Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mie najaligi bac luv, wao waseme watakacho mie walaaa.

Mdo maana nasema luv huku mitaani watu wanatafsiri zao ndo kama hizo ukivaa miguu yote napo kuna neno. Mguu wa kulia unamaanake kama unavyo vaa pete nazo zinamaanake.
 
Mi nnavoelewa ukikuta demu amevaa kikuku ni kwamba anamaanisha ukitaka kula ndogo ruksa! Ndio maana siku zote nasita kuwatokea wa hivyo, manake michongo dizaini hiyo sihusudishi wala nini!
 
Kaka acha kutetea ujinga jinsi ulivyo kuja kumake conclusion unaonesha nikiasi gani ulivyo mwanasiasa.Nakufananisha na mwanasiasa kwa sababu kuu mbili.wewe sio mtaalamu wa mambo ya kijamii alafu unantaka kujifanya unajuamambo ya kijamii.Pili wewe hujafanya uchunguzi wa ndani juu ya vikuku na maana yake halisi,waingeleza wanamsemo wao marufu unao sema "no research no right to speak.wewehujafanya reseach juu ya vikuku alafu unajifanya kumake conclusion kuwa vikuku havina maamna nyingine zaidi ya urembo.
Ukweli ni kwamba vikuku vinamaana nyingine chafu zaidi ya urembo .Vikuku vina maana ya mwanamke aliyevaa anafanya mapenzi kwanjia isio halali yaani analiwa ndogo/tigo/mabanda ya uwani/mku......So kama girl frend wako,dadayako au mke wako anatabia ya kuvaa vikuku kama urembo nakushauri umwambie aache mara moja coz one day she is going to get trouble!
 
malumbano ya nini tupeni maana ya vikuku jameni,kama hamjui si mseme tu kuliko kutafuta sababu!
Uungwana ni vitendo......
 
Kaka acha kutetea ujinga jinsi ulivyo kuja kumake conclusion unaonesha nikiasi gani ulivyo mwanasiasa.Nakufananisha na mwanasiasa kwa sababu kuu mbili.wewe sio mtaalamu wa mambo ya kijamii alafu unantaka kujifanya unajuamambo ya kijamii.Pili wewe hujafanya uchunguzi wa ndani juu ya vikuku na maana yake halisi,waingeleza wanamsemo wao marufu unao sema "no research no right to speak.wewehujafanya reseach juu ya vikuku alafu unajifanya kumake conclusion kuwa vikuku havina maamna nyingine zaidi ya urembo.
Ukweli ni kwamba vikuku vinamaana nyingine chafu zaidi ya urembo .Vikuku vina maana ya mwanamke aliyevaa anafanya mapenzi kwanjia isio halali yaani analiwa ndogo/tigo/mabanda ya uwani/mku......So kama girl frend wako,dadayako au mke wako anatabia ya kuvaa vikuku kama urembo nakushauri umwambie aache mara moja coz one day she is going to get trouble!

haya tupe data za research uliyofanya to conclude that
I think kikuku ni urembo tu na mtu akijisikia kuvaa mwache si yeye?
kwa nini iwe ok kwa wamasai na wahindi ila akivaa mwa-africa ni tatizo
I support all u ladies out there
mmeumbwa kuwa pretty, stay pretty
 
Kaka huyu shemeji yako umeona mguu huo? Tulikuwa ufukweni ndo huyu alikuwa ananikamua 70,000 kwa wiki.

mkuu huo mguu kiwangoooo!!
vp kwa sasa nani anamiliki machimbo?, nipasie basi mkuu hahaaa haaaa haaaa
teh teeeh
 
Kikuku ni urembo tu, kama unapovaa mkufu shingoni au hereni sikioni. Hivyo kikuku ni urembo tu. Kilikuwepo toka enzi hizoooooo!!
 
Hahahaha hizi maana sidhani kama wavaaji wote wanajua haya yote wengine wanaiga tuuu
 
Kaka acha kutetea ujinga jinsi ulivyo kuja kumake conclusion unaonesha nikiasi gani ulivyo mwanasiasa.Nakufananisha na mwanasiasa kwa sababu kuu mbili.wewe sio mtaalamu wa mambo ya kijamii alafu unantaka kujifanya unajuamambo ya kijamii.Pili wewe hujafanya uchunguzi wa ndani juu ya vikuku na maana yake halisi,waingeleza wanamsemo wao marufu unao sema "no research no right to speak.wewehujafanya reseach juu ya vikuku alafu unajifanya kumake conclusion kuwa vikuku havina maamna nyingine zaidi ya urembo.
Ukweli ni kwamba vikuku vinamaana nyingine chafu zaidi ya urembo .Vikuku vina maana ya mwanamke aliyevaa anafanya mapenzi kwanjia isio halali yaani analiwa ndogo/tigo/mabanda ya uwani/mku......So kama girl frend wako,dadayako au mke wako anatabia ya kuvaa vikuku kama urembo nakushauri umwambie aache mara moja coz one day she is going to get trouble!

Umepotoka ndugu yangu..watu wanavaa na wataendelea kuvaa.... waliovaa hawajaingia kwenye trouble yoyote unayoifikiria wewe.
Kuna watu huwa wanasikia maneno na kuyaamini na kuanza kuyahubiri kama vile ni ukweli.Wenye kuvaa vaeni kwa raha zenu.
 
DSC07523.JPG

...loh, mwanamke ana miguu mizuri huyu mashaallah!...
 
Jamani labda mimi MASANJA wa Sengerema ni mshamba. LAKINI Naomba niwe mkweli. Mwanamke anayeweka "kishaufu' au hereni kwenye pua..kwa kweli ananiweka off!.....kwa kweli nakuwa turned off completely! si kwamba nawachukia madada wa namna hiyo la hasha....I just feel...hereni ya puani iko very inapropriate. Na mtu akishaiweka..basi mimi Masanja kijana wa Sengerema..ushamba wangu unakuwa dhahiri kabisa..nakimbia!

Kikuku sina shida nacho.
 
kumbe kishaufu ndio hereni ile ya puani? Loh!! sikujua, katika urembo wote kama mwanamke, hakuna kitu kinachonikera kama huko kuning'iniza kihereni puani na kutoboa sikio zaidi ya mara moja.
 
Mbona wewe umetoboa sikio mara mbili???
 
Back
Top Bottom