Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Balali ametokomea huko alikotokomea bila hiyo Dual citizenship, hadi leo we are still guessing his whereabout, angekuwa na uraia wa nchi nyingine angalau tungeweza kujua hata pa kuanzishia msako wetu.
Hii sheria haijapitishwa but- my dear you will be shocked ukipewa idadi ya wabongo wenye passport zaidi ya moja, hii ina include hao vingunge unaowahofia.
 
Ahsante Kitila

Kila siku nimekuwa nikisema sababu zao za kukataa dual citizenship either ni za kitoto au zina mabaki ya ukomunisti.Mimi sasa hivi nawasikilizia tu whatever comes comes, wakitolea nje issue itabidi "wachunguzi wa mambo" washindwe uzalendo na kutafuta "blue magic" kama Denzel.
 
Wengine eti wanasema kwa vile wageni wanakuja Tanzania na kupata mafaida makubwa katika uwekezaji kwa hiyo uraia wa nchi mbili usipitishwe ili kudili na hilo kwanza. Talk about dumb excuses that have absolutely nothing to do with.....
 
Please,dont equate Dual citizenship na mambo yakitapeli. Kama hao wezi watakimbia, sisi kama nchi tunaweza ku-negotiate mikataba ya usalama ya kukamata watu (Interpol etc..etc..)

Dual will benefit watanzania wengi tu (asili as you put it) ambao wanafanya biashara, au wanatechnologia ambao wanaweza kusoma kirahisi huko na wakarudi kuwekeza kirahisi...kwasababu wachache wanaweza ku-abuse system, siyo reason enough kupinga dual.
 
Mimi binafsi sioni sababu ya kuwanyima watu fursa ya kuchukua uraia wa popote kule wanakotaka. Hakuna sababu ya msingi kabisa.
 
Bila shaka wengi tumekuwa tujiuliza nini hasa sababu ya Bunge letu kuanza mchakato wa kuwawezesha Watanzania wachache wenye nazo yaani wenye "Vijisenti" kuweza kuwa na uraia wa nchi nyingine zaidi ya hii ya sisi masikini. Bila shaka ukishakuwa na vijisenti lazima uwe raia wa UGHAIBUNI.

Swala hili limekuja akilini mwangu na nikaja kugundua kwamba hawa mamilionea watanzania wenzetu sasa wanataka kutumaliza kisha kukimbilia nje ya nchi. Katika hali isiyo ya kawaida hoja hii haikuwa na msingi wowote kiasi cha kumaliza siku kadhaa ndani ya bunge letu. Ila kulikuwa na kitu ninachoweza kukiita sherehe ya KUIGAWA TANZANIA. Baada ya kuchuma na kuridhika au kufikia hadhi ya kuwa ni mkaazi wa Ulaya na Marekani bila kusahau Asia na kwingineko bunge letu lilikubali kujadili mambo ambayo hayakuwa na manufaa kwa wananchi. ""URAIA WA NCHI MBILI""

Tujaribu kugusa hasa kwa undani faida na hasara ya mfumo kama huu, kwa watanzania waliowengi hakuna faida lakini kwa wale ambao ni walengwa na ambao ndiyo walioleta hoja hii hili lina manufaa sana kwao. Tuelewe kwamba kuwa raia wa nchi fulani huhitaji visa kwenda na mara ukisha kuwa katika nchi uliyopo.

SISI WATANZANIA BAADA YA KUGUNDUA KWAMBA VIONGOZI WETU HAMPO KWA AJILI YA MASLAHI YA TAIFA NA KWA KUWA TAYARI MMEPITISHA RASIMU AU MSWADA HUU WA KUWAWEZESHA HAWA MAFISADI KUWEZA KUHAMA NCHI WATAKAVYO; TUAMUOMBA MHESHIMIWA RAISI ASISAINI SHERIA HIYO.

Bubu,

Inaekekea hata huelewi uraia wa nchi mbili unahusu nini. Pia lazima niweke wazi kwamba mimi ni katika wale wanaoweza kufaidika na uraia wa nchi mbili
ila nimeamua sitatumia hiyo nafasi.

Tuje kwenye hoja, wale wenye pesa au nafasi hawahitaji uraia wa nchi mbili. Kwao kutoka na kwenda sehemu si kazi kubwa. Ukiwa na pesa dunia hii unaweza kwenda kokote unakotaka.

Uraia wa nchi mbili utasaidia Watanzania mbalimbali ambao kwa njia moja ama nyingine wamejikuta wameishi sana kwenye nchi zingine mpaka kuwa na haki ya kuwa raia kwenye hizo nchi. Hili kundi mara nyingi ni la Watanzania wa kawaida kabisa, wanaohangaika usiku na mchana kujijengea maisha yao na maisha ya ndugu zao kule TZ.

Katika uraia wa nchi mbili sehemu mbalimbali duniani, unaruhusiwa kushiriki kwenye mambo mbalimbali ya nchi kama biashara, kazi na mengineyo lakini sio kazi za siasa. Kutakuwa na kipengere kinachokataza wenye uraia wa nchi mbili kuwa viongozi wa siasa, kwahiyo hilo wazo la kwamba hao viongozi watapata nafasi ya kutorosha pesa kwasababu ya uraia wa nchi mbili, ondoa kabisa.

Hata huku nje, kupata uraia sio kazi rahisi. Chukulia kama UK, unahitaji miaka 6 ya kukaa UK, kati ya hiyo mitano uwe na indefinite lieve to remain. Ukiwa mwanafunzi au mtu wa ubalozi, hiyo miaka haihesabiwi. Sasa ni Watanzania gani wanaweza kuwa na hizo ILR? Utakuta sehemu kubwa ni wakimbizi, unaweza kuita waliojilipua na wale waliokuja kufanya kazi. Wale walioanza kuwa na work permit. Makundi hayo mawili na familia zao ndio wengi wana ILR na hivyo wana ura au haki ya kupata uraia.

Je katika makundi hayo mawili, kuna viongozi au watoto wao? Mpaka mtu anajilipua, jua ni mtu wa kawaida tu. Watoto wa viongozi wakimaliza kusoma Ulaya wanafunga virago haraka haraka maana wazee wao watawabeba kule nyumbani, kwahiyo hata kwenye wale wenye work permit, utakuta watoto wa vigogo watakuwa wachache sana.

Uraia wa nchi mbili utasaidia Watanzania wa kawaida mno, walio wengi ni watu ambao wamehangaika kweli huku nje mpaka kupata hiyo nafasi. Kwanini wapoteze hii added advantage? Mimi naunga mkono na miguu hili wazo, kwanza tumechelewa sana hata kwa bunge kuanza kulijadili.
 
Bubu umeongea leo...si mchezo inawezekana wamefikiria ili kujenga mazingira ya wao kutoroka kwa urahisi wakishatupiga bao ni kuwa na huo dual-citizenship maana wanajua kabisa wakichota wakabaki bongo patakuwa hapatoshi lazima tule nao sahani moja. Hapo ndipo wakati mwingine bunge letu linaponitia kichefuchefu kushabikia mambo ya hovyo kama hilo. Nadhani wengi wa mafisadi lazima wata-support tu hilo wazo la dual -citizenship. Mungu awalaaani kabisa

Mkuu,

Kwa taarifa tu, uraia wa nchi nyingine hauuzwi kama njugu, labda kwa Tanzania ambako mafisadi wanauza kila kitu. Ila Watanzania asilia usitegemee
wachomoke hapo hapo na kupata uraia nchi nyingine, sio rahisi kiasi hicho.

Pili ukiwa na uraia sema TZ na UK, ukifanya makosa TZ, basi uraia wako wa UK hauwezi kukulinda na wala hata ubalozi wa UK hauwezi kuingilia kati. Hivyo hivyo ukifanya makosa UK, Tanzania haiwezi kukulinda. Hayo ndio makubaliano kwenye uraia wa nchi mbili.
 
JK alidhamiria kuanzisha mambo yafuatyo

1.Gaezti la HabarLeo
2.Dual
3.Kadhi Mkuu na Mahakama

Sasa katika yote kafanikiwa kagazeti tu .Ndiyo mafanaikio pekee. Dual lazima apotishe hatajali madhara lakini siku naingia madarakani mimi nitafuta hiyo .Ni hatari sana kwa Nchi yangu kwa muda huu .Hakuna faida hata moja .Walisema wawekezaji , leo tunalia sana .

