ur proffessional please!

niko Rombo mashati kazi yangu kutengeneza pombe aina ya mbege kama una hitaji kwa ajili ya sherehe unaweza nitafuta pia kwa rejareja inapatikana kitochi kimoja jero
 
kwa msisitizo ninaishi kwa bi' manyau tandale kwa ali maua,ukihitaji paka aina yeyote niPM tu,awemweusi,mwenye jicho moja,mwenye mimba,paka zeruzeru,we nipe oda tu.

nahitaji paka wa kizungu anayejua kuendesha baiskeli...
 
Mganga wa kienyeji ukitaka dawa ya kumpata Bishanga na mihela yake nitafute au Asprin awe wako wa milele nione
Au ukitaka kwenda kuiba na usikamatwe just nipm tuu dawa ya kumwaga
Halafu Baba V kumbe wewe ndo unayecheat na watoto wetu nakufungulia kesi kwa mwanasheria ruta au Judgment
 
Last edited by a moderator:
Me Jambazi kama una dili yeyote ni-PM tu au kama unahitaji silaha ya aina yeyote kama AK 47, SMG, gobore nkomogho, nati, rungu just call me.

Pia najishughulisha na wizi wa ng'ombe ofisi zangu ziko Sirari, Magena, Nyamwaga,Nyamongo na Kurutambi
 
nahitaji nuke bomb :gossip:
 
niko Rombo mashati kazi yangu kutengeneza pombe aina ya mbege kama una hitaji kwa ajili ya sherehe unaweza nitafuta pia kwa rejareja inapatikana kitochi kimoja jero

aisee babangu nimemiss hyo kitu kinya kinyama, hebu nipm namba yako nikutumie mpesa afu unipakizie kwenye bus!
 
@Mr.Rocky yan wewe nakuhitaji sana, make natafta dawa ya kuiba mume wa mtu lakini nisikamatwe na mkewe. hebu jongea chemba basi
 
Me Jambazi kama una dili yeyote ni-PM tu au kama unahitaji silaha ya aina yeyote kama AK 47, SMG, gobore nkomogho, nati, rungu just call me.

Pia najishughulisha na wizi wa ng'ombe ofisi zangu ziko Sirari, Magena, Nyamwaga,Nyamongo na Kurutambi

me nahitaji mishale na mapanga. make huku mtaani kwetu kuna vibaka wanaiba hadi wali na sufuria lake!
 
mimi ni muuza mbwa sema unahitaji mbwa wa aina gani?

nataka mbwa mrefu mwenye hips tena mwenye macho kumchuzi ili awe anawavutia madume wote wa mtaani wajikute wanakuja kummendea kumbe wanalinda kwangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom