Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

ni kweli kila kiongozi anaangalia maslai yake binafsi na si ya watanzania, tuwe makini katika hili kwani hali ya hatari katika taifa letu
 
inakuaje viongozi wanajinufaisha wenyewe bila kuangalia hali za watu waliowachagua
 
Tanzania kwasasa hatuko Tayari kwa Dual citizenship na sababuza kimsingi Tunazifahamu.MIMI BINAFSI NINAKAA DIASPORA LAKINI NINAPINGA KABISA DUAL CITIZENSHIP
KWA WALE TUNAOIPENDA TANZANIA NA TUNAPENDA KUIONA INAFIKA MBALI LAZIMA TUKUBALIANE NA NICHOKISEMA SASA NA TUACHE UBINAFSI.

kwa mara ya kwanza nimeona mtu kutoka nje ameliona hili,hii inaleta matumaini kuna watu ambao tumewaacha nje bado wana uzalendo na nchi yetu ya Tanzania,heshima kem kem kwako mheshimiwa,naunga mkona vita yako thidi ya ubinafsi,sijui hiii ni aina gani ya ufisadi
 
SEREKALI IANZISHE VISA MAARUMU KWA AJILI YA WATANZANIA WA DIASPORA AMABAO WAMESHAZIKANA PASSPORT ZA TANZANIA AU HAWAJAWAHI KUZIPATA, VISA HII ITAKUWA YA MDA MREFU MFANO MIAKA KUMI NA BAADA YA HAPO INAWEZA KUWA RENEWED WITH THE SAME TIME AND THIS PROCESS CAN BE REPEATEDLY .

VISA HIYO ITAWARUHUSU KUPATA BASIC RIGHT WHICH IN THE FUTURE WE CAN HAVE A POINT SYSTEM TO EVALUATE YOUR INVOLVEMENT IN DEVELOPMENT OF TANZANIA, ONCE YOU SCORE ENOUGH WE MIGHT GRANT YOU A PERMANENT RESIDENCE
HII NDIO SOLUTION PEKEE LA SIVYO NCHI ITAUZWA VERY SOON KAMA UNAVYOJUA NA VIZAZI VIFO YETU ALIVYO CORRUPT UTASHANGAA HADI BUSH ALIZALIWA TANZANIA

Leokweli,
  1. Ni vema umejieleza maoni yako lakini ingekuwa vema zaidi kama hizo sababu ulizosema zinafahamika ungeziweka hadharani ili zieleweke maana inawezekana wengine hatuzifahamu.
  2. Pia ingekuwa vema ukatumia neno 'mimi' badala ya kujumuisha Watanzania wote kwani wapo wengi wenye mawazo tofauti na suala la Duality.
  3. Hapa naambatanisha ripoti iliyofanyiwa kazi na Legal Reform Commision ya TZ chini ya Jaji Mweisumo kuangalia hili suala, maslahi na hasara zake kitaifa. Isome itakusaidia kulielewa vema. Pia unaweza kuwatembelea kwenye ofisi yao ya mtandaoni.

  1. Baadhi ya vidokezo vya hiyo ripoti ni hivi vifuatavyo;http://www.lrct-tz.org/projects.html

3.1.4. Dual Citizenship by Default
It occurs when a person is naturalised elsewhere without the knowledge
or approval of the country of origin. Under such circumstances s/he might
be considered by his/her country of origin to still retain his/her original
citizenship. Dual citizenship by default may also occur if the country of
original citizenship is not notified that another citizenship has been
acquired. Under such circumstances, both citizenships may be
maintained or officially documented. It is believed that there are may be
such cases even in Tanzania.
Recently, the Indian Parliment passed a Bill26 to approve and grant dual Citizenship to people of Indian origin
The Indian Government argues that persons of Indian origin have settled in more
advanced countries of the world and they have skills and expertise in vital
sectors. Therefore, the facility of dual citizenship would foster development in
these sectors by way of investments and transfer of skills and resources. The
need for people living abroad to build emotional and cultural bonds with their
Indian counterparts at home will now be strengthened and will facilitate the
diaspora’s contribution in India’s social and economic development.
 
