2017 No Name
Senior Member
- Jul 26, 2017
- 172
- 133
Hahaha,..katiba ishabadilishwa 2020 CCM ni Magu by default.,.!!! Kitulize tuu.
Vipi? Unafanya kazi ya kufufua wafu? Akili bomu , huyo!Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
sijakuelewaVipi? Unafanya kazi ya kufufua wafu? Akili bomu , huyo!
ya CCMAtapitishwa na kamati kuu ipi?
Ngoja tuoneya CCM
Mkuu vitu vingine unapaswa utafakari sana. Hivi unadhani kwamba Raisi Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM atajiweka kwenye mazingira ya CCM kuteua mgombea wa CCM mbadala wake? HUyu Magufuli ninayemfahamu au mwingine? Au hujaona tayari ameshajiwekea mazingira kwamba hilo lisiwezekane hata kidogo?
jamaa hafuatilia siasa za nchi hii kabisa...ki ufupi amekurupukaJamaa hajui kuwa CCM wameshabadiri taratibu na ni lazima mihula miwili, kuna mgombea mwingine 2020.
Wa aina hiyo labda Bashitehuyo tena yatakuwa mambo ni yaleyele ya uswahili wa JK.inabidi akitoka huyu aingie mwingine tena ambaye hayupo kwenye system tena kama Baba Jesca.
His political life is way overdue!! Akalime korosho tu.humjuwi Membe vizuri wewe.
Mbarawa 2025, ingawa atakuwa mzee muda huo.huyo tena yatakuwa mambo ni yaleyele ya uswahili wa JK.inabidi akitoka huyu aingie mwingine tena ambaye hayupo kwenye system tena kama Baba Jesca.
Kwahiyo CCM mnamtaka Benard ???BENARD MEMBE NDIYE ALIKUWA MGOMBEA SAHIHI 2015 .ISINGEKUWA CHUKI YA MKAPA LEO MEMBE ANGEKUWA RAIS WA TZ.AJIPANGE TU 2020
Hivyo unataka kusema Membe kamzidi Mtukufu Raisi ???bora membe mara mia moja. majuto ni mjukuu.