Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Mzee Mtei anazingua..yeye kama mzee na mmoja ya waasisi wa chama hapaswi kuchagua upande,anakichafua chama kinaonekana cha kikanda..yeye sio mtu wa kukimbilia media kumkanya Zitto,watumie taratibu za kichama kumrekebisha Zuberi..
Pia wanachadema muwe mnamshauri uyu mzee na matamko yake yanayokichafua chama,sio kila jambo mnamshangilia.
 
Kweli mtei a nakubalika maoni yake tu thread inakimbia mwendo wa mwanga

Mzee Mtei ni shujaa wa Demokrasia Tanzania.Huyu Mzee amekiongoza hiki chama kwa weledi mkubwa mpaka sasa kinakaribia kuchukua dola.Huyu Mzee heshima aliyo nayo ndani ya CDM ni sawa na heshima aliyo nayo Nyerere ndani ya CCM.Mzee Mtei tofauti na waroho wengine hajawahi hata kuwa Mbunge ndani ya chama alichoasisi cha CDM,Isitoshe hajawahi kugombea hata Urais na uenyekiti wa chama alishika kwa awamu moja tu halafu akakabidhi chama kwa Bob Makani Msukuma wa Shinyanga.
Ni aibu kubwa na ukosefu mkubwa wa Adabu kuona mwanachama ambaye kiumri ni sawa na babu yake akimtukana mzee huyu kupitia vyombo vya habari.Ni aibu kubwa kwa wanachama wahuni wa aina hii...
 
Yaani nimekuja speed nikafikiri umaandika point kumbe ndo walewale:nerd:

we ulitaka aandike nini ujue kuwa ni points?
Hamjaweza kujibu hoja hata moja mnabaki kubwabwaja.
Acheni demokrasia itawale, msitake kumkandamiza zkk, yeye kama mwanachama wa cdm ana haki kikatiba ya kugombea.
Mnajua anakubalika, ana uwezo na anahatarisha nafasi ya dr mnaempenda.
Sasa subirini, bado ngoma nyingine inakuja kati ya mbowe na dr slaa, hapo ndo mtaelewa nia na madhumuni ya kuanzishwa cdm.

Kama mtei hakua tayari kuona zkk anapambana na mbowe kwenye uenyekiti. wakamtaka ajitoe kabla ya kupigiwa kura, kwanini hawakuacha demokrasia ifanye kazi yake?

Tafsiri yake ni kuwa watatumia mbinu chafu zaidi ya hizo pindi mbowe na dr slaa watakapo chukua fomu kuomba ridhaa ya chama ili wagombee.

Mtei yuko tayari kumlinda mkwe wake kwa gharama yexote ile.
 
Mzee Mtei ni shujaa wa Demokrasia Tanzania.Huyu Mzee amekiongoza hiki chama kwa weledi mkubwa mpaka sasa kinakaribia kuchukua dola.Huyu Mzee heshima aliyo nayo ndani ya CDM ni sawa na heshima aliyo nayo Nyerere ndani ya CCM.Mzee Mtei tofauti na waroho wengine hajawahi hata kuwa Mbunge ndani ya chama alichoasisi cha CDM,Isitoshe hajawahi kugombea hata Urais na uenyekiti wa chama alishika kwa awamu moja tu halafu akakabidhi chama kwa Bob Makani Msukuma wa Shinyanga.
Ni aibu kubwa na ukosefu mkubwa wa Adabu kuona mwanachama ambaye kiumri ni sawa na babu yake akimtukana mzee huyu kupitia vyombo vya habari.Ni aibu kubwa kwa wanachama wahuni wa aina hii...
Huyu mzee mnamsifia bure tu, yeye wakati wake umepita lakini bado kiherehere. Anaongea na vyombo vya habari kama nani? Hivi kuanzisha chama ndio kukimiliki? Ndio maana watu wanasema hii ni kampuni na sio chama.

Zitto kafanya la maana sana kumyamazisha huyu failure
 
Mzee Mtei anazingua..yeye kama mzee na mmoja ya waasisi wa chama hapaswi kuchagua upande,anakichafua chama kinaonekana cha kikanda..yeye sio mtu wa kukimbilia media kumkanya Zitto,watumie taratibu za kichama kumrekebisha Zuberi..
Pia wanachadema muwe mnamshauri uyu mzee na matamko yake yanayokichafua chama,sio kila jambo mnamshangilia.

