Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

hakuna alie.mkamilifu juu ya juu
Mkumbuke wite tunapita
achaneni na maisha ya watu wapendwa

ukijiona kiherehere keshoyako jiandae na wewe kusemwa

alldbest

mpendane mkiwa hai
 
Kwani Nambua hajaolewa?
 
Muulize nature ipi ambayo mwanamke sio Provider?
Nani provider?
Inaonekana nature ya binadamu ni tofauti kidogo maana porini Simba majike ndio yanawinda zaidi madume ni kwa ajili ya ulinzi wa pride na kuangusha mawindo makubwa inapohitajika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…