So tegemeeni sahihi ya JK kwa hili .
 
JK akipitisha dual ndiyo itakuwa legacy yake, kitakuwa ndiyo kitu pekee cha maana alichofanya so far, possibly in all his years.
 
JK alidhamiria kuanzisha mambo yafuatyo

1.Gaezti la HabarLeo
2.Dual
3.Kadhi Mkuu na Mahakama

Sasa katika yote kafanikiwa kagazeti tu .Ndiyo mafanaikio pekee. Dual lazima apotishe hatajali madhara lakini siku naingia madarakani mimi nitafuta hiyo .Ni hatari sana kwa Nchi yangu kwa muda huu .Hakuna faida hata moja .Walisema wawekezaji , leo tunalia sana .

So tegemeeni sahihi ya JK kwa hili .

Sitashangaa mtu akisema Lunyungu tayari ana uraia wa nchi zaidi ya Tanzania kwi kwi kwi!!!. Hiyo kuzunguka kwake kote anafanikiwa vipi na hilo gamba la TZ tu?

Si ajabu hawa ndio wanaopinga ili kusiwe na sheria na waendelee kufaidi kimya kimya huku na huku.

Mkuu nina wasiwasi na hayo magamba yako maan mara TZ, mara UK, mara Holland, unawezaje kufanya hayo yote wakati hata siku moja hatukoni ukipanga foleni kwenye hizo balozi?
 
Uraia wa nchi mbili safi sana!Wanaopinga wanawasiwasi na madhara tu au wanafahamu na faida zake?Vijue vyote halafu viweke kwenye mzani.
Nani kasema mtu akiiba/uharifu akiwa raia wa nchi nyingine ashughulikiwi,anafuatwa hukohuko(interpol).
Kama kuiba mbona waniba sasa sana tu.
 
Uraia wa nchi mbili hasa za Ulaya kama hao mafisadi watauchukua itakuwa bomba sana, maana nchi kwa mfano kama Ujerumani hata ukitoa rushwa nchi nyingine wao wanakuchunguza kuanzia hukuhuku, kuna mameneja wa Siemens hata Rushwa hawakuchuka wala kutoa, ila walijua kampuni yao imetoa rushwa nigeria ili kupata tenda leo hii wanasota ndani.

Marekani vile vile raia wao akitoa rushwa nje kuna sheria za kuwabana wakiwashika. Huko hata watu wazito huwa wanawaweka ndani kama wamehusika na rushwa sio nchi zetu mtu hata akiuza nchi watu bado wanamchekea na kumuita muheshimiwa.
 
10/10 mkuu
watu wanashindwa kuelewa hata Chenge kajiuzulu sababu ya UK nawala sio Raia wao.
Watu tunashindwa kuelewa ktk dili la radar ni TZ ama UK waliokula hasara?? mbona uk wanalivalia njuga.

Na amani iwe kwenu watanzania Hakuna fisadi atakayeepuka mkono wa sheria kama ana DUAL na ulaya ama marekani labda awe na DUAL na KENYA ama CONGO DRC ama Nigeria.

Hii kitu ni Safi sana kwa uhai wa uchumi wetu .Ni wakati wa grobal tusijifungie ndani wakati wengine wanafaidi dunia.
 
Yaani jamani mnaopinga uraia wa nchi mbili kweli hamwelewi kitu. Hivi unafikiri mtu akitaka uraia wa nchi nyingine za ulaya au marekani "anapata tu" hivi hivi??? Ni lazima zipitiwe hatua mbalimbali na ndefu ili kufikia hapo, (and mind you...hakuna rushwa kama tulizozizoea Bongo), na hata kama ukutimiza hatua na kuwa na sifa zote, pia waweza kunyimwa uraia. For example...remember, the Egyptian born multimillionaire Mohamed Al-Fayed has not aquired UK citizenship as we speak!

So please, hizo agenda zenu na roho za korosho mziache. Thanks.
 
MMh! This is entertaining! Kazi Ipo!
 
