Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Obama was elected democratically. He was not a military chief of a neighbouring country, he did not form an armed group of black people (minorities in america) which attacked America for four years killings scores of white people, and then over-turn the government of America and make himself president! And even now, running against Obama does not lead to you getting shot, or assassinated! You are comparing apples and oranges (as usual).
By the way mmemaliza ile 'home-work' yenu ya kuangalia atachakachuaje katiba ili aendelee kuwa rais post 2017?
Hili genocider lenzako linatumikia kifungo cha maisha kule Mali kama jina lako,hawa na wewe you have something in common,nakushauri achana na fantasy zako to eliminate wengine la sivyo utaishia kama hawa wajomba zako,kwa wasiomjua anaitwa theoneste Bagosora muhutu mwenye siasa kali kafungwa for life Bamako Mali
Theoneste-Bagosora-cerveau-du-genocide-rwandais-condamne-a-perpetuite.jpg
 
It's not fair kivipi?? Ukweli ndio huo japo mods wameiondoa picha hiyo haibadilishi kuwa Anorld Kayanda ni Mtusi na sio raia anayejificha kwenye chaka la uTanzania na kujiita mtu wa Karagwe.. Ishasomeka...

Acha upuuzi wewe huyo nmesoma nae ni myambo pure, familia yake naijua uliza majirani zake wote wa kitongoji cha bugene hakuna uhusiano wa kindugu kati yake na wanyarwanda sema chuki zako tu zinakutuma vibaya
 
Teh tehe teh lazima alikuchapia sio bure...and FYI watutsi watanzania wapo wengi sana in millions wamejaa mikoa ya kagera,kigoma,tabora,Mara etc uliwahi kusikia wahangaza,waha,washubi,wahima?hao lugha zao ni 100% Kirundi na rwandese,huko karagwe na bukoba koo nyingi ni za kitutsi[/QUOTE

Huwa hawapendi kuamini hili japo hawawezi kulibadili bnafsi sipendi hio idea yao kuwa kila mtutsi ni myarwanda, wapo watusi uganda,tz, burundi nk. So kuaminisha watu kuwa kila mtutsi ni myarwanda ni upuuzi
 
Hili genocider lenzako linatumikia kifungo cha maisha kule Mali kama jina lako,hawa na wewe you have something in common,nakushauri achana na fantasy zako to eliminate wengine la sivyo utaishia kama hawa wajomba zako,kwa wasiomjua anaitwa theoneste Bagosora muhutu mwenye siasa kali kafungwa for life Bamako Mali
Theoneste-Bagosora-cerveau-du-genocide-rwandais-condamne-a-perpetuite.jpg

35 years get your facts straight!
 
35 years get your facts straight!

Pengine kwa nyongeza huyu jamaa ktk rufaa yake alipunguziwa kifungo mpaka miaka 35,kama atakua bado hai atatoka gerezani na umri wa miaka 89!

Kama ilivyokua kesi ya Media trial ya akina Hassan Ngeze na Prof. Jean Bosco Barayagwiza,kesi ya Kanali Bagasora na maofisa wengine wa ngazi ya juu ilivutia sana na mawakili wa utetezi walifanya kazi kubwa!

Upande wa mwendesha mashitaka walijenga hoja kwamba ndege ya Rais Habyarimana ilitunguliwa na maafisa wa Jeshi la Rwanda waliokua wanapinga mkataba wa amani kati ya RPF na Serikali,wakiongozwa na kanali Bagosora! Ilikua kesi hii ambayo mawakili wa utetezi nao waliibua nadharia ya pili kwamba ndege ya rais ilitunguliwa na RPF.

Mpaka sasa hakuna nadharia imekubalika kisheria nani alitungua ndege hiyo. Kinacho kubalika ni kwamba mauaji ya kimbari yalipangwa na watawala mapema. Aliyekua mkuu wa kikosi cha kulinda amani nchini Rwanda,Gen. Romeo alikua ametoa taarifa za siri kwa wakubwa zake akina Koffi Annan kuhusu mipango ya mauji ya kimbari. Lakini hawakuchukua hatua! Wautu wa kawaida waliotumika ktk uwendawazimu huo ni kwasababu ya ujinga tu! Wauji halisi ni Wahutu watawala,wanajeshi na wafanyabiashara wengi wao toka kaskazini ya Rwanda waliokuwa wanafaidika na utawala uliokuepo!
 
Ndugu ndonya1 Nimeamua kukumention badala ya kuquote kwa kuwa nimeona itakuwa gazeti juu ya gazeti. Sina shaka unafahamu ni post gani ninakujibu.

Kwanza nikushukuru kwa kujadili bila jazba. Sio watu wengi wanaosapoti Rwanda/kagame wana attitude ya kuongea kwa hoja kama wewe. Nimejitahidi kujibu kwa kadiri ninavyoweza kama unavyojua huu mjadala ni mrefu hivyo nimefupisha baadhi ya mambo, natumaini references/sources zitajieleza kwa zaidi.

UTETEZI WA THREAD:
Hakuna mtu ana tatizo na kusambaa kwa watutsi Afrika mashariki. Hivyo sielewi kwa nini kila saa nakumbushwa historia ya walisambaa vipi. Swali sio kwa nini kuna watutsi nchi zote EAC. Thread inajieleza yenyewe kuwa tatizo ni undumilakuwili wa baadhi ya watutsi wanaotumia kusambaa kwao kama mtaji wa kuchukua madaraka kinyume na sheria.
Of course sina control na watu wanaochangia mjadala huu kinyume na malengo mfano kupost picha za watu, chuki binafsi n.k. Ma-mods wako kwa ajili hiyo. Mimi nimejadili facts tena nimewaandika kwa majina, sijahukumu kabila lote. Nimetoa mfano: Bosco Ntaganda, Laurent Nkunda na sultani makenga walipigana vita vya 94 kama askari wa paul kagame chini ya RPA wakitetea Rwanda. Leo wao ni wacongomani kivipi? Kilichowafanya wapigane vita hivi ni nini hali wao si wakimbizi wa Rwanda bali raia halali wa congo? Ni pan-africanism au simply ni ututsi wao. Huo ni mfano tu.
Tatizo hapa ni kuwa watu kama wewe mnanipachika “hutu-power ideology” na “uinterahamwe” ili mjibu maswali ambayo tayari majibu yake mnayo na si yale ambayo yanaulizwa. Na hivyo kubadilisha thread iwe mnavyotaka nyinyi.

GENOCIDE OR NOT?:

“The real news was that ALL of the top Rwandan military officers, including the supposedly infamous Colonel Bagosora, were found not guilty of conspiracy or planning to commit genocide. And Gen. Gratien Kabiligi, a senior member of the general staff was acquitted of all charges! The others were found guilty of specific acts committed by subordinates, in specific places, at specific times - not an overall conspiracy to kill civilians, much less Rwandan-Tutsi civilians.

This raises the more profound question: if there was no conspiracy and no planning to kill ethnic civilians, can the tragedy that engulfed Rwanda properly be called “a genocide” at all? Or, was it closer to a case of civilians being caught up in war-time violence, like the Eastern Front in WWII, rather than the planned behind-the-lines killings in Nazi death camps? The ICTR judgment found the former.
” Source: Jurist forum


Debate yangu ipo kwenye neno ‘genocide’ sio vile vifo. Kwa ujumla nakubali kulikuwa na genocide against Tutsis on those 100 days, kwa hiyo ili tusilumbane katika hili kuanzia sasa nitajadili nikitumia genocide exactly kama unavyotafsiri wewe ili twende sawa.



IDADI NA TAKWIMU YA WAHANGA:


Sensa rasmi ya serikali kufanyika Rwanda kabla ya genocide ya 1994 ilifanyika mwaka 1991. Sensa hii inasema idadi ya watutsi wote Rwanda ilikuwa 596,400, au 8.4% ya wanyarwanda wote wakati huo. Hivyo logically haiwezekani uwe na vifo kuanzia 800,000 hadi millioni vya watutsi mwaka 1994, miaka mitatu tu baadae. Maana yake utakuwa umemaliza watutsi wote, ambao wangebaki wangekuwa watoto wa miaka 3 tu yaani waliozaliwa baada ya sensa.



Baada ya kuingia madarakani serikali ya Kagame ilinyofoa vipengele vyote vya asilimia za wahutu na watutsi na sasa haichapishi asilimia au idadi kamili za wahutu na watutsi badala yake inachapisha idadi ya jumla tu. Yenyewe imeweka jumla ya watu 7,148,496 mwaka 1991. Source: National Institute of statistics Rwanda. Hivyo hii 8.4% unaweza kuipata kutoka vyanzo vingine huru. Vya kwangu baadhi ni hivi hapa:



  1. “Monbiot takes issue with our claim that the "great majority of deaths were Hutu", and calls this "as straightforward an instance of revisionism as I've ever seen". But Rwanda's 1991 census estimated the Tutsi population at 600,000, and some 300,000 Tutsi survived the violence of 1994. Whether 800,000 or 1 million people perished, the great majority of deaths must have been Hutu. The standard account of the "Rwandan genocide" is monumentally flawed. We also cite a 1994 US state department memo that Kagame's forces were killing "10,000 or more Hutu civilians per month" source: the guardian uk.

  2. (prof Congleton, prof Hillman, prof konrad; 40 years research on rent seeking2: rent seeking in practice. springer-verlag berlin Heidelberg; 2008, pg 193).
  3. “There are an estimated 300,000 survivors of the Rwandan genocide” source: Rwandan survivors.


Mwaka 2005, jumuiya ya wahanga wa genocide wa kitutsi inayoitwa Ibuka ilifanya sensa ya nyumba kwa nyumba kupata idadi ya watutsi waliokufa kwenye genocide. Zoezi hili lilipata Baraka za serikali, lilikuwa wazi na lilitangazwa sana kwenye media ili wananchi watoe ushirikiano. Walipata idadi ya vifo vya watutsi 355,745 tu! Kwa maana nyingine kila mwaka, ikifika ile siku ya maazimisho ya genocide, watutsi waliofiwa, wanaadhimisha vifo vya ndugu zao 355,745 tu si zaidi ya hapo! Serikali ya Kagame ikakataa kuchapisha matokeo haya (lakini ripoti ilivuja). Chanzo cha habari hii si cha kuaminika sana lakini kuna facts mbili ambazo hazina utata; moja, sensa hii ilifanyika hili halina ubishi, pili; matokeo yake yalizuiwa kutolewa. Source: proxylake. Ukijumuisha na data za kuaminika za sensa idadi hii inamake sense.

Quote: “The Rwandan gov of the RPF prefers to maintain this confusion. That is why it has refused to reveal the number of dead Tutsis and dead Hutus. It prefers things blurred so the world does not know the extent of massacres committed against the Hutu by the RPF and to inflate the number of Tutsi victims. It is necessary to note that the census of the population organized under the supervision of the UN (UNDP, UNFAP, CEA) and with the aid of countries such as the USA and Canada that terminated on the 15[SUP]th[/SUP] of August, 1991 fixed the total number of Tutsis in the country at 8.4% of the population of 7,099,844 persons. Thus, the numbers that suggest that the entire Tutsi population was massacred between April and July 1994 are simply fantasies.” Source: The New World Order Ideology and Africa, Tatah mentah, 2010, pg242.
Conclusion: Serikali ya Kagame kwa makusudi haitaki wahutu wahesabu watu wao waliokufa kwa sababu kwa mahesabu ya vifo 800,000 mpaka milioni, wahutu watakuwa zaidi ya 400,000 au angalau nusu ya wahanga wa genocide. Ndio maana sasa badala ya kuitwa Rwandan genocide sasa inalazimishwa kuitwa genocide against Tutsis! Ili iwe kosa kuhesabu wahutu nao kama wahanga wa genocide. Kama watutsi wenyewe waliofiwa wanaomboleza vifo chini ya laki nne, hao kadiri ya laki nne mpaka 6 wengine ni akina nani? Serikali inajuaje kuwa hawa ni watutsi bila ushahidi wowote?
“But the recent volume of supposed 'Genocide Deniers Inc.' includes articles by some very accomplished and highly respected Rwanda scholars, including professors David Newbury, Catherine Newbury, and Dr. Scott Strauss. None of these accomplished academics have ever previously fallen anywhere near the category 'genocide deniers'.” source: Pentagon releases satellite photos of 94 genocide

KUWAPO KWA MAJESHI YA KAGAME KIGALI KABLA YA GENOCIDE:


Officially RPA ilikuwa na 600 armed troops katikati ya Kigali kabla ya genocide kama sharti mojawapo la mazungumzo ya Arusha. Namba hii haina ubishi. Hivyo si kweli kama ulivyoeleza kuwa RPA ilianza kuingia Rwanda baada ya Genocide kuanza. RPA tayari ilikuwa mjini Kigali wakati huo. Unofficially RPA ilikuwa na 4000 troops, kwani walikuwa wanaingia kinyemela kinyume na makubaliano rasmi. source: Paul Mugabe Former Intelligence Officer of the Department G2 of National Gendarmerie (Rwandan Patriotic Army).


RPF ILIKATAA MSAADA HIVYO KUFANYA GENOCIDE IENDELEE:

RPF ilikataa msaada wa UN kuleta vikosi ili kusimamisha mauaji badala yake iliendelea na mapigano ili kuteka nchi nzima. Hivyo idadi kubwa ya watu ingeweza kupona kama si tamaa ya Kagame kuwa rais.

“When the Security Council discussed sending a larger peacekeeping force to Rwanda with a broader mandate to protect civilians, the RPF feared that the force might interfere with its goal of military victory. Its leaders may have been particularly concerned that the French might use the force to protect the interim government. Instead of welcoming the move and urging speedy implementation, the RPF spokesman in Brussels opposed it and asserted that there were no more Tutsi to be saved. On April 30, Gerald Gahima and Claude Dusaidi of the RPF political bureau reiterated this position in a slightly less forceful statement which declared:
“The time for U.N. intervention is long past. The genocide is almost completed. Most of the potential victims of the regime have either been killed or have since fled.” Source: Human rights watch.

http://www.hrw.org/reports/1999/rwanda/Geno15-8-03.htmhttp://www.hrw.org/reports/1999/rwanda/Geno15-8-03.htm
KUHUSU JEAN KAMBANDA, BAGOSORA NA WENGINEO:



Jean Kambanda amekuwa mtaji mkubwa wa serikali ya Kagame katika suala hili la Genocide. Naomba upitie sources zifuatazo ili kuona hukumu yake ilikuwaje.
“..This lawyer then tricked him into agreeing to plead guilty. He thought he was only pleading “guilty” to political responsibility” for any actions his government took during the events of 1994 and was not a confession to a criminal act as such and he did not understand it to be a confession to war crimes or genocide.” source: AllAfrica; proxylake-kambanda
Kesi yake huyu haina tofauti na kesi nyingine za kubambikiwa watu waliokuwa chini yake ambazo mahakama ya ICTR inazitupilia mbali.

Mfano angalia mwanajeshi Gratien kabiligi alishitakiwa kwa: “conspiracy to commit genocide; genocide; complicity in genocide; and murder, rape, persecution, extermination and “inhumane acts” as crimes against humanity. Additionally, Kabiligi is charged with the killing of civilians and outrages upon personal dignity as serious violations of Common Article 3 (Geneva Conventions). “
Lakini matokeo yake mahakama ikamuona hana hatika kwa YOTE na kumuachia HURU. Source: Hague Justice portal. Sikatai kuwa makosa yalifanyika lakini hili la kupanga genocide sasa linazidi kudhihirika kuwa ni uzushi.



Nakunukuu: “uchunguzi wangu umebaini ni jeshi zima la rwanda likiongozwa na Theoneste Bagosora lilihusika sio tu kuua,bali kupanga mauaji hayo siku nyingi kabla ikiwemo kuanda list ya watu wote”
Hapa naomba kupishana na wewe, mahakama ya ICTR imekanusha na kumuondolea shitaka la kuwa Genocide ilipangwa:

“There is no finding or sufficient evidence that Bagosora ordered or authorised any of the killings for which he was found to bear superior responsibility.” He is solely held responsible for failing to prevent crimes committed by his subordinates over a period of 65 hours during which he had effective control. As a consequence, a majority of judges approved a reduction of his sentence from life to 35 years.” source: rnw.

http://www.rnw.nl/international-justice/article/ictr-rwandan-genocide-no-master-plan-long-versionhttp://www.rnw.nl/international-justice/article/ictr-rwandan-genocide-no-master-plan-long-version Vile vile nadhani hakuna ubishi kuwa kuna baadhi ya FDLR walirudi na kuwa integrated na serikali ya Rwanda bila kushitakiwa. Kwa hiyo hapa napingana na ule msimamo wako kuwa “jeshi zima” lilihusika katika mauaji.


MWISHO:

Kwa maoni yangu inabidi kuwe na justice ya ukweli katika suala la genocide. Justice hii inatakiwa kujumuisha RPF/RPA kwa makosa yao ya mwaka 1990 na kuendelea post july 94 kwa kuua wakimbizi wa kihutu katika makambi nchini congo vile vile.
Kwa kuanzia tu inabidi vile vile iangaliwe hali hii ambayo marekani inai-describe kama ifuatavyo:


"Analysis of the ethnic breakdown of the current Rwandan government shows Tutsis hold a preponderant percentage of senior positions. Hutus in very senior positions often hold relatively little real authority, and are commonly “twinned” with senior Tutsis who exercise real power. The military and security agencies are controlled by Tutsis, generally English speakers who grew up as refugees with President Kagame in Uganda.

The 28-member cabinet is evenly split among Tutsis and Hutus, but most key ministries are in the hands of Tutsis (Hutu ministers do head Health and Agriculture, ministries which affect the lives of most Rwandans). While the Rwandan government (GOR) presents itself as a champion of national unity and equal opportunity, de-emphasizing ethnic identity and ostensibly opening positions throughout society to those of skill and merit, political authority in the country does not yet reflect this ideal. Ethnic identity is still keenly felt and lived, and ordinary Rwandans are well aware of who holds the levers of power. The long-term stability of Rwanda depends upon a government and ruling party that eventually shares real authority with the majority population."



source: wikileaks from US embassy in Kigali.










cc: murutongore, Koba

 
Last edited by a moderator:
Topic ni hii,wako wapi hawa ndugu zako dwanzi wewe,hilo jina lako vipi maana kule Bamako mali ndio ndugu zako wananyea debe for life sentences,unakuja kuzuga watu humu na story zako za kutunga..criminal wenzako hao hapo chini wanted by international community
rwanda_genocide_wanted_poster_2-20-03.jpg

Napenda jinsi unavyoji-expose uwezo wako wa kujadili mbele ya hadhara ya great thinkers wa JF. Inaonekana nafanya kazi yenu kuwa ngumu kweli! Now you have to justify your salary.
 
Napenda jinsi unavyoji-expose uwezo wako wa kujadili mbele ya hadhara ya great thinkers wa JF. Inaonekana nafanya kazi yenu kuwa ngumu kweli! Now you have to justify your salary.
We dwanzi unakuja hapa kuwatetea genocide convicts wenzako hapo juu na theory zako za kibwege,kama unaweza kumtetea bagosora or kambanda bora ukajisalimishe hospitali ya vichaa,na nilishakuambia nobody is taking you serious na magazeti yako labda we hu wenzako kina majeshi na rushasha
 
Mkuu inashangaza sana kuona stupidity, shortsightedness, arrogance and non sense. I can not understand why mtusi analaumiwa...kama ulivyosema hapa Tanzania kuna watusi mbona sio wabaya ni wa kawaida tu? Sitaki kutaja majina, lakini nafahamu watusi wengi ninaoweza hata kuwaita kaka zangu. Hawafit description ya "watutsi" wanaotajwa na kuchukiwa na wengine.

Kingine ambacho ni vigumu kukielewa, tunachochukia ni nini? uuaji wa Interhamwe na kufurahia na kusifu uuaji wa asie interhamwe? In the genocide, less than 1 million people died (hutus and tutsis). But in DRC more than 4 milion people have been killed.

Can a person with working brains really be happy that killings in DRC are justified and not in Rwanda?

Or is this the way that we are being forced to accept? I still believe mhutu ni binadamu, mtutsi ni binadamu. Ai laso believe muuaji ni muuaji tu, bila kujali sura yake.
 
Debate yangu ipo kwenye neno ‘genocide' sio vile vifo.
Kwa ujumla nakubali kulikuwa na genocide against Tutsis on those 100 days, kwa hiyo ili tusilumbane katika hili kuanzia sasa nitajadili nikitumia genocide exactly kama unavyotafsiri wewe ili twende sawa.
I hope,hii statement is coming from your heart kama unakubali Tutsi Genocide, ila tatizo maelezo yanayosindikiza that acceptance explain the difference:



IDADI NA TAKWIMU YA WAHANGA:


Sensa rasmi ya serikali kufanyika Rwanda kabla ya genocide ya 1994 ilifanyika mwaka 1991. Sensa hii inasema idadi ya watutsi wote Rwanda ilikuwa 596,400, au 8.4% ya wanyarwanda wote wakati huo. Hivyo logically haiwezekani uwe na vifo kuanzia 800,000 hadi millioni vya watutsi mwaka 1994, miaka mitatu tu baadae.
Sensa hii ilifanywa maalumu na serikali ya Habyarimana kumbuka, it was on the same year RPF iliposhambulia
japo serikali haikujua the exact dates lakini walijua kuna mpango wa uvamizi wa RPA,sensa ilifanywa ili kuonyesha wahutu kwamba wa Tutsi silolote kingine nikwamba wa Tutsi wengi walikuwa wameandikish kuwa ni wa Hutu kwenye ID zao, hii ilikuwa for their security manake kila mara wao ndio walikuwa the target, hivyo ilikuwa bora to be identified as a hutu more than a Tutsi, hapa nina maana kuwa kuna Wahutu walihesabiwa kuwa kama wahutu yet they were Tutsi,kwa waliokuwa Rwanda kipindi hicho wanajua kuwa kuna kipindi ID ya Hutu ilikuwa inanunuliwa:
Ukumbuke for a student to get government scholarship to join Universities, to getter better job, to join military etc, walikuwa wanaangalia wewe ni muhutu au Mtutsi and Mhutu was favored ndio maana wengi walikuwa wana prefer kuitwa Wa Hutu:




Baada ya kuingia madarakani serikali ya Kagame ilinyofoa vipengele vyote vya asilimia za wahutu na watutsi na sasa haichapishi asilimia au idadi kamili za wahutu na watutsi badala yake inachapisha idadi ya jumla tu. Yenyewe imeweka jumla ya watu 7,148,496 mwaka 1991. Source: National Institute of statistics Rwanda. Hivyo hii 8.4% unaweza kuipata kutoka vyanzo vingine huru. Vya kwangu baadhi ni hivi hapa:
Wa nya Rwanda wasasa wanapenda kuitwa wa nya Rwanda instead of Hutu and Tutsi they put the nationality mbele kwanza, ndio maana kwenye statistics hutakuta wa Hutu wangapi, sijui wa Tutsi wangapi, manake haina faida yoyote;Dhamira ya sensa is to have proper plannification na serikali ya sasa ina plan for the whole Rwandese and not a section of population:
Kama ni government scholarship unaipata kama una merit, ukipass mtihani hakuna kuangalia wewe ni kabila gani, unapata scholarship,tofauti na serikali ya zamani:


  1. "Monbiot takes issue with our claim that the "great majority of deaths were Hutu", and calls this "as straightforward an instance of revisionism as I've ever seen". But Rwanda's 1991 census estimated the Tutsi population at 600,000, and some 300,000 Tutsi survived the violence of 1994. Whether 800,000 or 1 million people perished, the great majority of deaths must have been Hutu. The standard account of the "Rwandan genocide" is monumentally flawed. We also cite a 1994 US state department memo that Kagame's forces were killing "10,000 or more Hutu civilians per month"
  2. source: the guardian uk.(hata wewe una weza kupata kazi the guardian and post your ideas as long as your CV allows you to,hivyo we cant take it as a credible source)


Tatizo sio number ya Wahutu au wa Tutsi waliouawa, kifo nikifo and we should be sorry for who ever lost his/her life:
What we are talking about is the plannification of Tutsi killings and support the killers got from the Government thus making it a Genocide,and it was good that atlast you have accepted that it was a Genocide against Tutsi:


RPF ILIKATAA MSAADA HIVYO KUFANYA GENOCIDE IENDELEE:

RPF ilikataa msaada wa UN kuleta vikosi ili kusimamisha mauaji badala yake iliendelea na mapigano ili kuteka nchi nzima. Hivyo idadi kubwa ya watu ingeweza kupona kama si tamaa ya Kagame kuwa rais.

"When the Security Council discussed sending a larger peacekeeping force to Rwanda with a broader mandate to protect civilians, the RPF feared that the force might interfere with its goal of military victory. Its leaders may have been particularly concerned that the French might use the force to protect the interim government. Instead of welcoming the move and urging speedy implementation, the RPF spokesman in Brussels opposed it and asserted that there were no more Tutsi to be saved. On April 30, Gerald Gahima and Claude Dusaidi of the RPF political bureau reiterated this position in a slightly less forceful statement which declared:
"The time for U.N. intervention is long past. The genocide is almost completed. Most of the potential victims of the regime have either been killed or have since fled."
Source: Human rights watch.

Are you saying this intentionally?au nikotujua?:
UN ilikuwa na jeshi lake Rwanda, kulikuwa na UNAMIR baada ya baadhi ya wanajeshi wa Belgium kuuawa na serikali ya Habyarimana wanajeshi wake wakarudishwa kumbuka waliwaacha raia waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi yao ETO Kicukiro, baada ya kuondoka kwao with in few minutes Interahamwe wakaanza kuwaua:
majeshi ya UN yalikuwepo yakiongozwa na Ge.Dallaire raia wa Canada, alituma report UN akionyesha kwamba what was going on was the Genocide lakini hakujibiwa, kumbuka mataifa makubwa hayakuwa na interest na Rwanda, pia walikuwa badonakumbukumbu ya Wa America waliouawa nchini Somalia hivyo walikuwa wakiogopa kutuma majeshi yao kwenye nchi za Africa:
Kumbuka tena kuwa RPF ilikuwa bado a kundi la waasi, hivyo sijui influence ambayo wangekuwa nayo ndani ya UN more than the then government of Habyarimana:

Huwezi kusema RPF ilikataa msaada wa UN wakati kikosi cha Ufaransa kilikaa mpaka vita ilipoisha:


Vile vile nadhani hakuna ubishi kuwa kuna baadhi ya FDLR walirudi na kuwa integrated na serikali ya Rwanda bila kushitakiwa. Kwa hiyo hapa napingana na ule msimamo wako kuwa "jeshi zima" lilihusika katika mauaji.

Nashukulu kwa kuimention hii, hii inadhihilisha wazi efforts za serikali kuunganisha wanya Rwanda bila kujali Kabila, wale waliokuwa intergrated ni wale ambao hawakumwaga damu za watu, baadhi yao sasa hivi ni Generals wengine ni Ministers na wengine ni raia wa kawaida tu:
 
Jibu hoja, usipanic hapa.

Nani a panic. Labda haulewi, hapa interahamwe nyingi lakini sisi hatupaparatiki hata siku moja. Sisi tuna vision moja kama nchi. Tuna dira na tunajua tunataka kwenda wapi kama nchi. Haya yote hapa ni matuta katika safari yetu ndefu. Sisi nia yetu ni moja tu. Tuondokane na umaskini ambao ndio unaoleta haya yote. Raisi wetu ni kiongozi shupavu ambae hamung'unyi wala kupepesa macho. Wananchi wote wa rwanda wanaona mabadiliko kwenye maisha yao. Kwa hiyo mimi sikatai mara moja moja kujibizana na hawa akina Jean Marie, Rushasha and Company ila mimi najua kuwa hawa hawatupotezei usingizi. Wanapiga kelele weeeee mwisho wa siku badala ya kuwasaidia watanzania waondokane na wale adui watatu wa umaskini wao wanashinda hapa wakimbeza jirani yao ambae yeye wala hana hata habari.
 
Napenda jinsi unavyoji-expose uwezo wako wa kujadili mbele ya hadhara ya great thinkers wa JF. Inaonekana nafanya kazi yenu kuwa ngumu kweli! Now you have to justify your salary.

Lol. Kazi gani? Ungekuwa unatumia muda wote huo wa kusoma na kuchambua maswala ya Rwanda kwa kutafuta ufumbuzi wa matatizo yenu huko Tanzania nadhani hata raisi wenu angekuwa ameshakutunuku medani. Bahati mbaya hapa utaambulia nothing but your wasted time and resources na watu watakuona kuwa wewe una ajenda yako binafsi ambayo tangu mwanzo nilisisitiza kuwa maandiko yako sio bure. Una personal interest ambazo i can guarantee you, will never be fulfilled in your lifetime.
 
Kama unataka watu tu argue njoo na hoja za msingi siyo huu upuuzi! Mtu anaanza kuquestion genocide ya Rwanda ana akili timamu huyo?

Kwa facts hizo, genocide ya RWANDA ni questionable especially pale ambapo inawabagua kabila la wahutu na badala yake inasisitiza kuwa ilifanyika dhidi ya watutsi tu.
 
Sasa tujuze, was this one a genocide against all Rwandan people or against Tutsis?
it was genocide of the Tutsi by Hutu. the meaning of genocide is the act of killing people who belong in a specific group be it tribe,race,religion, nationality etc with intent to eliminate/terminate that group. this is what happened in Rwanda, hutu wanted to eliminate Tutsi in Rwanda so that Rwanda would remain Tutsi free (rwanda without tutsi). this is what is known as genocide. it happened, there's enormous evidence, even courts of law have established this that the crime happened. now, according to your question, i know where you were going; if so you have any evidence that any tutsi committed genocide against hutu, then bring evidence. up until now we do not have such evidence yet and you would be the first person on earth to bring that evidence.
 
The good thing nikwamba wengi tunakubaliana kwamba hii thread haina maana, na muanzilishi ana spread hatred!
I have big respect kwa jamaa mmoja mchangiaji aliyewahi kufanyia kazi UN-ICTR najua alisikia mengi and he knows more than many of us:
Baadhi ya comments hazisaidii jamii lolote..
Comments like..Watutsi waliuwa wa Tutsi wenzao
...................Utata wa Uraia wa WaTutsi etc sometimes inakuwa vigumu kuendelea kujadiriana na mtu mwenye mawazo kama hayo:
naona bora thread isimamishwe tuu..

Mpaka hapo hoja za Jmali zinaonekana zina ukweli sana kwa sababu hata wanaoziponda hawajaweza kucome up na arguments za maana dhidi ya zile za kwake. Kama huyo bwana kutumikia UN-ICTR ilimpa kujua mambo mengi zaidi au kinyume na hoja za Jmali, anatakiwa azilete zionekana. Vinginevyo, hiyo ni kujaribu kutuonesha CV tu ambayo haiwezi kusaidia mjadala huu.
 
Mimi pia ni mtusi pure, wazazi wangu wote wamefanya kazi serikali ya Tanzania, kisheria sisi sote ni raia wa Tanzania, sitaacha kumsaidia ndugu yangu popote alipo duniani bila kujali mipaka ya nchi, kama unaona ndugu kusaidiana ni ututsi bora na iwe ivyo!

kwa hiyo ikitokea vita between tz na rwanda wewe utakuwa upande upi?
 
Back
Top Bottom