Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

TCRA wamesema simu fake zitazimwa saa 5 na dakika 59 za usiku siku ya tarehe 16/06/2016 sasa ili kujua hilo subilia ifikishe huo mda
Mwaka 1999 kuna kitu walibuni wakakiita Y2K
Ati kwamba Computer hazitafanya kazi ikifika mwaka 2000!!!!
......sasa huu ni muendelezo wa hiyo sanaa.
 
Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
Simu hazitazimika
huu ni usaniii
kumbuka Y2K
 
Amna banha leo ndo mwisho ikifika saa sit we ikifika sita shap angalia mnara mira ya data ipo kwenye sim yako kama ipo bas umepona
Simu hazitazimika
huu ni usaniii
kumbuka Y2K
 
Amna banha leo ndo mwisho ikifika saa sit we ikifika sita shap angalia mnara mira ya data ipo kwenye sim yako kama ipo bas umepona
sasa umebisha nini? kwani nimeandika nini ? na wewe wasema nini?

by the way

amna= hamna
bahna= bwana
mira======== itakuwa kikwenu
sim= simu
bas=bas

i
FB_IMG_1461729678510.jpg
 
Mkuu sijasema wanazima 12 asubuhi bali watazima usiku wa leo saa 6 kwa kiswahili

Tatizo letu ni uelewa mdogo na kukurupuka,yaani watu walikesha jana kuingoja saa sita ifike kama wafanyavyo mkesha wa mwaka mpya,hawakuelewa kilichosemwa na wanajipa moyo kuwa TCRA wameshamaliza mchakatO
 
Yaani pamoja na matangazo yote yale wewe bado hujui? Nchi hii bado sana!
 
Mh! Simu fake huu ni mtihani mkubwa acha nikae kimya hadi saa sita usiku ipite
 
Hakuna kinachozimwa. Endeleeni kuwa na amani.
 
Mimi natabiri simu hazitazimwa.

zitazimwa ila sio fair, kuna mavitu feki kibao anzia, vifaa vya umeme vinaunguza majumba hovyohovyo,
kuna dawa feki hadi, arv's, yaani panadol unakuta ni kipande cha muhogo unameza huponi , vyakula feki tunauziwa mbwa choma badala ya mbuzi choma yaani hadi

makalio feki

cc wema
huku ni kutiana khasara

HALAFU

niulize tu kuna hasara gani za kutumia simu feki na faida ipi kwa nji hii?
 
Hivi mkuu ile mitambo ya analogia ilizimwa?

Mimi kwa upande wangu kuzima simu fake ni jambo la muhimu sana kwakua hizi simu zina madhara si tu kiafya bali na katika Usalama katika jamii yetu.
Simu fake zina IMEI fake amabazo hazitambuliki hivyo ni rahisi sana mtu kufanya uharifu bila kugundulika akitumia simu fake.
N.B.
Ila nashauri serikali ingejizatiti zaidi kwenye kuzuia matatizo kuliko kusolve matatizo ambayo tayari yamekwishatokea.
 
Back
Top Bottom