Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Watu wengine waongo kweli eti USA silaha zake ni za siri sasa tukuulize wewe umejuaje wakati ni siri? Au uko pentagon
Kuna watu ni maandazi sana... Kuna mwingine ananiambia eti walikamatwa majasusi saba wa urusi wakawa wanapewa false report kupeleleza urusi.. Nisimuulize ALIHUSIKAJE.... Akimaanisha labda alikuwa affiliated...... Kuna watu viazi sana
 
Ndoto za Alinacha hizo....

NATO 28 + USA hapo walipo hawajiamini kama mziki wa Russia watauweza,
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, kaka achana na Mrusu, amini mimi nnachokwambia, endapo hii vita ikatokea, kuna nchi zitaikataa NATO.
 
Hii civil war ya Syria ilianza kwa maandamano ya amani baadae yakageuka vita tunavyoshuhudia sasa hivi. Haya maandamano yalikuwa yanafanywa na raia wa Syria waliokuwa wanadai demokrasia zaidi kwasababu kwa kipindi kirefu Syria imetawalia kwa "iron fist" mkono wa chuma. Assad ni dikteta......uhuru wa kujieleza, kuchagua, kupata nafasi za kiuchumi na mambo mengine yalikuwa mambo magumu kwelikweli kwa mtu wa kawaida huko Syria.....sasa hizi kero zote na rais Assad kuzipuuza basi wananchi wakaingia mtaani.

Pia inafaa ujue haya maandamano yalipata "influence" baada ya maandamano yaliyokuwa yanatokea nchi za kiarabu Tunisia, Egypt na Libya (Arab spring)......hapa wananchi wa Syria wakasema aaah kwanini nasisi tusimng'oe dikteta wetu?.....mambo yakaanza.

Upande wa pili unapaswa ufahamu kuna nchi ni maaduni wa Syria na wanatumia kila njia kuangusha utawala wa Assad. Maadui hawa wanamuona Assad kama mtu anayezuia maslahi yao hapo middle east. Adui namba moja wa Assad ni United States of America, wengine ni Saudi Arabia, Qutar, Grace, UK na nchi nyingine za Europe. Marekani yeye anataka kummaliza Assad ili awe na njia pengine kumfikia Iran na kumuangusha......hapa Syria ni kikwazo ndiyo maana US anatumia kila aina ya propaganda ikiwemo kusaidia vikundi vya waandamani ambao sasa hivi anawapa silala nzito nzito kukabiliana na Assad regime.

Jambo lingine unatakiwa ufahamu ni kuhusu Rassia......Rassia yeye anafahamu US anataka kukamata eneo lote la middle east na kwasababu Russia anamtegemea Syria kama mshirika wake hapo middle east basi lazima amlinde kwasababu Russia naye anamaslahi Syria.

Hii ngoma ni kuhusu influence middle east, kuhusu ku-control biashara ya mafuta, kuhusu kueneza American democracy.
Huko kooote ulikoeleza mimi naona ni propaganda tu, ukweli umeusema huku mwishoni.

Kama ni udikteta, kwanini wasije Afrika kumuondoa Kagame, Museven, Nkurunzinza n.k?

Ishu hapa ni maslahi tu, hamna kingine kaka.
 
Naam rais wangu leo sina hata salamu. Nakuja mbiombio kukutaarifu kuwa sasa Vladimir Putin ameonyesha dalili zote za kuivuruga dunia. Putin amefanya majaribio ya silaha za nyuklia kwa mara ya kwanza baada ya mamiongo na mamiongo. Putin na Obama sasa wanatoleana macho tena makali.

Rais wangu, wakati Putin akiitikisa dunia mwenzake China ameanza kuchukua tahadhari maana vita itakuwa kati ya mashariki (Urusi, China Korea, Iran) na magharibi (Marekani, France, England na NATO wote kwa ujumla) Hapa ndipo tunashuhudia "Kupatwa kwa uchumi wa dunia" tunajiandaaje? Tuatumikaje? Pengine huu ndiyo mtihani wako mzito na unapaswa kusimama nao. Sio tena mambo ya hapa na pale! Vita hivi ndivyo hueneza tuchokochoko twa hapa na pale kama ule wa ziwa Nyasa, watu kama kina Kagame hutumia mwanya huu kukwapua kutoka mataifa mengine. Miradi mikubwa mikubwa husimama kwa muda. Tujipange kwelikweli tusijesema tumeshtukizwa tena! Kagame anajipanga Kinyatta anajipanga hata yule wa Maravi kingdom anajipanga! Hima na sisi tujipange.