Tanzania kwasasa hatuko Tayari kwa Dual citizenship na sababuza kimsingi Tunazifahamu.MIMI BINAFSI NINAKAA DIASPORA LAKINI NINAPINGA KABISA DUAL CITIZENSHIP
KWA WALE TUNAOIPENDA TANZANIA NA TUNAPENDA KUIONA INAFIKA MBALI LAZIMA TUKUBALIANE NA NICHOKISEMA SASA NA TUACHE UBINAFSI.

SOLUTION

SEREKALI IANZISHE VISA MAARUMU KWA AJILI YA WATANZANIA WA DIASPORA AMABAO WAMESHAZIKANA PASSPORT ZA TANZANIA AU HAWAJAWAHI KUZIPATA, VISA HII ITAKUWA YA MDA MREFU MFANO MIAKA KUMI NA BAADA YA HAPO INAWEZA KUWA RENEWED WITH THE SAME TIME AND THIS PROCESS CAN BE REPEATEDLY .

VISA HIYO ITAWARUHUSU KUPATA BASIC RIGHT WHICH IN THE FUTURE WE CAN HAVE A POINT SYSTEM TO EVALUATE YOUR INVOLVEMENT IN DEVELOPMENT OF TANZANIA, ONCE YOU SCORE ENOUGH WE MIGHT GRANT YOU A PERMANENT RESIDENCE
.

HII NDIO SOLUTION PEKEE LA SIVYO NCHI ITAUZWA VERY SOON KAMA UNAVYOJUA NA VIZAZI VIFO YETU ALIVYO CORRUPT UTASHANGAA HADI BUSH ALIZALIWA TANZANIA
 
Yaani jamani mnaopinga uraia wa nchi mbili kweli hamwelewi kitu. Hivi unafikiri mtu akitaka uraia wa nchi nyingine za ulaya au marekani "anapata tu" hivi hivi??? Ni lazima zipitiwe hatua mbalimbali na ndefu ili kufikia hapo, (and mind you...hakuna rushwa kama tulizozizoea Bongo), na hata kama ukutimiza hatua na kuwa na sifa zote, pia waweza kunyimwa uraia. For example...remember, the Egyptian born multimillionaire Mohamed Al-Fayed has not aquired UK citizenship as we speak!

So please, hizo agenda zenu na roho za korosho mziache. Thanks.
Samahani Yunic sisi JF hatuna matatizo na kusema tunachoona ni kitu wazi kukijadili mada hii siyo sahihi ya JK kuhusu Dual citizenship ni mjadala tu. Wengi wetu hatukupata fursa ya kusikiliza mijadala Bungeni, kwa hiyo kwakuwa JF ni zaidi ndiyo maana wengi tunaelimika na maoni ya wale wanaochangia. Ukiwanyamazisha utakuwa umekiuka ile slogan ya JF isemayo "Where we Dare to Talk Openly" Tupe nafasi.
 
Mbona hutoi sababu yoyoye? Mimi kwa mawazo yangu Dual citizenship haina ubaya na ni ya lazima. Tukisema hatuko tayari toa sababu za kutokuwa tajari na utoe sababu watanzania watakosa nini kutokana na dual!!. Watanzania wanaofanya kazi nje na watoto wa kitanzania wanaozaliwa huku nje si wafisadi. Kisheria kwa sasa mtoto wako akizaliwa nje ya nchi na moja kwa moja ni raia wa nchi nyingine hawezi kurithi nyumba yako kisheria hata kama ukionyesha documents kwamba wewe ni mzazi sasa hii sheria inamsaidia vipi Mtanzania?. Itafikiwa wakati Watanzania watashidwa kuzikwa kwao kwasababu ya wanasiasa. Mawazo haya hayaja angalia mbali.
 
Swala la kuiba Watanzania wanaokaa ugaibuni wataleta pesa nyumbani na sababu ya kutaka kuwa dual si kuiba kwa ndugu zao na nchi yao ambayo ni ya tatu kwa umasikini duniani!. Wezi ni wanasiasa watanzania wakawaida ni wazalendo na hii website ni mfano mzuri wa watanzania wa nje.
 
Back
Top Bottom