Attachments

kwa mara ya kwanza nimeona mtu kutoka nje ameliona hili,hii inaleta matumaini kuna watu ambao tumewaacha nje bado wana uzalendo na nchi yetu ya Tanzania,heshima kem kem kwako mheshimiwa,naunga mkona vita yako thidi ya ubinafsi,sijui hiii ni aina gani ya ufisadi

Hii nayo ni problem. yaani mtu akiunga mkono hoja ya kuwa na urai wa nchi mbili anakuwa hana "uzalendo na nchi yetu Tanzania"? Kwa nini usijenge hoja bila kupachika watu wengine majina au kuwapora uzalendo watu wanaopingana na maoni yako? Kuna watu chungu nzima Tanzania ambao wanapinga uraia wa nchi mbili ambao tumeshuhudia wakiipora nchi mapesa na kuyahamishia nje. In short, there is no correlation between supporting or objecting to dual citizenship and patriotism. You don't become more patriotic by staying in Tanzania for ever neither do you necessarily become less Tanzanian or less patriotic by spending some or most of your time outside the country.

Please give us your reasons for objecting to the idea of dual citizenship without labelling those who support it unpatriotic.
 
wajameni mbona nasikia baadhi ya wana mtandao wana uraia wa nji mbili? pia tulisikia kuwa baadhi ya viongozi wa nji hii pia wana uraia wa nji nyengine pia? kama tunamkumbuka Mh mmoja alikuwa waziri wa madini wakati wa Mwalimu naye alipoondoka uwaziri alimalizikia Canada, au huu uraia wa nji mbili ni mgumu tu kwa walala hoi?
 
Kweli ni dhana potofu kua tunaoishi tanzania kwa sasa ndio tunauzalendo zaidi ya wale walio nje.

wakati mwingine wenda wanaoishi nje ndio wanauzalendo zaidi maana duuu mtu anabeba mabox usiku na mchana kucha ama anapinda mgongo kuchuma stawbell harafu kapesa anakokapata anakagawanya kuhamasisha kuitangaza tanzania ktk utalii na uwekezaji harafu baada ya kupatikana hiyo fedha mafisadi wachache wanaoijita tunauchungu na nchi yetu maana tunaishi hapahapa mda wote wanazipeleka ugaibuni.

Swali !!ni wangapi tunaoishi hapa tanzania wananchi wa kawaida tumeshiriki moja kwa moja mfano kutangaza utalii na uwekezaji tofauti na serikali???

Jamani si tunaiona INDIA inavyokuja kasi moja ya sababu yao ni hii DUAL nani hajui wahindi wakichuma kokote kule wanaenda kwao kuendeleza??

Hii DUAL ni faida ya watanzania kufaidika kuliko mbali sana watu wamataifa mengine kufaidika na tanzania Tujikumbushe Tanzania ni nchi masikini ya tatu kutoka mwisho DUNIANI
 
Ukiangalia Nchi zinazapromote Dual nationality na kufaidika na Huo utaratibu utagundua ni nchi ambazo ziko mbele ki technlogia na pia zina sitimulate rentation ya more professional kukidhi mahitaji yao ya kitekinologia.

Tanzania kwasasa haiku Tayari kwa Dual nationalit y na sababu yangu kuu amabyo itazaa milioni ya sababu ni hii

1. Ni miaka michache tangia tumeanza kureform uchumi wetu ,kwa hali hii inamaanisha kwamba polices zetu nyingi zina loopholes nyingi sana kiasi kwamba uanzishwaji wa dual nationality hautaifidisha asilimia kubwa ya Watanzania na Watu wabaya watachugua advantange mabyo inaweza kuja kucost amani kutokana na matabaka yatakoyokuwa yametengenezwa..

Mwalimu Nyerere alionya na akasema “mikopo mingi tunatokopa Ila walipaji ni kina mama vijijini na mikopo inatumika kunufaisha watu wa mijini kwasababu hela zote za mikopo zinatuka mijini, ila tunapolipa tunahitaji mazao ya mwankijiji ili kupata foreign money tu repay our debt”

Tumekuwa tukifanya kosa hili kwa miaka mingi na ninadhani tunataka kuli expand kwa kuruhusu loopholes amabyo itatupa faida ndogo kuliko hasara na tena watu wa mijini tutaendelea kufaidi wakati watanzania wenzeturu wa kijijini amabo hawatakuwa na mahali pa kukimbilia wakitaabika wakati hili swala linatutokea puani mwisho tafadahli msiangalia manufaa ya watanzania wachache na kusahau future ya nchi

Mfano wa loopholes moja ni “ Tanzania Investment Act “ Ukiingalia baada ya miaka kumi na tano ninaamini watu waturidi hapa hapa jambo forums kuiponda , kwasasbabu kwa hali halisi ya Mtanzania ni vigumu sana kubenift nab ado matunda yake hajawanufaisha watanzania tu the extent we expected lakini ninajua watu wataishadadia na ni wa mijini tu.
 
wajameni mbona nasikia baadhi ya wana mtandao wana uraia wa nji mbili? pia tulisikia kuwa baadhi ya viongozi wa nji hii pia wana uraia wa nji nyengine pia? kama tunamkumbuka Mh mmoja alikuwa waziri wa madini wakati wa Mwalimu naye alipoondoka uwaziri alimalizikia Canada, au huu uraia wa nji mbili ni mgumu tu kwa walala hoi?

