Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Endelea kujipa moyo hivyo hivyo na ukeshe ukihesabu dakika kama vile unasubiri new year!
 
Sasa naanza kuelewa nape alivyosema tz akuna wataalamu wa IT ndo tatizo wenye uwezo wako bench vilaza watt wa vigogo kazi za kupeana wako mzigoni nw wanaushangaa mtambo kumbe ata kuuona usikute awajawai
 
1466112322502.jpg
mimi yangu washafanikiwa tayari jamani kuizima.
 
Mm mwenyewe bado na kibaya zaidi nilishakopa hela nyingi za kununua mpya;!!!
 
Doooh mbona wanasema wanazima moja moja zipo kama laki 6 na sabini
 
Back
Top Bottom