Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

Ni maraya tu kama wengine.bahati tu ana visenti vya "ulisi'
Lite tope upeleke wapi aisee,njaa tu
 
Unaujua upande wao? Haiwezekani wewe kila siku mapenzi ya kutese kuna sehemu watakuwa wanakosea tu. Yaani kama Manara useme hana bahati na mapenzi, utazani yeye malaika, hawa mapingwa wa kuacha na kuchukua wengine, kuna sehemu wana matatizo tena sio madogo ni makubwa na mara nyingi kwa wanawake wenye hela ni viburi, jeuri ndio maana wengi wao hawa olewi, wanaishia kuguswa na kuachwa yule Manara Gubu na inasemekana anafikia hatua ya kupiga.

Yaani haiwezekani uache wa kwanza ,wapili, watatu nk kuna sehemu watakuwa wanamatatizo kama mara moja au mbili sawa zaidi ya mara mbili halafu unajipa moyo huna bahati baada ya kutafakari na kufanyia kazi madhaifu yako.
 
Naupendaga mwili wake wa kike laini na shape yake ile.....yule muhindi aliishiaga wapi hivi si walifunga ndoa japo ilikuwa zamani kidogo
Yule muhindi ni punga, ni rafiki yake tu na sio mpenzi wake. Kipindi kile anajiexpose na yule mhindi alikuwa na kabwana kakijana alifunga nacho ndoa paparazzi wakawa wanamwandama.Sasa ili kupoteza watu maboya ndo akajitangaza na yule mhindi
 
Nakumbuka ilikuwa ni baada ya muhindi ndiyo alikuwa na yule marioo wa kulingana na iman wake
 
Yule muhindi ni punga, ni rafiki yake tu na sio mpenzi wake. Kipindi kile anajiexpose na yule mhindi alikuwa na kabwana kakijana alifunga nacho ndoa paparazzi wakawa wanamwandama.Sasa ili kupoteza watu maboya ndo akajitangaza na yule mhindi
Hasan....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…