Jamaar katumikia TZ uhai wake wote mpaka alipozeeka na kuachwa akihangaika kama walivyoachwa akina Apiyo, ndugu zake wakamchukua na kumpekea Canada, mnamwona huyo mzee kama hakuwa na uzalendo?

Huyo mzee alikuwa na uchungu na TZ kuliko sisi wengi tuinaopiga kelele hapa leo.
 
Kwangu mimi Nchi ni kama mama au baba aliyenizaa. Anapaswa kuwa mmoja tu. Mengine yote nitayapata kwa ziada.
 
Jamaar katumikia TZ uhai wake wote mpaka alipozeeka na kuachwa akihangaika kama walivyoachwa akina Apiyo, ndugu zake wakamchukua na kumpekea Canada, mnamwona huyo mzee kama hakuwa na uzalendo?

Huyo mzee alikuwa na uchungu na TZ kuliko sisi wengi tuinaopiga kelele hapa leo.

Amir Jamal alikuwa mzalendo kwa maana halisi.Hata alipoachwa hivi hivi bila mustakbali wa maana kimaisha, maskini ilibidi ndugu wamchukue na huko mauti yalimkuta.Siku hizi waziri gani wa fedha atakuwa hoi bin taabani?

Turudi kwenye mada sasa.wahindi walioko kwenye diaspora wameifanya nchi yao kupiga hatua kubwa katika uchumi wao na wengi sasa wana dual citizenship.Tatizo la kutokuwa wazalendo halisi kwa kuwa na uraia wa nchi mbili ni la watu wenye mawazo ya kurudi nyuma.Unaweza kuwa na uraia wa mareakani na wakati huo huo ukwa unahold uraia wa Tanzania lakini ukawa Mzalendo wa Tanzania kwa kuwekeza katika nchi na kuchangia pato la taifa.

Kwa kuwa suala hili ni zuri na litaleta changamoto katika maendeleo ya nchi yetu naunga mkono kwamba JK atie sign mara moja.
 
Ukiangalia Nchi zinazapromote Dual nationality na kufaidika na Huo utaratibu utagundua ni nchi ambazo ziko mbele ki technlogia na pia zina sitimulate rentation ya more professional kukidhi mahitaji yao ya kitekinologia.

Tanzania kwasasa haiku Tayari kwa Dual nationalit y na sababu yangu kuu amabyo itazaa milioni ya sababu ni hii

1. Ni miaka michache tangia tumeanza kureform uchumi wetu ,kwa hali hii inamaanisha kwamba polices zetu nyingi zina loopholes nyingi sana kiasi kwamba uanzishwaji wa dual nationality hautaifidisha asilimia kubwa ya Watanzania na Watu wabaya watachugua advantange mabyo inaweza kuja kucost amani kutokana na matabaka yatakoyokuwa yametengenezwa..

Mwalimu Nyerere alionya na akasema “mikopo mingi tunatokopa Ila walipaji ni kina mama vijijini na mikopo inatumika kunufaisha watu wa mijini kwasababu hela zote za mikopo zinatuka mijini, ila tunapolipa tunahitaji mazao ya mwankijiji ili kupata foreign money tu repay our debt”

Tumekuwa tukifanya kosa hili kwa miaka mingi na ninadhani tunataka kuli expand kwa kuruhusu loopholes amabyo itatupa faida ndogo kuliko hasara na tena watu wa mijini tutaendelea kufaidi wakati watanzania wenzeturu wa kijijini amabo hawatakuwa na mahali pa kukimbilia wakitaabika wakati hili swala linatutokea puani mwisho tafadahli msiangalia manufaa ya watanzania wachache na kusahau future ya nchi

Mfano wa loopholes moja ni “ Tanzania Investment Act “ Ukiingalia baada ya miaka kumi na tano ninaamini watu waturidi hapa hapa jambo forums kuiponda , kwasasbabu kwa hali halisi ya Mtanzania ni vigumu sana kubenift nab ado matunda yake hajawanufaisha watanzania tu the extent we expected lakini ninajua watu wataishadadia na ni wa mijini tu.