Kweli mtei a nakubalika maoni yake tu thread inakimbia mwendo wa mwanga

Mzee Mtei ni shujaa wa Demokrasia Tanzania.Huyu Mzee amekiongoza hiki chama kwa weledi mkubwa mpaka sasa kinakaribia kuchukua dola.Huyu Mzee heshima aliyo nayo ndani ya CDM ni sawa na heshima aliyo nayo Nyerere ndani ya CCM.Mzee Mtei tofauti na waroho wengine hajawahi hata kuwa Mbunge ndani ya chama alichoasisi cha CDM,Isitoshe hajawahi kugombea hata Urais na uenyekiti wa chama alishika kwa awamu moja tu halafu akakabidhi chama kwa Bob Makani Msukuma wa Shinyanga.
Ni aibu kubwa na ukosefu mkubwa wa Adabu kuona mwanachama ambaye kiumri ni sawa na babu yake akimtukana mzee huyu kupitia vyombo vya habari.Ni aibu kubwa kwa wanachama wahuni wa aina hii...
 
Mzee Mtei anazingua..yeye kama mzee na mmoja ya waasisi wa chama hapaswi kuchagua upande,anakichafua chama kinaonekana cha kikanda..yeye sio mtu wa kukimbilia media kumkanya Zitto,watumie taratibu za kichama kumrekebisha Zuberi..
Pia wanachadema muwe mnamshauri uyu mzee na matamko yake yanayokichafua chama,sio kila jambo mnamshangilia.

wanamuheshim kama mungu mtu, kwa fikra zao wanaona hawezi kusea.

Hapo ndo rangi halisi ya mtei inapodhihiri,
anamuandalia mazingira mazuri mkwe wake kama alivyofanya kwenye uenyekiti.
 
Mbona hasemi kitu kuhusu josephine kumwita mumewe rais?

na subiri uone jinsi mbowe atakavyo mpiga dr bao la kisigino 2015, usifikiri amewekeza fedha zake na za mkwe wake bure kwenye chama.
 
Huyu mzee mnamsifia bure tu, yeye wakati wake umepita lakini bado kiherehere. Anaongea na vyombo vya habari kama nani? Hivi kuanzisha chama ndio kukimiliki? Ndio maana watu wanasema hii ni kampuni na sio chama.

Zitto kafanya la maana sana kumyamazisha huyu failure

muacheni jamani, yeye ndo mwenye hati miliki ya chama na akifa anamrithisha mbowe.
Kwe kwi kwi...
 
Mzee Mtei ni shujaa wa Demokrasia Tanzania.Huyu Mzee amekiongoza hiki chama kwa weledi mkubwa mpaka sasa kinakaribia kuchukua dola.Huyu Mzee heshima aliyo nayo ndani ya CDM ni sawa na heshima aliyo nayo Nyerere ndani ya CCM.Mzee Mtei tofauti na waroho wengine hajawahi hata kuwa Mbunge ndani ya chama alichoasisi cha CDM,Isitoshe hajawahi kugombea hata Urais na uenyekiti wa chama alishika kwa awamu moja tu halafu akakabidhi chama kwa Bob Makani Msukuma wa Shinyanga.
Ni aibu kubwa na ukosefu mkubwa wa Adabu kuona mwanachama ambaye kiumri ni sawa na babu yake akimtukana mzee huyu kupitia vyombo vya habari.Ni aibu kubwa kwa wanachama wahuni wa aina hii...

mkuu mie mwenyewe nawaunga sana mkono cdm,lakini ilo la kumlinganisha Mtei na Nyerere unavuka mipaka..afiki ata nusu ya Nyerere.
Tumkosoe uyu mzee tusimwachie hawaaribie chama kwa kujifanya yeye ndio mwamuzi wa mwisho.
 
Mimi ni kijana cwez kukubaliana zitto juu ya kupunguza umri wa kugombea urais,ni vizuri ibaki hiyo 40, sisi vijana tunajijua, labda urais wa TFF. Binafsi napenda sana mabadiliko lakini si kwa kuvunja utaratibu uliowekwa na vyama sababu vijana!! Hapana 2015 kama cdm watamsimamisha zitto nitampa hata lipumba!
 
