Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Una maana vita ya Rwanda naTanzania =Vita kati ya Tanzania na Watutsi?mbona umesha ambiwa kuwa kuna wa Tutsi wengi tu wa Tanzania:
Imagine that sentiments direction!!
 
Ushahidi na historia imeshaonyesha hivyo! Ndio maana Kabarebe (mcongomani) na watutsi raia wa raia wa nchi nyingine waliopigana vita vya kupindua utawala wa wahutu na kuweka na kitutsi, kwa sababu wao ni watutsi tu. Vita hivi kwa nini havikuhusisha nchi nzima nzima kama Congo, kama vile Tanzania NZIMA ilivyopambana na Nduli Iddi Amin? badala yake kabila moja tu la watutsi tu all over the region?

Kwa hiyo swali hili liko very valid. Loyalty ya huyu ndugu iko wapi. Kwa nini tumuamini? tukimpa uwaziri ambao itabidi anegotiate na Rwanda, maslahi yake yatakuwa wapi. Kwa nchi yake au kwa ndugu zake kama anavyosema?
 
Lol. Kazi gani? Ungekuwa unatumia muda wote huo wa kusoma na kuchambua maswala ya Rwanda kwa kutafuta ufumbuzi wa matatizo yenu huko Tanzania nadhani hata raisi wenu angekuwa ameshakutunuku medani. Bahati mbaya hapa utaambulia nothing but your wasted time and resources na watu watakuona kuwa wewe una ajenda yako binafsi ambayo tangu mwanzo nilisisitiza kuwa maandiko yako sio bure. Una personal interest ambazo i can guarantee you, will never be fulfilled in your lifetime.

Hivi hyo rwanda ni nchi ambayo ipo dunia ya kwanza. Kwahyo ujinga hamna,maradhi hamna na umasikini hakuna kwenye huo mkoa i mean rwanda.
 
Muhutu unayejiingiza kwenye mambo usiyoyajua na hayatakusaidia kitu

Hivi wewe Koba una matatizo gani? Kila mtu anayepinga mambo yenu na bosi wako kagame anakuwa branded kuwa ni Interahamwe au Mhutu. Ni mambo ya kuchekesha sana. Jenga hoja siyo kutuletea tabia za kagame za vitisho hapa mtandaoni.Unajua sisi watz uzalendo wetu umeshapita sana mipaka ya makabila yetu. Cha kushangaza sana huyo jamaa yako, na wewe pia, anatuambia kuwa mtusi kwake ni mtu wa karibu sana kuliko mwananchi mwenzake wa TZ. Na huo ndio ukweli na siyo kwamba anatania. Haya mambo yanatupatia maswali mengi kuliko majibu juu ya uraia wenu katika nchi mnazoishi. Ajabu zaidi hata huko mnakokuita kama ndiyo nchi ya watusi (Rwanda) bado mnawabagua raia wenzenu eti wao ni wahutu na watwa na nyie eti ni watutsi.

Na wasiwasi hata EAC nyie ndio mtakaokuwa chanzo cha matizo.
 
Haaa aaahh haaa unakataa?mbona sijaona wakenya bashing Kagame?wengi mnaomsema kagame humu ni wabongo asili ya wahutu mnaochukia watutsi na wengine sio wabongo,kagame hajaifanyia chochote kibaya TZ ila angalia topic za kizushi against him all over..MNA matatizo nyie lakini wa mjanja kama kena wameamua kushirikiana naye maana they know he is the real deal na hakuna unafiki wala longolongo
 
The day Kagame akitangaza kum-hit Uhuru ndio utawajua wakenya! Hiki cha TZ cha mtoto kabisa.
 
Sio kosa lake sana, huko kwao Rwanda hakuna uhuru wa mawazo wala hakuna uhuru wa mijadala. Kagame thinks on their behalf. Kwa hiyo anadhani dunia nzima ndio iko hivyo hivyo.
Ndio maana tulimuomba link ya angalau internet forum moja tu ya Rwanda akashindwa kutupatia. Ni watu wa kuonea huruma. Si unamuona hata uwezo wa kujadili hana anaishia kutukana tu.
 