Kwangu mimi bado naona hoja hizi ni dhaifu.
wataalamu wameshatuelea uraia huupati kama kuokota njugu labda uwe mchezaji wa mpira maridadi ama mtoka baruti ktk mbio.

wewe angalia kimbembe cha tu kupata VIZA ije iwe uraia thubutuu

Hakuna cha loopholes hizi loopholes unazoziita ndizo zinawapa loopholes mafisadi waifilisi nchi.
Mimi kwa kweli bado nashangaa kwanini tunajifanya kuogopa DUAL hasa tukihofia nchi za magharibi walakini kiuhalisia ndio wanaotuambia tufanye nini hao ndio viongozi wa DUNIA wa kwetu ni vilanja na kaka mkuu.

Leo wakitaka chochote kutoka tanzania wanachukua ,chochote tunachosema tunahofia wakitaka wanachukua,chochote wakitaka rais wetu afanye lazima afanye ,wakitaka fulani awe Rais na anakua

Hivyo sheria tulizonazo haziyazuii mataifa ya magharibi kufanya yatakavyo ila yanazuia tu grupu la watanzania

hiyo DUAL ni kwaajiri ya watanzania haina cha kufanya ktk western countries maana wao muwenayo msiwenayo DUAL
BUZWAG wanachimba,GEITA wanachimba,KAHAMA wanachimba,mwanadui wanachimba RADAR mtanunua na misaada ktk bajeti yetu tutawaomba ,SERENGETI watatembelea ,KIRIMANJARO watakwea ,wakati mimi hapa ni km 50 kwenda serengeti sijawahi kuitembelea zaidi ya kupita kwa kasi na BUNDA BUS , kirimanjaro ndio kabisa zaidi ya kuisoma ktk jogrofia darasa la nne.
 
" uliyotaja hapo juu ni udhaifu wetu, na ndio mambo ya kimsingi amabyo bunge letu tukufu linatakiwa liyakaliwe na yawe sawa na si kuongeza udhaifu mwingine, Huwezi kutibu udhaifu kwa kuongeza udhaifu"
 
Ukiangalia Nchi zinazapromote Dual nationality na kufaidika na Huo utaratibu utagundua ni nchi ambazo ziko mbele ki technlogia na pia zina sitimulate rentation ya more professional kukidhi mahitaji yao ya kitekinologia.

Hii si kweli, kapitie vizuri sources zako za information

Tanzania kwasasa haiku Tayari kwa Dual nationalit y na sababu yangu kuu amabyo itazaa milioni ya sababu ni hii

1. Ni miaka michache tangia tumeanza kureform uchumi wetu ,kwa hali hii inamaanisha kwamba polices zetu nyingi zina loopholes nyingi sana kiasi kwamba uanzishwaji wa dual nationality hautaifidisha asilimia kubwa ya Watanzania na Watu wabaya watachugua advantange mabyo inaweza kuja kucost amani kutokana na matabaka yatakoyokuwa yametengenezwa..

Hao wanaochukua mapesa ya tanzania na kuhatarisha amani ya nchi wanatumia nini?

Mwalimu Nyerere alionya na akasema “mikopo mingi tunatokopa Ila walipaji ni kina mama vijijini na mikopo inatumika kunufaisha watu wa mijini kwasababu hela zote za mikopo zinatuka mijini, ila tunapolipa tunahitaji mazao ya mwankijiji ili kupata foreign money tu repay our debt”

Hili linahusiana vipi na hoja ya msingi hapa!

Tumekuwa tukifanya kosa hili kwa miaka mingi na ninadhani tunataka kuli expand kwa kuruhusu loopholes amabyo itatupa faida ndogo kuliko hasara na tena watu wa mijini tutaendelea kufaidi wakati watanzania wenzeturu wa kijijini amabo hawatakuwa na mahali pa kukimbilia wakitaabika wakati hili swala linatutokea puani mwisho tafadahli msiangalia manufaa ya watanzania wachache na kusahau future ya nchi

Hao kina Chenge, Rostam, Karamagi, Mramba, Mgonja mbona ni wezi na majambazi makubwa bila sheria ya uraia?!

Mfano wa loopholes moja ni “ Tanzania Investment Act “ Ukiingalia baada ya miaka kumi na tano ninaamini watu waturidi hapa hapa jambo forums kuiponda , kwasasbabu kwa hali halisi ya Mtanzania ni vigumu sana kubenift nab ado matunda yake hajawanufaisha watanzania tu the extent we expected lakini ninajua watu wataishadadia na ni wa mijini tu.

