na US hajaruhusu military actions Syria tangu jumatatu iliyopita. Halafu hiyo news haipo hata kwenye vyombo vikuu vya habari. Uliipata wapi mzee?
 
Watu kama hawq

Watu kama hawa wana shida sana..yeye ata kama ni pro US anajaribu kusifia yale mabaya na maovu marekani...kila mtu anapenda upande wake lakini sio kila kitu wewe unasifia tu...watu wanatafuta amani middle east US anavuruga amani anafurahi tu
 
halafu unaposema kuwa europe&america zitakuwa majivu ina maana wakati wa vita watakuwa wamesimama tu hawapigani au?? kwani america na europe hawana silaha kama za urusi ?? sijakuelewa ujue kamanda jaribu kufafanua kidogo
Urusi wana ,ICBM
 
Hahaha.

Mzee unaishi kwa tittles. Isome habari vyema alafu tazama sources nyingine kisha compare na angalia feedbacks za russia then ndio utoe majibu.

Pia umeambiwa "suspected", na US hajaruhusu military actions Syria tangu jumatatu iliyopita. Halafu hiyo news haipo hata kwenye vyombo vikuu vya habari. Uliipata wapi mzee?
Sijafurahia na wala sifurahii anayoyafanya US huko Syria... Russia si walisema anga lote la Syria lipo chini yao na watalipua chochote kiingiacho sasa hzo ndege zilipenyea wapi wakt S400 IPO humo ndani?
 
Marekani asipostand down,RIP Europe na america,yatabaki majivu tu,
yaani ni kazi tu
kwani US na Europe ndio hawajui kupigana vita, mwoga ndio atawafunza hadi raia wake cos anawaelewa wabaya wake
 
Back
Top Bottom