Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Leo nimebahati kununua gazeti la mwananchi nimekutana na maneno haya

zz3.jpg


Zitto Kabwe amemuonya Muasisi huyo wa chama na amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mytake

Naona vita ndo inaanza, je zitto atafanya mapango wa kumuua mzee mtei?
kwanini zitto anamtabilia mzee mtei kifo?
je anajua anakufa lini?
au yeye ndo anafanya mpango wa kumuuwa mzee mtei?


NB:Mod Please msiunganishe hii thread, haya ni maneno mazito toka kwa zitto kwenda kwa mzee mtei
 
acha ramli mwanangu hadi umefikia mahali kuwadhalilisha waislamu kwamba wapo remoted! kwa sasa waislamu wengi wanamjuwa adui yao na hawatatumika tena na wanasiasa uchwara na ghilba! si huyo hapo JK anaongoza kiislamu? mbona hajawapa kadhi kama walivyo taka? au! si kaapa kwa katiba? Hivi ccm na CDM wakiweka mgombea muislamu na DP wakaweka mgombea Mkristo hapo napo vipi! achana na siasa za ismailia jusi bro!
Nimekupata mkuu but soma hapa uone mtazamo wa huyu jamaa!https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...zitto;-nani-anaujua-msimamo-wa-dr-slaa-8.html
 
NI kweli nakubalina na wewe kabisa ni family Kama vile mtoto ni mjumbe wa nec bagamoyo mama ni mjumbe wa nec mtwara na baba ni mwenyekiti wa Chama kwi! Kwi! Kwi! Kwi
Nimeipenda hii, umempasha haswaa! atoe kwanza boriti kwenye jicho lake........
 
Hilo jibu sio kwa Mzee Mtei pekee, bali ni kwa wote wenye tongotongo kwenye demokrasia ya ukweli.
 
Hii ndio ile mitambo ya kutunga uongo.

Zitto anasema kitu kingine wewe unasema kingine.
 
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema)? kiss my feet!

demokrasia ina mautamu na machungu. ina akina zitto shibuda sitta na pia ina kondoo akina mnyika

chama cha kidomokrasia lazima kiheshimu demokrasia za watu binafsi na demokrasia ya chama.

kunyamazisha watu haisaidii kabisa
 
Wewe Magamba utaandika kipi tofauti na ulichoandika?

mbona unakimbia hoja mkuu, jibu hoja kwa hoja.
Sio kwa kejeli, inadhihirisha jinsi mlivyo wepesi.

Hapo ndo cdm inadhihirisha rangi yake halisi kwamba sio cgama cha demokrasia bali cha .....
Mtajaza wenyewe.
 
Pengine safari hii atasikiliza huu ushauri. Ameamua kwa makusudi kuwa CONFUSER.
Dawa ya watu wa namna ni kuwatimua mapema, ni bomu zito litakalolipuka mbele ya safari.
Hana nia njema, alikuwa mpambabaji, now he has changed, likely cz has interests to protect.

jamaa inasemekana anapendwa sana na DHaifu..wanakaa ikulu mpaka saa 9 usiku sijui wanaongea nini...on the other note sielewi uoga wa CDM kumuachia atumie haki yake kidemokrasia kugombea uongozi ndani ya chama..kama hafai si hatopita? panic yote ya nini?
 
Zitto kavimbiwa sifa anaona kila kitu anaweza
 
Mwasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA Edwin Mtei amemuonya mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuacha kutangaza mambo ya Urais sasa kwani anasababisha mpasuko ndani ya CDM na badala yake ajikite kukijenga chama mpaka muda utakapofika ili chama kitoe utaratibu.

Mzee Mtei amesema amemshauri mara kadhaa Zitto umuhimu wa kutulia kama wenzake ndani ya chama na kukijenga chama lakini mbunge huyo amekuwa mkaidi na hasikii.

Pia Mzee Mtei amesema endapo mbunge huyo ataendeleza harakati zake za kutaka umri wa Urais ushuke hadi miaka chini ya 40 ili tu yeye apate nafasi ya kugombea basi atakuwa ni mbinafsi wa kupindukia na mwenye uroho mkubwa wa madaraka.

