Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Mkuu nimeelezea vizuritu mbona hapo the Issue ni civilian au sababu nimeandika kwa lugha tofauti??? sikia vita MArekani hashindwi tatizo ili kushinda vita zingine lazima uue watoto wazee kina mama na kuangamiza masalia ya jeshi lote sasa kwa mikataba ya kimataifa ni kosa kuua viumbe wasio na hatia huo ni mkataba wa Dunia nzima... ndio maana akifa mtoto au wazee Dunia huja juu kusimamisha vita... sasa viongozi wakorofi wanaleta ubabe na kutaka vita wakiona mambo magumu huwaweka hao watu ili waonewe huruma na Dunia... nadhani utanielewa sasa... Ila hali ikiwa Ngumu wazee hupiga kila kitu and then huomba sorry.. wanapiga hadi mahospitalini... sasa Marekani kwa Historia yake sio wa Kushindwa vita ana Nuclear bomb ni uamuzi tu... ila hadi akuache basi kakutia hasara kubwa... Sasa hiyo Somalia ni kama walikuwa mazoezini maana marekani huwa anaangalia faida tu zake na Hiyo UN yeye ndio anafadhiri kwa bajeti kubwa zaidi ya wote
Hv who exactly is target during the war, mikataba ya law of the war or humanitarian law, inahidhinisha kwamba mtu yeyote hata kama co mwanajeshi akishika silaha na kupambana na ww huyo ni target pia cos huwezi kumuacha anakutupia risasi, sasa ishu ya somalia hata civilians walishika silaha na pale hawakuwa wanapambana na majeshi ya serikali, hata huko afghanistan majeshi ya marekani ishaangusha xana watoto waliopewa mabomu ya kurusha na mikono, ishu hapa ni don't engage unless you're shot at, the law of engagement for elite troops. Nilikupata vyema sana mkuu.
 
Utaachaje sasa
Na unaweza ukapiga research proposal yako en akaja mjinga mwingine akaichukua kama ilivyo akabadili jina tu akaweka lake, usikute mrusi anatumia theory za mmarekani pia, hii dunia ya leo ni copy na paste maisha yanakwenda, ndio maan tuna land rover (range evoque) vs land wind na usishangae ukakuta land wind ndio hbr ya mjn zaid....
 
Naomba nikuulze kitu hyo s300 na s400 imeshiriki kwenye Vita gani... Achana na zile test za kawaida maana kila silaha kabla ya kutumika lazma ifanyiwe test ht hv juzijuZ US ametest SM-6 missile system ambayo kwa sasa ni inaweza kua ni mfumo bora wa kuzuia makombora kutumika kwenye meli vita za kimarekan kwa sababu inaweza kutungua kombora ktk umbali mrefu sana mpk yule kamanda wao akawa anasema yani hyo system imevuka matarajio yao, yani imeperform zaidi na walivyo tarajia
Hata thaad ya marekani haijafanya kazi kwenye battle bado
 
Huko Moscow kwa sasa ni fulu maandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombora kupita.

Kampeni zidi ya ushindi wa Trump
 
Nilisema marekan watastand down kwenye hii issue.
US, UK say support is weak for military action against Syria
By BRADLEY KLAPPER
1 hour ago
LONDON (AP) — The United States and Britain on Sunday acknowledged the Western world's weak support for any military action against Syria's government as they sought ways to pressure President Bashar Assad and his chief backer, Russia, to halt a deadly offensive in Aleppo. They tried to present it as a possibility, nevertheless.
After a meeting of 11 governments opposing Assad's rule, U.S. Secretary of State John Kerry and British Foreign Secretary Boris Johnson each insisted all options were on the table. But their stark explanations about the danger of resorting to military force appeared to rule out such a move.
The result was a somewhat schizophrenic threat that was unlikely to scare Assad's government or Russia as they move to crush the last rebel-held areas of Aleppo, Syria's largest city.
"When a great power is involved in a fight like this, as Russia has chosen to be by going there and then putting its missiles in place in order to threaten people against military action, it raises the stakes of confrontation," Kerry said after the meeting in London.
He said no one should be "lighting a fire" under a larger sectarian war in the Middle East or one drawing in superpowers against one another.
Johnson said Britain wanted to "ratchet up" pressure on Assad, Russia and Iran.
"No option is, in principle, off the table," he told reporters.
Quickly expanding his answer, he added: "Be in no doubt that these so-called military options are extremely difficult and there is, to put it mildly, a lack of political appetite in most European capitals and certainly in the West for that kind of solution at present."
"So we've got to work with the tools we have," he said. "The tools we have are diplomatic."
 
Wanafik wakubwa westerners gays propaganda prostitutes leadership,total failures
 
Je, kwa nini Marekani haiwez kuishi kwa amani na bila wars.wako katikati ktk kila masuala ya kila nchi. Viongozi Marekani kazi yao ni kupata fedha zaidi na zaidi kwa aina ya vitendo vya uwongo vita fitna unafiki dhulma Kihistoria Urusi mbona hawako hivyo kabisa?
 
Jamani si ichukii American kabisa ila ukweli ndoo ulivyoo huo [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Attachments

  • 1476653902456.png
    1476653902456.png
    18.8 KB · Views: 71
Je, kwa nini Marekani haiwez kuishi kwa amani na bila wars.wako katikati ktk kila masuala ya kila nchi. Viongozi Marekani kazi yao ni kupata fedha zaidi na zaidi kwa aina ya vitendo vya uwongo vita fitna unafiki dhulma Kihistoria Urusi mbona hawako hivyo kabisa?
Alafu wanajidai ndio wanauchimi mkubwa....

Kwa hapo Syria ni aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom