jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,012
- Thread starter
- #141
Mkuu jMali kama kusudi ni kutumia ethnicity yao, kwanini hawakuvamia Uganda yenyewe walipokuwa wanaishi?
Mimi sijui malengo yao najua yale ambayo yametokea na yanathibitika. Lakini food for thought: Museveni is a mhima, wahima wanashare ancenstry na watutsi, hawa ni ndugu moja. kagame na watutsi wenzie walipigana katika jeshi la Museveni kupindua serikali ya Uganda wakati ule, na Museveni baadae akaprovide vikosi vyake kumsaidia kupindua Rwanda. So i think hawavamii Uganda kwa sababu tayari wanatawala huko?
Lakini ningeomba tujadili yale yaliotokea ambayo yanathibitika kwanza