Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

Upendo wa Valentine day ni kudanganyana

Sidhani kama jamii yetu inaelewa ninini hasa lengo la kuwepo hii siku...upendo hata wewe mleta mada hapo ulipo unaweza kumuonyesha mlemavu aliyepita mbele yako kwa kumpa chochote,kujipatanisha na uliyegombana naye,kumuonyesha kumjali mama yako/baba yako hata kaka yako,stuff mwenzako kazini hapo may be Magufuli fever imampitia mifukoni mwake ukaenda kumnunulia japo lunch yaani ni vingi mno vya kufanya sio kufanya ngono tu onyesha upendo kiutofauti usikariri.
 
Hivi mnamjuwa mtakatifu Valentino? Au mmekalili tu Valentines day? Kuna mashetani haswa wale wa clouds ndio wanapotosha upendo wa mtakatifu Valentino mpaka ikawepo Valentines day.
 
hata nyie wadada leo mtatudanganya, mtatuchezea, mtatuchafua then mtatutupilia mbali kwa sababu leo ikipita wallet pia itakua ido drained then na upendo unakauka kabisa.

halafu pia wakumbushe wenzako wadada pia leo ni siku ya kimataifa ya kondomu hivyo mimba zisizotarajiwa zinaepukika ukimwi pia na StI, na ndio maana hii siku ikawekwa mubashara na Valentini sijui ndio mnaita.
Unadanganywa kwasababu nawewe umedanganya vinginevyo ungetulia na wallet yako ingebaki salama.
 
Sidhani kama jamii yetu inaelewa ninini hasa lengo la kuwepo hii siku...upendo hata wewe mleta mada hapo ulipo unaweza kumuonyesha mlemavu aliyepita mbele yako kwa kumpa chochote,kujipatanisha na uliyegombana naye,kumuonyesha kumjali mama yako/baba yako hata kaka yako,stuff mwenzako kazini hapo may be Magufuli fever imampitia mifukoni mwake ukaenda kumnunulia japo lunch yaani ni vingi mno vya kufanya sio kufanya ngono tu onyesha upendo kiutofauti usikariri.
Watu wamebase kwenye ngono zaidi
 
Umeshasema ni siku ya Valentin wewe inakuhusu nini? Mwenye siku yake mwachieni siku yake mwenyewe. Ni kwa nini uumize kichwa kisa siku ya mtu mwingine? Tafuta ya kwako.
 
Unadanganywa kwasababu nawewe umedanganya vinginevyo ungetulia na wallet yako ingebaki salama.
leah2, wakati mwingine kubali tu kudanganywa. ujue nyie mkitudanganya tunatambua tu na tunavumilia ili mzigo ufike.
 
Umeshasema ni siku ya Valentin wewe inakuhusu nini? Mwenye siku yake mwachieni siku yake mwenyewe. Ni kwa nini uumize kichwa kisa siku ya mtu mwingine? Tafuta ya kwako.
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] povu vepeee
 
Back
Top Bottom