Hili linahusiana vipi na hoja ya msingi?!
 
" uliyotaja hapo juu ni udhaifu wetu, na ndio mambo ya kimsingi amabyo bunge letu tukufu linatakiwa liyakaliwe na yawe sawa na si kuongeza udhaifu mwingine, Huwezi kutibu udhaifu kwa kuongeza udhaifu"

Huwezi pia kutibu udhaifu kwa kutofanya chochote!
 
Dual Citizenship ni issue yenye mvutano!(1) Ukubalianaji ama (2)upingaji wake hutegemea na (3)mitizamo na uwakilishi pamoja na (4)reality!

1)Ukubalianaji ni kwa wale ambao wako nje ya nchi na wana uraia wa nchi nyingine!

Hawa hawawezi kuwekeza tena nchini mwao kama raia. Wanachukuliwa kama raia wa kigeni.

2)Upingaji pia inategemea na mtizamo wako.

3)Therefore kimtizamo kuna wanaodai kuwa mafisadi watanufaika!

Hilo halina nguvu kwasababu bado kuna makubaliano kati ya nchi na nchi kuhusiana na vita dhidi ya corruption na mambo yote ya kifisadi dhidi ya wananchi.

3)Reality hapa ni kuwa sasa tumeingia ama tumejitosa wazima wazima kwa style yetu ya "Full Kujiachia" Kwenye mfumo huu brutal wa ubepari!

Tatizo kubwa kwa wale wengine wanaopinga ambao sababu yao inabidi iangaliwe ni ile ya freedom of movement na uwekezaji kutoka kwa wenzetu ambao hawatakuwa na vizuizi vya aina yoyote ile hence providing them with an upper hand in leau of the citizens!

Kutokana na asilimia kubwa ya wananchi wetu kukosa elimu..then sitoshangaa ukoloni wa namna moja ama nyingine ukarudi!

Ni muhimu tuchague viongozi ambao wataweza kuwaandaa wananchi na mtafarauku huu badala ya kuwaibia na kuwaacha wajifie kwenye nchi yao Tajiri.

Tumeona mfano wa freedom of movement kwenye ushirikiano wetu na wenzetu wa East Afrika ie Wakenya. Wabongo tumefunikwa kwenye sekta nyingi tu kwenye uajiri in leu of Wenzetu nafikiri sometimes kwa vigezo vya vitu kama lugha!

Ushauri wangu binafsi ni Tuwe na Dual citizenship lakini baada ya mjadala wa kutosha!
 
the bottom line, kuwa na uraia wa nchi mbili hahusiani hata kidogo na maendeleo ya nchi bali uhusiana na maendeleo ya mtu husika. Hata hivyo, kutokuwa nao hauhathiri maendeleo ya nchi wala hamuathiri asiyekuwa nao. Je uraia wa kuwa Mtanzania na Mkenya unafaida gani? au Mtanzania na Mmsumbiji? Of course, uraia wa namna hiyo unaozungumziwa zaidi ni ule wa Mtanzania/Mmarekani, Mtanzania/Mwingereza nk n.k

Let me think of this a little bit more.. that is my first reaction.. nikifikiri zaidi I might come with some interesting ideas

Uncle:

Hapo umechemsha. Tanzania imeingia mikataba na nchi mbalimbali jirani ambao wanaweza kuja kufanya kazi bila visa. Kwa mfano wakazi wa jumuia ya afrika mashariki.

Kati ya nchi hizi zipo zinazoruhusu uraia wa nchi mbili. Hivyo raia wa Marekani anaweza kuchukua uraia wa Kenya. Na kutumia uraia wa Kenya kuja Tanzania na kufanya investment akitumia uraia wa Kenya. Na akitaka kujenga nyumba au vitu vingi atajenga Kenya kwa sababu ni raia kule.

Ujenzi wa nyumba pekee yake utatoa ajira kwa watu na hapo atalisaidia jingine na sio Tanzania.

Mjadala mzima inaonekana ni kwa watanzania walio nchi kuomba wa nchi zingine.

Lakini vilevile sheria ya uraia wa nchi mbili unaruhusu wasio Tanzania kuomba uraia wa Tanzania bila kupoteza uraia wa nchi zao na katika mazingira hayo tunakuwa BIG TIME Loosers.
 
Back
Top Bottom