Akijibu madai hayo ya Mzee Mtei, Zitto Kabwe amemuonya Muasisi huyo wa chama na amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Source: Mwananchi Jumamosi.

My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.

Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.
ana uhakika gani kuwa mzee Mtei atakufa kabla yake.?
 
Leo nimebahati kununua gazeti la mwananchi nimekutana na maneno haya

zz3.jpg


Zitto Kabwe amemuonya Muasisi huyo wa chama na amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mytake

Naona vita ndo inaanza, je zitto atafanya mapango wa kumuua mzee mtei?
kwanini zitto anamtabilia mzee mtei kifo?
je anajua anakufa lini?
au yeye ndo anafanya mpango wa kumuuwa mzee mtei?


NB:Mod Please msiunganishe hii thread, haya ni maneno mazito toka kwa zitto kwenda kwa mzee mtei

dada
wewe ni mtambo wa kutunga uongo.
zitto aseme lingine wewe upindishe lingine. una soni kweli kichwani mwako mudada
 
Hivi kwa nini TOP BRASS ya CDM inaogopaga KIVULI cha ZZK, yaani Megacalories wanazo zitumia kumu-contain Zuberi si bure; ukiangalia kwa makini modus operand ya TOP BRASS hiyo mtu unahanza kuhoji kama wako sincere na transparent katika Uongozi wao.

Siwasemi vibaya lakini ukifanya analysis za events/incidents zilizo wahi kutokea hapo nyuma mtu unakuwa na wasi wasi kwamba chama hiki inner circle imekaa kifamilia/kiukoo zaidi kuliko kuwa a public DOMAIN, hii ndio maana wakiona member fulani anakuwa popular kuliko wao - basi wanatafuta kila njia kujifanya eti wanampa ushauri asubiri kwanza, sijuhi umri bado - wanatumia kisingizio hicho kuwakingia kifua jamaa zao, yaani inapokuja katika suala hilo member yeyote anayejaribu ku-challenge cocoon hiyo anaonrekana expendable kwao regardless ya umaharufu wake. I stand to be corrected.

Mkuu! tafakari na hili! "mmekubaliana wote kwenda vitani, (M4C) Ili mkishinda vita mgawane nyara! Vita imeanza wewe umeanza visingizio na kuchachawa! huku unatamani kuwa kiongozi wa ushindi bila kushiriki vita!
 
Kwa mtazamo wangu wa sasa (maana hapo mwanzoni Zito nilimwona tofauti (mtu makini)) namwona Zito ni dhaifu. Anafuata hisia zilezile za kupendwa kwa sura na kwa haraka haraka anaonyesha nia ya kuwa rais. Ajue kwamba watanzania wanateseka sasa hivi kwa dhambi yao ya kupenda ghafla na pasipo mashiko. Namshauri atulie aendelee kuonyesha vipawa vyake na jamii itamhukumu (itaamua) kama anafaa. Ikulu sio mahali pa kukimbilia unahitaji kuwa na mzigo juu ya watanzania.

Umesema yote mkuu. Zitto anajifanya mpenda demokrasia bila kuhakiki athari za kauli zake. Watu wanazihesabu kauli zake kama ULAFI TU WA MADARAKA (na sio demokrasia), wanaziona kama ushahidi wa ULIMBUKENI wa madaraka na umaarufu. Anadhani umaarufu ule wa enzi za Buzwagi bado anao! Kama kweli anajiona maarufu, anasaili kura alizopata kijijini kwake Kigoma! Vinginevyo huenda ana mradi maalumu anaoutekeleza kwa maslahi ya wasiojulikana.
 
Mkuu umenena.Mimi ni kijana wa miaka chini ya 35 lakini tayari nimepeleka maoni kwenye tume ya Warioba kwamba umri wa kugombea Urais uanzie miaka 45 na hii ni kwa sababu ninaogopa kuja kuongozwa siku moja na mwendawazimu lakini akashinda tu kwa kigezo cha ujana.



Mkuu sijakusoma kwahiyo unamaanisha hakuna mwendawazimu anayeweza kushinda akiwa na umri wa miaka 45
 
Back
Top Bottom