Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

Tunapodanganyana ni pale tunapoleteana maua,sasa niyafanyie nini?si bora uniletee kitimoto nile?lol
 
Hivi Valentine's day ni siku ya mapenzi au wapendanao. I think it was for a good course, tafsiri zetu ndio zinatufanya tudhani vinginevyo.

If I go out with my family tonight, tunapata mlo mzuri sehemu tulivu, huku tukiongea na kujenga upendo wetu kama familia kuna tatizo gani??
 
Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.

Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.

Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.

Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.

Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.

Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.

Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!

Sii bure utakua umebwaga siku za hvi karibun acha wenzio wafaidi mema ya dunia
 
Hivi Valentine's day ni siku ya mapenzi au wapendanao. I think it was for a good course, tafsiri zetu ndio zinatufanya tudhani vinginevyo.

If I go out with my family tonight, tunapata mlo mzuri sehemu tulivu, huku tukiongea na kujenga upendo wetu kama familia kuna tatizo gani??
Hakuna tatizo. Na hilo ndo lengo la siku hii
 
Maua ni ishara ya upendo dear!!!! Kitimito utakula kisha utasahau lkn UA daily litakuwa linakukumbushia upendo

hahaha haya mkuu nimekuelewa,labda ulete kitimoto na maua nitakukumbuka daima,hahaah
 
Wanaofanya mapenzi ya kizembe kisa eti valentines day ni washamba kabisa na hawafai kuigwa na jamii. Hii siku watu wameitafsiri vibaya sana, kila siku ni siku ya upendo ila leo ndio kilele chake kama kunavokuaga na siku ya mama, baba, mwanamke, ukimwi n.k hivyo tupendane kila siku na sio siku ya valentines day tuu
 
Back
Top Bottom