Putin ameshawaita nyumbani familia zote za mabalozi wake duniani! Kiashiria cha kuivuruga dunia inaonekana ni dhahiri machoni!

Rais wangu utasimama wapi? China na Urusi au Marekani na NATO au utakuwa NAM kama enzi zile?
Tungekuwa na Hayati Mwalimu tungesimama upande wa RUSSIA.
 
Hahaha
Walienda majasusi wa urusi 7 marekani kufanya kazi za upelelezi , walipofika wakawa wanapewa hotel za kukaa na host wao ila akashtukiwa mmoja na wapelelezi wa C.I.A , na utaratibu wa upelelezi wa urusi, ukitumwa kukamilisha upelelezi sehem na ukashindwa na ukakamatwa uko. Ukirejea nchini unamalizwa, sasa alivyo kamatwa huyo mmoja akaabanwa na kutaja mwingine, na mwingina akamtaja mwingine mpaka wote saba wakajulikana wakahojiwa wakakili walitumwa, sasa wakawawashikiria na kila ukifika mda wa kureport walichotumwa wanaandaliwa report ya kubuni na wamarekani wanawapa wanatuma,

Usiniulize nimehusikaje Katika Ilo, naishia hapo
Hahaha wewe una element za uongo sana sijui ata uko mtaani kwenu vipi aisee..una stori nzuri za kuvutia...ebu tupe source basi ya hii habari yako tuthibitishe...kama huwezi kuweka source hapa nielekeze na mimi nikasome wapi...habari kama hii haiwezekni ujue wewe tu

Eti akakamatwa mmoja akamtaja mwenzie..na mwenzie akamtaja mwenzie...mbona unasimulia kabisa hadithi za sungura na fisi
 
Hahaha

Hahaha wewe una element za uongo sana sijui ata uko mtaani kwenu vipi aisee..una stori nzuri za kuvutia...ebu tupe source basi ya hii habari yako tuthibitishe...kama huwezi kuweka source hapa nielekeze na mimi nikasome wapi...habari kama hii haiwezekni ujue wewe tu
Hatari mzeee
 
Kwenye vitabu vya dini kuna maandiko yanasema kuna taifa moja kubwa litakua majivu kwa siku moja sasa najiuliza ni taifa gani? Sipati jibu la uhakika
Sio unajiuliza ni taifa gani, sema hutaki kulitaja.
 
Mkuu mimi nimekupa kawazo tuu huwezi jua wanatumia teknolojia gani kukushanya habari nyeti usikariri njia zijulikanazo! nyingine zinazaliwa upya kama matumizi ya chip mwili n.k pia macho naskia ni recorder nzuri tuu. Macho yako yakiwekewa mashina yana revel kila ulilokua unafanya pengine toka uingie hapa duniani kabisa.
Ila hii teknolojia ya macho bado sijaijua vizuri ntaifatilian halafu ntalea uzi humu.
Kwani kaka unadhani walivyomchukua walimpeleka Makao Makuu ya Ujasusi au Ikulu? Wale watu wana akili bwana, sio sisi huku dunia ya tatu.
 
Amazing Pugachev's Cobra- maneuver RUSSIAN STEALTH SUKHOI PAK-FA-T-50.mp4
 
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, kaka achana na Mrusu, amini mimi nnachokwambia, endapo hii vita ikatokea, kuna nchi zitaikataa NATO.
Ni kweli hata Rais wa Turkey tayari machale yameshamcheza anarudi kinyumenyume tangu jaribio la kutaka kupinduliwa na jeshi
 
Hahaha

Hahaha wewe una element za uongo sana sijui ata uko mtaani kwenu vipi aisee..una stori nzuri za kuvutia...ebu tupe source basi ya hii habari yako tuthibitishe...kama huwezi kuweka source hapa nielekeze na mimi nikasome wapi...habari kama hii haiwezekni ujue wewe tu

Eti akakamatwa mmoja akamtaja mwenzie..na mwenzie akamtaja mwenzie...mbona unasimulia kabisa hadithi za sungura na fisi
Huyo jamaa viroba alijua Maji...

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwani kaka unadhani walivyomchukua walimpeleka Makao Makuu ya Ujasusi au Ikulu? Wale watu wana akili bwana, sio sisi huku dunia ya tatu.
Ndio nikamwambia kuwa Huyo Snowden maisha yake yapo Hotelini tena chini ya ulinzi mkali wa KBG......!!!

Sasa yeye anazani yupo mikononi mwa TSS
 
Back
Top Bottom