Mimi nataka nikuamini lakini tatizo kuna sehemu kama unajichanganya,kwa maelezo yako ni kuwa genocide ilifanywa na watutsi halafu unasema tena hero wa filamu ya hotel rwanda ambaye ni mhutu aliokoa watutsi,aliwaokoa kutoka kwenye nini au kutoka kwa nani na wao ndio walikuwa wauaji?ebu tulia na ujaribu kuja na maelezo zaidi
Wahutu walikuwa na ndio majority Rwanda (
about 84%, mwaka 2009), wakati watutsi ni around
15% na the rest ni watwa. wakoloni waliwapendelea watutsi kwa kuwafanya watawala (soma historia kwa habari zaidi). Ufalme wa kitutsi ulipinduliwa Rwanda miaka ya 1958-59. Na kuundwa mfumo wa kiserekali. Watutsi wa koo za kifalme kama kagame na wengineo walikimbilia uhamishoni kukwepa aibu ya kutawaliwa na 'watumwa' wao wahutu, wakati watutsi wengine waliendelea na maisha Rwanda kama kawaida.
Katika mfumo halali wa kidemokrasia, haikuwezekana tena na hata leo haiwezekani (ingawa kagame amechakachua obviously) given the demographics kwa serikali ya kidemokrasia kujaa watutsi kama ilivyo sasa, wakati wao ni minorities. Kwa hiyo mbinu iliyotumiwa na Kagame ni kuinstigate 'genocide', kwa kuunda jeshi la kitutsi RPA na kuvamia Rwanda kuanzia mwaka 1990 mpaka 1994. Ukitafuta habari zaidi utaona kuwa actually Habyarimana ndio alizuia wahutu wasilipize kisasi kwa watutsi kutokana na mauaji ya waasi hawa wa kitutsi. Yeye ndio alikuwa kama breki iliyozuia mauaji. Habyarimana alifikia makubaliano ya kushare madaraka na hawa 'waasi' wa RPA kupitia Arusha Accords (kama unakumbuka) for the sake of peace mwaka 94.
Sasa tatizo kwa watutsi wafalme kama Kagame likawa kama nilivyosema kuwa hawataweza kuchukua nchi nzima kurudisha ufalme wao. Katika mfumo wa demokrasia, lazima baada ya muda uchaguzi huru utafanyika na serikali itandelea kuwa ya wahutu kwa sababu simply ndio majority, kama ambavyo hapa Bongo hata wahindi wafanyaje hawawezi kuwa majority katika uongozi(rais, mawaziri, ukuu wa mikoa, ubunge, wilaya, wakurugenzi...)! Unless...they have a dictator like PK. Pia kumbuka vile vile kulikuwa na swala la Kagame kushitakiwa kwa mauaji (ambayo sijui kwa nini hayaitwi genocide against hutus, given jeshi la RPA lilikuwa la kitutsi) waliyofanya kwa miaka minne toka 1990 kutokea Uganda.
Hapo ndipo alipomtungua Habyarimana, akijua fika kuwa baadhi ya wahutu watakosa uvumilivu na kuingia mtaani kusaka just any tutsi regardless, na yeye kupata kisingizio kuwa anavamia Rwanda sasa ili kuokoa watutsi wenzie kutokana na 'genocide'. Ndio maana akaweka watu kama Robert kajuga na wenzie kuongoza na kuchochea interahamwe kuchinja watutsi wenzao huku wakijifanya wao ni wahutu ili kukoleza dhana ya genocide apate uhalali wa kuingia Rwanda. Lakini kiukweli majority ya wahutu ilikuwa kama yule bwana wa Hotel Rwanda, sio wauaji by nature! Ndio maana nikasema kuwa genocide against tutsis ni concept ya kutungwa na kagame. Kuna tofauti kati ya genocide na mass-killings (kama great thinker nenda ka-research). Ni kweli waliuawa baadhi ya watutsi na raia wa kihutu but it was never under genocide, sana sana labda kisasi tu.
Waliouawa wengi ni wahutu waliokuwa wana-defend nchi yao isipinduliwe na jeshi la kitutsi la RPA, lakini leo hii mafuvu yao yote Kagame analazimisha yawe ni ya watutsi tu ili kuendelea na dhana yake ya genocide!
Na vile vile analazimisha kuwa FDLR ambayo ni mabaki ya jeshi la serikali halali ya Habyarimana kuwa nao wote ni ma-genocidaire, badala ya kusema ukweli kuwa wao waliuwa waasi wa RPA ambao ni watutsi na sio watutsi kwa sababu ni watutsi. Ingekuwa hivyo kusingekuwa na watutsi Rwanda mpaka 1994, baada ya mapinduzi ya wahutu 1958! lakini ukweli ni kuwa watutsi waRwanda toka enzi hizo mpaka leo majority yao dunia nzima wako Rwanda! Hii inatosha kuthibitisha kuwa chuki dhidi ya watutsi ni concept ya kutungwa tu.
Rusesabagina the hero of hotel Rwanda, ndio yale yale niliyosema kuwa huyu alikuwa mhutu (tena mmoja wapo tu kati ya majority) ambaye aliwahifadhi watutsi wasiuwawe na BAADHI ya wahutu wachache wenye hasira kali. This guy was a normal Hutu, kama wahutu wengine. kagame anamchukia kwa sababu anaharibu version yake ya 'genocide'! anaonyesha kuwa kumbe hakukuwa na simply vita kati ya wahutu na watutsi, bali vita kati ya wanyarwanda (wahutu+watutsi) vs jeshi la waasi wa kitutsi toka Uganda!
Tufanye chemsha bongo: Baada ya siku 100 toka kutunguliwa kwa ndege ya Habyarimana kulikuwa na maiti milioni moja.
Kagame alikuwa na jeshi la watutsi lenye bunduki na risasi wakipigana na jeshi la Rwanda then (ambalo leo ni FDLR). How is it possible kuwa wahutu wa kawaida wameua watutsi millioni moja in that short period of time (just 100 days) wakitumia majembe na mapanga huku wamebeba watoto migongoni, mbuzi, bata, magodoro, n.k wakikimbilia ukimbizini Tanzania, Congo.. na kwingineko? Common sense ni kuwa kuua watu milioni moja in 100 days kunahitaji bunduki, na given kuwa katika kila 10 watu 8 ni wahutu. na kama wahutu ndio waliokuwa wanakimbia wauaji wa RPA under Kagame, na basi hayo mafuvu milioni majority yake ni wahutu!
Ndio maana kuhojihoji utata wa genocide unafungwa mara mbilimbili kama victoire ingabire! Na kuongea amani na FDLR kama Kikwete unatishiwa kupigwa hata kama wewe Rais!