Hivi wewe Koba una matatizo gani? Kila mtu anayepinga mambo yenu na bosi wako kagame anakuwa branded kuwa ni Interahamwe au Mhutu. Ni mambo ya kuchekesha sana. Jenga hoja siyo kutuletea tabia za kagame za vitisho hapa mtandaoni.Unajua sisi watz uzalendo wetu umeshapita sana mipaka ya makabila yetu. Cha kushangaza sana huyo jamaa yako, na wewe pia, anatuambia kuwa mtusi kwake ni mtu wa karibu sana kuliko mwananchi mwenzake wa TZ. Na huo ndio ukweli na siyo kwamba anatania. Haya mambo yanatupatia maswali mengi kuliko majibu juu ya uraia wenu katika nchi mnazoishi. Ajabu zaidi hata huko mnakokuita kama ndiyo nchi ya watusi (Rwanda) bado mnawabagua raia wenzenu eti wao ni wahutu na watwa na nyie eti ni watutsi.

Na wasiwasi hata EAC nyie ndio mtakaokuwa chanzo cha matizo.

Hiyo ndo Rwanda wazee wa kulialia JWTZ ilivyoenda kuwadunda M23 walianza kulialia mara Nyerere angekuwepo asingeruhusu mara askari wa JWTZ wamebaka oh mara Mama Kikwete si raia wa Tanzania ni mhutu.
Wapi na wapi Lindi na Rwanda ,angalau basi Lindi kuna plantation zilizochukua Manamba huko Rwanda tungesema basi kweli anaweza kuwa na nasaba za huko Rwanda.
 
Haaa aaahh haaa unakataa?mbona sijaona wakenya bashing Kagame?wengi mnaomsema kagame humu ni wabongo asili ya wahutu mnaochukia watutsi na wengine sio wabongo,kagame hajaifanyia chochote kibaya TZ ila angalia topic za kizushi against him all over..MNA matatizo nyie lakini wa mjanja kama kena wameamua kushirikiana naye maana they know he is the real deal na hakuna unafiki wala longolongo

Viongozi waKenya wa sasa ni watuhumiwa wa makosa ya mauaji na wana kesi ICC. Wako tayari kumkumbatia kiongozi kama kagame ambaye naye mahakama hiyo inamvutia pumzi. Wewe unafikiri ingekuwa KANU ya MOI ingefanya huo upuuzi wa kumkumbatia kagame? Pia ni kweli pia kuwa watz tunayajua matatizo yenu mengi kuliko wakenya kwa kuwa tumeanza kuwasaidia na kuwa na nyie kwa ukaribu kuliko hao wenzetu kwa muda mrefu sana. NA bahati nzuri tumeona mengi na ni matter of time Kenyans will regret for that.Na kama ni suala la unafiki, nafikiri hakuna kiongozi mnafiki Africa kama slim boy. Mtu anayethubutu kufuta makabila ya watu kwa kuwaita wote eti kabila la wanyarwanda ili aweze kuwakalia majority anavyotaka.

Halafu pia, hata kama wanaoleta hoja dhidi ya kagame ni wahutu, wahindi, wachaga, wadengereko, watwa, wadinka,Nuer etc, wewe leta hoja zako tu za maana zitasikilizwa pia bila kujali rangi au asili yako. Sisi hatuko kwenye ukabila, bali tunasimama kwenye hoja.
 
Hiyo ndo Rwanda wazee wa kulialia JWTZ ilivyoenda kuwadunda M23 walianza kulialia mara Nyerere angekuwepo asingeruhusu mara askari wa JWTZ wamebaka oh mara Mama Kikwete si raia wa Tanzania ni mhutu.
Wapi na wapi Lindi na Rwanda ,angalau basi Lindi kuna plantation zilizochukua Manamba huko Rwanda tungesema basi kweli anaweza kuwa na nasaba za huko Rwanda.
Sikiliza mshamba wewe M23 is not Rwanda na acha ndogo zako za kibwege za kufikiri watanzania wanasikiliza upuuzi we nu kama unachukia Rwanda fight your own battle sio propaganda zenu haters wakubwa nyie
 
The day Kagame akitangaza kum-hit Uhuru ndio utawajua wakenya! Hiki cha TZ cha mtoto kabisa.