Mkuu Kimbunga,
Zitto Kabwe, ni mwanasiasa ambae akisema kitu lazima lazima akisimamie kaishawambia tena wapiga kura wake wa Kigoma kuwa atagombea urais ni vita sasa ndani ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikimheshimu sana Molemo humu Jf na nikiamini ni mpiganaji mahiri wa CDM. Hata hivyo, the way alivyojenga chuki binafsi dhidi ya Zitto na mbaya zaidi anaziexpress hadharani, kwa sasa namuona kama pandikizi hatari sana kwa chama. Molemo kwa makusudi kabisa amepotosha hii habari, kwa mfano anamlisha Mtei maneno kama vile kusema Zitto amekuwa mkaidi na hasikii. Ukiisoma stori, maneno hayo hayajatamkwa na Mtei. Kwenye kipengele cha Zitto kutaka katiba isimzuie mtu kugombea kwa umri, mzee Mtei ametumia neno "itaonekana" mbinafsi. Molemo akabadilisha na kusema "atakuwa" mbinafsi na mwenye uroho wa madaraka!!!
Naombeni nyie vijana wa CDM hapo makao makuu mtuambie kama chama chetu kina makundi, na nyie mnafuata kundi gani. Sisi tunatambua CDM hakuna makundi, tunawakubali viongozi wetu sawa, na binafsi naamini kati za Slaa, Mbowe na Zitto, yeyote akiwa raisi, nchi itakuwa imepata kiongozi bora. Acheni kutufarakanisha na Zitto...
 
mkuu mie mwenyewe nawaunga sana mkono cdm,lakini ilo la kumlinganisha Mtei na Nyerere unavuka mipaka..afiki ata nusu ya Nyerere.
Tumkosoe uyu mzee tusimwachie hawaaribie chama kwa kujifanya yeye ndio mwamuzi wa mwisho.

mimi hapo ndio nimeshangaa, mtu anakwenda kumfananisha Nyerere na mtu ilie shindwa uwaziri tu. Hii ni sawa na kumtukana baba wa taifa.
 
Mkuu Kimbunga,
Zitto Kabwe, ni mwanasiasa ambae akisema kitu lazima lazima akisimamie kaishawambia tena wapiga kura wake wa Kigoma kuwa atagombea urais ni vita sasa ndani ya Chadema.

zito ni jembe la ukweli, ndomana cdm wanamgwaya.
Si umesikia alivyomjibu mte, kamwambia watch me...

Hahahaa.....
Hapo mbowe na slaa viroho vinawadunda.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikimheshimu sana Molemo humu Jf na nikiamini ni mpiganaji mahiri wa CDM. Hata hivyo, the way alivyojenga chuki binafsi dhidi ya Zitto na mbaya zaidi anaziexpress hadharani, kwa sasa namuona kama pandikizi hatari sana kwa chama. Molemo kwa makusudi kabisa amepotosha hii habari, kwa mfano anamlisha Mtei maneno kama vile kusema Zitto amekuwa mkaidi na hasikii. Ukiisoma stori, maneno hayo hayajatamkwa na Mtei. Kwenye kipengele cha Zitto kutaka katiba isimzuie mtu kugombea kwa umri, mzee Mtei ametumia neno "itaonekana" mbinafsi. Molemo akabadilisha na kusema "atakuwa" mbinafsi na mwenye uroho wa madaraka!!!
Naombeni nyie vijana wa CDM hapo makao makuu mtuambie kama chama chetu kina makundi, na nyie mnafuata kundi gani. Sisi tunatambua CDM hakuna makundi, tunawakubali viongozi wetu sawa, na binafsi naamini kati za Slaa, Mbowe na Zitto, yeyote akiwa raisi, nchi itakuwa imepata kiongozi bora. Acheni kutufarakanisha na Zitto...
Mbona inajulikana wazi kabisa kuwa Molemo ni kijana wa mbowe.
 
Mzee Mtei ni shujaa wa Demokrasia Tanzania.Huyu Mzee amekiongoza hiki chama kwa weledi mkubwa mpaka sasa kinakaribia kuchukua dola.Huyu Mzee heshima aliyo nayo ndani ya CDM ni sawa na heshima aliyo nayo Nyerere ndani ya CCM.Mzee Mtei tofauti na waroho wengine hajawahi hata kuwa Mbunge ndani ya chama alichoasisi cha CDM,Isitoshe hajawahi kugombea hata Urais na uenyekiti wa chama alishika kwa awamu moja tu halafu akakabidhi chama kwa Bob Makani Msukuma wa Shinyanga.
Ni aibu kubwa na ukosefu mkubwa wa Adabu kuona mwanachama ambaye kiumri ni sawa na babu yake akimtukana mzee huyu kupitia vyombo vya habari.Ni aibu kubwa kwa wanachama wahuni wa aina hii...

Molemo punguza "Tantararira" wapi Mtei kavunjiwa heshima? Mbona Mnyika anamvunjia heshima JK unashangilia humu JF, safari hii Zitto lazima kajipanga unadhani ndio kipindi kile alivyoambiwa na Mtei atoe jina lake ili Mbowe apitishwe mgombea pekee hawezi kukubali tena.
 
Back
Top Bottom