Yetu macho mkuu, muda huwa ni mwalimu mzuri tu.Upo sawa mkuu, yaani Leo ni full vurugu acha wadanganyane lkn
Pia ni siku ya matukio maovu mengi ikiwemo na mafumaniziSiku ya Leo ni siku ya ngono, Leo watu wanangonoka mwanzo mwisho.
Na biashara itakayofana sana Leo ni ya nyumba za wageni.
Ni kweli kbsa mkuuSikukuu ya watoto wanaoanza kujua mapenzi.
Well saidHivi mnamjuwa mtakatifu Valentino? Au mmekalili tu Valentines day? Kuna mashetani haswa wale wa clouds ndio wanapotosha upendo wa mtakatifu Valentino mpaka ikawepo Valentines day.
SureUmeshasema ni siku ya Valentin wewe inakuhusu nini? Mwenye siku yake mwachieni siku yake mwenyewe. Ni kwa nini uumize kichwa kisa siku ya mtu mwingine? Tafuta ya kwako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyumba za wageni Leo zitajaa wenyeji tupu
Duuuhnina madem wawili,,,mmoja nimemwambia mchana niko bize so tutoke usiku kuanzia saa tatu,,,,huyo mwingine nimemwambia tutoke kuanzia saa kumi hadi saa moja nitakua na kazi....hiyo saa kumi tutatembea kula kunywa kaka kawaida na ikifika sa12 namgegeda siku yake imeisha..baada ya hapo nitaenda geto kupumzika hadi saa tatu alafu nitamfwata huyo mwingine,,so nitaspend nae hadi night kali alafu nitalala nae adi monie>>>>na leo ndo nita compare nani mtamu zaidi
Kazi unayo ila ukikua utaacha.nina madem wawili,,,mmoja nimemwambia mchana niko bize so tutoke usiku kuanzia saa tatu,,,,huyo mwingine nimemwambia tutoke kuanzia saa kumi hadi saa moja nitakua na kazi....hiyo saa kumi tutatembea kula kunywa kaka kawaida na ikifika sa12 namgegeda siku yake imeisha..baada ya hapo nitaenda geto kupumzika hadi saa tatu alafu nitamfwata huyo mwingine,,so nitaspend nae hadi night kali alafu nitalala nae adi monie>>>>na leo ndo nita compare nani mtamu zaidi
Kabsa mkuuYetu macho mkuu, muda huwa ni mwalimu mzuri tu.
Watu kama wewe ndiyo mashabiki wakubwa wa siku ya leonina madem wawili,,,mmoja nimemwambia mchana niko bize so tutoke usiku kuanzia saa tatu,,,,huyo mwingine nimemwambia tutoke kuanzia saa kumi hadi saa moja nitakua na kazi....hiyo saa kumi tutatembea kula kunywa kaka kawaida na ikifika sa12 namgegeda siku yake imeisha..baada ya hapo nitaenda geto kupumzika hadi saa tatu alafu nitamfwata huyo mwingine,,so nitaspend nae hadi night kali alafu nitalala nae adi monie>>>>na leo ndo nita compare nani mtamu zaidi
Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.
Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.
Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.
Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.
Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.
Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.
Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
keki imeletwa kuliwa kwa ofisi ...kama zawad kwa wote..tunaonywesha jinsi mapenzi maradufu kwa wahusika yanavyoshamiri zaidi siku ya leo..hata wew unaweza mtumia bae wako huko aliko akasherekea na workmate wenzake...Mkitoka hapo mnachaguana kila mmoja na wake mnazamia nyumba za wageni.
Usinikumbushe hii siku ndipo nilipogundua nagongewa!Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.
Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.
Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.
Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.
Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.
Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.
Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!
Kweli umechukia. Yote haya umesema wewe.Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.