Nchi hazipigani au kuchukiana kwa sababu raisi katukanwa au kuzomewa,your wish Kenya wachukiane na Rwanda..umeishiwa wewe na akili yako iliyofilisika
 
Viongozi waKenya wa sasa ni watuhumiwa wa makosa ya mauaji na wana kesi ICC. Wako tayari kumkumbatia kiongozi kama kagame ambaye naye mahakama hiyo inamvutia pumzi. Wewe unafikiri ingekuwa KANU ya MOI ingefanya huo upuuzi wa kumkumbatia kagame? Pia ni kweli pia kuwa watz tunayajua matatizo yenu mengi kuliko wakenya kwa kuwa tumeanza kuwasaidia na kuwa na nyie kwa ukaribu kuliko hao wenzetu kwa muda mrefu sana. NA bahati nzuri tumeona mengi na ni matter of time Kenyans will regret for that.Na kama ni suala la unafiki, nafikiri hakuna kiongozi mnafiki Africa kama slim boy. Mtu anayethubutu kufuta makabila ya watu kwa kuwaita wote eti kabila la wanyarwanda ili aweze kuwakalia majority anavyotaka.

Halafu pia, hata kama wanaoleta hoja dhidi ya kagame ni wahutu, wahindi, wachaga, wadengereko, watwa, wadinka,Nuer etc, wewe leta hoja zako tu za maana zitasikilizwa pia bila kujali rangi au asili yako. Sisi hatuko kwenye ukabila, bali tunasimama kwenye hoja.
Lol,bado unaongelea ICC?people moved on sasa hivi ni maendeleo tuu wenzako wanashirikiana wewe keep your stupid wishful thinking utaendelea
 
Sikiliza mshamba wewe M23 is not Rwanda na acha ndogo zako za kibwege za kufikiri watanzania wanasikiliza upuuzi we nu kama unachukia Rwanda fight your own battle sio propaganda zenu haters wakubwa nyie

Kwahiyo wale M23 walikuwa hawapati back up kutoka kwenu na yule jenerali Nkunda anafanya nini Rwanda.Mim am just normal guy from Lipalwe Tandahimba siichukii wala sitaichukia Rwanda ila sipendi kuona tabia ya kulialia badala kumprove jamaa wrong kwa kuleta facts.Karibu kwetu Mtwara huku ndo tunamalizia kubangua korosho za mwishomwisho.Mim mshamba kwelikweli pambana na hoja acha kulialia.
 
Mkuu Comrade kuna swali ambalo mpaka leo sijui jibu lake. NI kwanini Interhamwe waliwaua watutsi? kwanini hili swali tunakwepa kila mara kutafuta au kueleza majibu yake?

Hawa jamaa machinjachinja tukielewa akili zao ndio tunaweza kudeal nao vizuri, kila siku tunasema watutsi watutsi watutsi, why are we not talking of interhamwe?
safi sana,wanawaonea watusi kwakuwa wao ni rahisi kufahamika kutokana na maumbile yao
 
Rais wa interahamwe wakati wa genocide aliyekuwa anaongoza mauaji hayo alikuwa ni MTUTSI aitwaye Robert Kajuga!
 
Sikiliza mshamba wewe M23 is not Rwanda na acha ndogo zako za kibwege za kufikiri watanzania wanasikiliza upuuzi we nu kama unachukia Rwanda fight your own battle sio propaganda zenu haters wakubwa nyie

Bosco Ntaganda, Sultani Makenga plus all other senior members of M23 were once members of RPA fighting under Kagame in 94. Can you explain how come? For all we know hata kagame mwenyewe asingekuwa rais angeweza kuwa M23 today. Until you explain this riddle then M23=Rwanda!
 
Hata Congo yote bila kagame ingekuwa bado under your dad mobutu na usisahau president kabila was fighting under kagame too...next.
 
Back
Top Bottom