Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Kuna kitu sijakielewa hapa kwenye hizi silaha ngija nitarudi.Sio nuclear, ni conventional missiles, hasa highly precision guided Kalibri Missiles....
Asante bro
Kuna kitu sijakielewa hapa kwenye hizi silaha ngija nitarudi.Sio nuclear, ni conventional missiles, hasa highly precision guided Kalibri Missiles....
Acha kiherehere km moshi wa matairiUnaongea kishabiki acha mahaba ya kizaramo
Najua km US hakua peke yake lkn kumbuka yeye nd alitoa zaid ya 90% ya vifaa vilivyotumika ktk hyo vita pamoja na wanajeshi....na pia ni ukweli usiopingika kwamba Iraq ilikua na nguvu kipindi kile lkn ilichukua mda mfupi sana kwa US kuichakazaBado unapaswa kusoma vizuri historia. Unapaswa kuelewa hata aliyewahi kuwa mchunguzi wa silaha za maangamizi Hans Blix alikataa na kuiambia Dunia kuwa Sadam Hussein hakuwa na silaha za kikemikali.
Unaduwaza sana kwa kuamini Iraq ilikuwa na kesho kubwa sana Duniani. Tafuta takwimu za Iraq ilikuwa na size gani ya kesho na uwezo wa kupigana ulikuwaje.
Unachoshangaza zaidi unasahahu Iraq haikupigana na Marekani pekee.
Nikukumbushe kitu muhimu zaidi, kwanza ulipaswa kujua msingi wa vita vya Iraq na America, pili kwa wakati ule Mataifa yaliyoogopeka zaidi yalikuwa ni Syria,kwani Syria ilikuwa tishio la usalama kwa Israel, ikifuatiwa na Iran.
Hyo PAK FA ilitakiwa mwaka huu iingie kwenye service lkn ina matatizo kibao half utakuta watu wanaifanaisha na F22 ambayo tangu 2005 ipo kwenye serviceAmazing Pugachev's Cobra- maneuver RUSSIAN STEALTH SUKHOI PAK-FA-T-50.mp4
Jidanganye mkuuu. Saudia, Qatar, Kuwait jina lako ni la huko mkuu HIVI hizo nchi ipo kwenye G7?Wenye pesa tunawajua ambao hawana madeni kwenye benki Ya dunia Saudia, Qatar, Kuwait hao ndo wenye hela hata marekani anajipendekeza kwa mataifa haya
Kamuulize mchinaYeye marekani wanazo
Ha ha hakuna vita hapo mkuu,blah blah tu ...Kila siku napoteza hela kwaajili ya vifurushi vya internet nione vita imeanza lakini hampigani mbona mnanitesa piganeni basi hata kama ni kwa siku mbili tu
Hawa wapuuzi wanaboa mi napendekeza nchi nyingine ziwavamie tu mana hamna namnaHa ha hakuna vita hapo mkuu,blah blah tu ...
Mpira mgumu mkuu,vita vya nukes ni nyoookooHawa wapuuzi wanaboa mi napendekeza nchi nyingine ziwavamie tu mana hamna namna
Haya jana OCT 14 uncle Sam kashafanya yake huko Syria, sijui hzo s400 zilikua wap had mtu anaingia mpk ndaniNdio maana nimezungumzia S-400. Wewe unayozungumzia ni S-300 na unazotazama kama zipo the same.
Ndio system ambayo hakuna technology iliyopo inayoweza kuihack frequency. Check statistics sio maneno yangu. Pia bado S-500 inazalishwa viwandani. S-400 bado hakuna technology ya kuiangusha hivyo itahitaji sacrifice tu. Hata F-18 haiiwezi check details kwenye internet.
S-300 zinaangushika. Hata Israeli anaiweza kuhimili S-300 ni technology ya zamani na mpaka 1997 ilikuwa ndio inaongoza duniani katika chat. Ndio akaja kutoa S-400 na S-500 inatengenezwa hivi sasa.
Na fahamu S-400 ndio ilipelekwa wiki iliyopita. Iliyokwepo ni S-300. Usizichaganye, sio sawa katika capability.
Hakuna S-400 iliyowahi kuangusha mpaka sasa. Hazikuwa zinatoka nje ya Russia hivyo baada ya kuuza kwenda China ndipo zikaanza kutoka na hapo akaamua kuunda S-500 kwa ajili yake binafsi.
Na S-400 ndio inashika Chat hivi sasa. Na ndio maana Russia anaingiza pesa ndefu kwa sababu inanunuliwa sana. Jana India imeagiza kununua S-400.
Usiangalie ushabiki. Utajikuta unabishia data zilizopo. Check kwanza records zinasemaje kisha jadili
Ina maana wale makomandoo wetu hawawezi kuwapa za chembe hawa watemboMpira mgumu mkuu,vita vya nukes ni nyoookoo
Haiwezekani kabisa,amani iwe nac
Warembo i meanIna maana wale makomandoo wetu hawawezi kuwapa za chembe hawa watembo
Crazy insanity U.S.Haya jana OCT 14 uncle Sam kashafanya yake huko Syria, sijui hzo s400 zilikua wap had mtu anaingia mpk ndani
Wakitafutacho hawata kipataCrazy insanity U.S.
Amani hawaitaki kabisa wao wanataka kuendeleza ujambazi wao usio na kikomo
Mboni kitambo tu wesha feliWakitafutacho hawata kipata
[emoji635] [emoji635] [emoji635] [emoji635] [emoji635]Mboni kitambo tu wesha feli