moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,287
Kabsa mkuu,sipati picha saa hizi wanavyokunjana wengine mpaka marinda yanafumuliwaMizuka ya mwili ni leo upendo wa dhati upo kila siku
Kabsa mkuu,sipati picha saa hizi wanavyokunjana wengine mpaka marinda yanafumuliwaMizuka ya mwili ni leo upendo wa dhati upo kila siku
Upo sawa sana tu.lakini pia hujawafafanulia waliosherehekea kua kwa nn kwao wasiihusudu?ulipaswa kuwapa A to Z ya ubatili wa kusherehekea siku kama hiiYaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.
Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.
Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.
Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.
Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.
Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.
Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
Ndo kizazi cha vijana tuliopoKabsa mkuu,sipati picha saa hizi wanavyokunjana wengine mpaka marinda yanafumuliwa
Hii sikukuu ya wanafunzi
Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.
Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.
Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.
Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.
Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.
Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.
Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
Pole sana inaekekea bado hujampata anayekupenda...Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Hahahaha! Angalia asije tokeaa wa ghafla?
Wewe ulivalentika na nani mumii?Wacha watu wavalentike bana
Mambo yenu kujifanya wajanja na niligundua baada ya miaka 10 ila walikuwa wanabanjuka kimachale sana. Ilikuwa ni kulipiza kisasi. Siku kama ya jana nilikuwa safari nikiwa namtrack nikagundua yupo mbali na nyumbani. Nilipopiga simu akajichanganya........ Yaliyofuata tuyaache ila sijui kama marinda ya kidume yapo salama. Tangu siku hiyo nilijua hatari iliyopo kutembea na mke wa mtu wakati wasichana vigori ni wengi mitaani.Ilikuaje nipe kastory kidogo
Kumbe yalikuwa ni malipo ya kutembea na mke wa mtu? Ni kwambie kitu mkuu!..ulivyoumia wewe ndivyo na yule uliyetembea na mkewe alivyoumiaMambo yenu kujifanya wajanja na niligundua baada ya miaka 10 ila walikuwa wanabanjuka kimachale sana. Ilikuwa ni kulipiza kisasi. Siku kama ya jana nilikuwa safari nikiwa namtrack nikagundua yupo mbali na nyumbani. Nilipopiga simu akajichanganya........ Yaliyofuata tuyaache ila sijui kama marinda ya kidume yapo salama. Tangu siku hiyo nilijua hatari iliyopo kutembea na mke wa mtu wakati wasichana vigori ni wengi mitaani.
Pole mkuu ila malipo yote ni hapahapaMambo yenu kujifanya wajanja na niligundua baada ya miaka 10 ila walikuwa wanabanjuka kimachale sana. Ilikuwa ni kulipiza kisasi. Siku kama ya jana nilikuwa safari nikiwa namtrack nikagundua yupo mbali na nyumbani. Nilipopiga simu akajichanganya........ Yaliyofuata tuyaache ila sijui kama marinda ya kidume yapo salama. Tangu siku hiyo nilijua hatari iliyopo kutembea na mke wa mtu wakati wasichana vigori ni wengi mitaani.
Si sahihi maana nina kinyaa siwezi kuingiza Mzee wangu katika nanihilu yenye maziwa ya ntu. Naomba nikuhakikishie kuwa sijawahi chepuka tangu nioe ila alihisi just a friend of mine nilipomdharau akadhani natembea naye! Upuuzi tuKumbe yalikuwa ni malipo ya kutembea na mke wa mtu? Ni kwambie kitu mkuu!..ulivyoumia wewe ndivyo na yule uliyetembea na mkewe alivyoumia