Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
Rushwa ni kitu kibaya sana kinamtia mtu upofu kabisa Zitto haoni kabisa ni kipofu.
Akimuona Jk anakokotwa na farasi anachanganyikiwa kabisaMjumbe hauawi, hii hapa:
View attachment 67292
source: matukio-michuzi: RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA ZIARA RASMI OTTAW, CANADA
Hivi uenyekiti wa CDM Zitto alipotangaza nia akabaniwa kigezo kilikuwa umri? Wazee wa CDM hawana tofauti na wachawi..
Mkuu chama,
Makundi kutoka Kaskazini kamwe hawawezi kuacha kupambana na Zitto, wakikaa kimya ni sawa kumuachia Nguruwe akuchomee mishikaki.
Zitto Kabwe, ana nguvu kubwa kutoka kwenye makundi ya vijana pamoja na wazee, sehemu kubwa ya Tanzania mikoa kama Dar es Saalam, Pwani, Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Mwanza, Morogoro, Tanga, Bukoba, Mtwara, Lindi, Singida, Tabora, hawa wajumbe wote wa Chadema wapo upande wa Zitto Kabwe.
Sehemu za Kaskazini ni kweli Zitto hana nguvu zozote za kisiasa.
Mtei ameshindwa kumuita Zito na kumuambia haya?
Amefufuka kumtoa Kyasaka kwenye NGO yangu.
Mkuu Molemo, alichofanya ZZK sio kutangaza kugombea urais kupitia Chadema, bali kutangaza nia ya kuiomba Chadema kumpitisha kama mgombea wa Chadema 2015!. Naomba sana utofautishe kati ya "kutangaza nia" na "kutangaza kugombea"!.
Ili chadema kuonysha ina "practice what it preach" lazima iache democracy i prevail!.
Go ZZK Go!.
Pasco.
Mkuu Molemo nipo tayari kuwaelemisha makamanda; sasa hebu tueleze tatizo lipo wapi kwa Zitto kusema atagombea uraisi? Sijawahi kumsikia Zitto akisema atalazimisha ili kutimiza azma yake ameweka bayana atafuata taratibu zote za chama kutimiza lengo lake; mkuu mimi nilitarajia Chadema iwe ni mfano wa demokrasia; je kinaogopewa kitu gani? Mpaka nyote mmetengeneza kimtandao kumpiga majungu Zitto? mkuu nijiandaa kulala nipe majibu yenye mwelekeo wa kidemokrasi; na huyu mzee Mtei yeye ni bado mwenyekiti wa Chadema?
Chama
Gongo la mboto DSM
Shame on mzee Mtei!
Chama
Gongo la mboto DSM
Molemo did you mean 001%?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mwasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA Edwin Mtei amemuonya mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuacha kutangaza mambo ya Urais sasa kwani anasababisha mpasuko ndani ya CDM na badala yake ajikite kukijenga chama mpaka muda utakapofika ili chama kitoe utaratibu.
Mzee Mtei amesema amemshauri mara kadhaa Zitto umuhimu wa kutulia kama wenzake ndani ya chama na kukijenga chama lakini mbunge huyo amekuwa mkaidi na hasikii.
Pia Mzee Mtei amesema endapo mbunge huyo ataendeleza harakati zake za kutaka umri wa Urais ushuke hadi miaka chini ya 40 ili tu yeye apate nafasi ya kugombea basi atakuwa ni mbinafsi wa kupindukia na mwenye uroho mkubwa wa madaraka.
Akijibu madai hayo ya Mzee Mtei, Zitto Kabwe amemuonya Muasisi huyo wa chama na amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Source: Mwananchi Jumamosi.
My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.
Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.

Hivi nyinyi wapenzi wa Chadema, bado hamjajua ZZK ndio mtaji wenu pekee wa ushindi 2015?(Sababu ni muislamu au?). Jee mnajua CCM itamsimamisha Membe?(Waislamu hawatampigia kura Membe sababu ni mkristo), sasa kwa vile huyo mgombea kipenzi wetu na Membe hawana tofauti katiuka zile kampeni za "kivile",(wote wakristo (Membe na Slaa) na hamjajua kwa mujibu wa katiba mpya, ili chama kishinde urais wa JMT, lazima kipate angalau theluthi moja ya kura za Visiwani!(99% Waislamu), hivi huyo mgombea wenu kipenzi (Dk Slaa-Mkristo), kwa siasa zetu "zile", hizo theluthi ya kura kutoka visiwani zinatokea wapi?!.
ZZK anakubalika sana kutokana na kuendesha "strategic politics" kwa urafiki wake na January Makamba(Muislamu), atazivuna kura zote za vijana wa CCM!, kwa urafiki wake na Jussa(Muislamu), atazivuna kura zote za CUF (Wanachama wake karibia woote waislamu) kule visiwani. Kwa usomi wake, atazivuna kura zote za vijana/wasomi na wataka badiliko ya kweli with clear goals na right strategies!.Nafikiri mtakuwa mmemuelewa kwanini anataka ZITO awe Rais,Viongozi wa CHADEMA haya ndio baadhi ya mawazo ya wanachama wenu kaeni chini muyapatie ufumbuzi!VIVA CDM!
Sina cha kujadili kuhusu Zitto, jamaa ni bogus kabisa.
Kwanza alisema hatogombea tena ubunge ila urais hapo 2015 inamaana tayari keshajiteua ww unaona ni sawa?Mkuu Molemo nipo tayari kuwaelemisha makamanda; sasa hebu tueleze tatizo lipo wapi kwa Zitto kusema atagombea uraisi? Sijawahi kumsikia Zitto akisema atalazimisha ili kutimiza azma yake ameweka bayana atafuata taratibu zote za chama kutimiza lengo lake; mkuu mimi nilitarajia Chadema iwe ni mfano wa demokrasia; je kinaogopewa kitu gani? Mpaka nyote mmetengeneza kimtandao kumpiga majungu Zitto? mkuu nijiandaa kulala nipe majibu yenye mwelekeo wa kidemokrasi; na huyu mzee Mtei yeye ni bado mwenyekiti wa Chadema?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hana hoja anasukumwa na ukanda na udini,tena simshauri Zitto kumsiliza huyu babu naona sasa hivi anatamani makao makuu ya chama yaamie kwake.Mtei ameshindwa kumuita Zito na kumuambia haya?
Mambo ya ZITO KABWE NI HAYA1
1:Zitto ahusishwa na Rostam | Gazeti la MwanaHalisi
2:Usalama wa Taifa wavamia CHADEMA | Gazeti la MwanaHalisi
Jitahidini kumjua zito,muone mambo yake!
Mkuu chama,
Makundi kutoka Kaskazini kamwe hawawezi kuacha kupambana na Zitto, wakikaa kimya ni sawa kumuachia Nguruwe akuchomee mishikaki.
Zitto Kabwe, ana nguvu kubwa kutoka kwenye makundi ya vijana pamoja na wazee, sehemu kubwa ya Tanzania mikoa kama Dar es Saalam, Pwani, Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Mwanza, Morogoro, Tanga, Bukoba, Mtwara, Lindi, Singida, Tabora, hawa wajumbe wote wa Chadema wapo upande wa Zitto Kabwe.
Sehemu za Kaskazini ni kweli Zitto hana nguvu zozote za kisiasa.
CCM @ work Pole sana Pasco najua mpango wako hutofanikiwa kamwe