Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

Kweli umekasirika. Yote haya umesema wewe.

1. Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
2. Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa
3. Wadada wenzangu Leo mtadanganywa
4. Mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.
5. Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo
6. Wapo watakaopata ukimwi
7. Pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.
8. Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.
9. Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
Hahahaha! Mkuu yote hayo ni kweli tupu
 
Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.

Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.

Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.

Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.

Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.

Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.

Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
Usemalo ni kweli mtu yuko busy utafikiria feb 14 ndio anapendwa,yani wko busy kma akili za makonda au le mtumbozz
 
keki imeletwa kuliwa kwa ofisi ...kama zawad kwa wote..tunaonywesha jinsi mapenzi maradufu kwa wahusika yanavyoshamiri zaidi siku ya leo..hata wew unaweza mtumia bae wako huko aliko akasherekea na workmate wenzake...
Yaweza kuwa ni kweli lkn si kwa wote na hiyo ni ya kiofisi baada ya hapo inafuata ya binafsi hapo ndipo penye shida
 
Sijawahi kushobokea sisikuu yeyote ile tangu nianze kupiga kura
 
Watu wamebase kwenye ngono zaidi
Message from grandfather......
4cf7d3e683eb6a62a2bf219b81306d88.jpg

Waione hii.
 
Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.

Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.

Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.

Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.

Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.

Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.

Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
Wanachezewa au Wanachezeana.. What?...
 
NI UPUUNZI TU HUO - UPENDO NI KILA WAKATI (SEKUNDE, DAKIKA, SAA, SIKU, WIKI, MWEZI, MWAKA ... )
 
Siku ya Leo ni siku ya ngono, Leo watu wanangonoka mwanzo mwisho.
Na biashara itakayofana sana Leo ni ya nyumba za wageni.
Hakika mkuu' ingekua ngono ni silaha za kivita Leo ingetokea vita kuu ya tatu ya dunia.
 
Back
Top Bottom